Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 11

Daily Archives: June 11, 2017

KIWANDA CHA SAYONA CHAIPIGA TAFU CHALIWASA PAMPU 9 ZA SH.MIL.100

kiwa1

MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ,wa kwanza kushoto akiwa katika kiwanda cha Sayona kilichopo Mboga jimboni Chalinze, kujionea hali ya ujenzi unavyoendelea(picha na Mwamvua Mwinyi ) Afisa mahusiano wa kampuni Mama ya MMI Steel na kiwanda cha Sayona kilichopo Mboga, Chalinze Mkoani Pwani,Abubakar Mlawa ,akizungumzia namna wanavyoshirikiana na …

Read More »

SERIKALI YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIWA KUTAKATISHA FEDHA HARAMU KUPITIA MIFUGO INAYOINGIZWA KWENYE MAENEO YA HIFADHI NCHINI – PROF. MAGHEMBE

maghem

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma.  Alimueleza balozi huyo kuwa Serikali imebaini na itakomesha ujanja unaofanywa na wafanyabiashara haramu wa kutakatisha fedha kwa kununua makundi makubwa ya mifugo na kuyachunga kwenye maeneo ya hifadhi nchini …

Read More »

PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI

haz1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akishuhudia jamii ya Wahadzabe wakitengeneza chakula cha mchana ambao ni unga utokanao na ubuyu. Kabila la Wahadzabe ni moja ya jamii za wawindaji na wakusanyaji wanaopatikana Tanzania ambao chakula chao kikuu ni nyama, matunda, mizizi na asali Waziri wa Maliasili na Utalii, …

Read More »

MWENYEKITI WA WAENDESHA BODABODA AJIUA KWA KUJINYONGA

malunde (9)

    Askari polisi wakiweka kwenye gari la polisi mwili wa Mwenyekiti wa chama cha waendesha pikipiki manispaa ya Shinyanga Jacob Paul aliyejiua leo Juni 10,2017 kwa kujinyonga nyumbani kwake huku chanzo kikihusishwa na mgogoro wa waendesha bodaboda na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga-Picha na Kadama Malunde- Malunde1 blog …

Read More »

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA SALFA

RIP1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ripoti ya Mkemia Mkuu wa Serikali ,  Samwel Manyele (kulia) ya chunguzi  wa Salfa  kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Juni 10, 2017.   Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt, Mathew Mtigumwe. (Picha na Ofisi …

Read More »