Monday , October 22 2018

Home / 2017 / June / 12

Daily Archives: June 12, 2017

JAFO AWATAKA MA-DC KUWA NA UTENDAJI UNAOACHA HISTORIA

kiwe

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa wilaya. ……………………………………………………………………….. NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amewataka Wakuu wa wilaya kuacha historia katika utendaji wao (legacy) kwenye maeneo wanayoongoza.  Naibu Waziri Jafo aliyasema hayo mjini Morogoro alipokuwa akifungua …

Read More »

Kompyuta nane za Bayport zatua mkoani Tanga

baypo

  Na Mwandishi Wetu, Tanga TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, imekabidhi kompyuta nane katika wilaya za Handeni, Korogwe, Muheza na Pangani zote za mkoani Tanga, ikiwa ni mwendelezo wa msaada wa kompyuta 205 zenye thamani ya Sh Milioni 500 kwa ajili ya ofisi za serikali nchini Tanzania, huku …

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA HAKI NA USAWA MAGEREZA

VYE2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride katika hafla fupi ya  kuwavalisha Vyeo Maafisa Magereza kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa mahaliwa alimwakisha Rais John Pombe Mgufuli katika hafla hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha …

Read More »

Benki Ya KCB Tanzania Yachangia Damu

DAM2

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mh. Ummy Mwalimu (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawamo pichani) kuhusiana na zoezi la uchangiaji damu salama na kuipongeza Benki ya KCB kwa kushiriki katika zoezi hilo lililofanyika Makao Makuu ya benki hyo jijini Dar es Salaam. Kulia kwake …

Read More »

WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUCHANGIA DAMU

unnamed

NA WAMJW DAR ES SALAAM. WATANZANIA  waaswa kujitokeza kuchangia damu mara kwa mara ili kuondokana na tatizo la vifo vinavyotokana na upungufu wa damu hasa kwa kina mama wajawazito nchini wanaopoteza damu nyingi wakati wa kujifungua. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu …

Read More »

MATUKIO ZAIDI RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOKO KATIKA MCHANGA KWENYE MAKONTENA BANDARINI

MATU5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini …

Read More »

MUHTASARI WA RIPOTI YA KAMATI MAALUMU YA KUCHUNGUZA MASUALA YA KISHERIA NA KIUCHUMI KUHUSIANA NA MCHANGA WA MADINI UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

12

  Utangulizi Mheshimiwa Rais, Kama ambavyo Watanzania watakumbuka tarehe 10 Aprili 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliteua Kamati Maalum ya Kuchunguza Masuala ya Kisheria na Kiuchumi Kuhusiana na Mchanga wenye Madini unaosafirishwa nje ya nchi yakiwemo makontena 277 yaliyozuiliwa na Serikali katika …

Read More »

BAADA YA KUBANWA NA LESOTHO,TAIFA STARS SASA YAJIANDAA NA COSAFA

stars

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, itaingia kambini tena Juni 14, mwaka huu kujiandaa na michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka la Kusini mwa Afrika (COSAFA). Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Juni 25, mwaka huu ambako Taifa Stars itakwenda Misri, Juni 20, mwaka …

Read More »

KAMATI YA UCHAGUZI YA TFF YATANGAZA RATIBA

Jamal+Malinzi

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo utakafanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma. “Napenda kuwatangazia wadau wote wa mpira wa miguu kuwa mnakaribishwa kugombea nafasi zilizo orodheshwa hapo chini kwa kuchukua fomu Ofisi za TFF Karume Ilala na pia unaweza …

Read More »

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA (MAKINIKIA) KWENYE MAKONTENA, RIPOTI YABAINI UPOTEVU MKUBWA WA FEDHA ZA SERIKALI

6

Rais Dk. John Pombe  Magufuli akipokea  ripoti ya pili ya kuchunguza athari za kiuchumi na kisheria kutoka kwa Profesa Nehemia Eliachim Osoro Mwenyekiti wa kamati Maalum ya pili ya Kuchunguza Mchanga wenye Makinikia ya Dhahabu ulioko kwenye makontena ambayo yamezuiliwa  Bandari ya Dar es salaam na maeneo mbalimbali nchini katika …

Read More »

NGOMA AWATOA HOFU MASHABIKI WA YANGA SC

donald-ngoma_y74s59dppwm11graq3x6da05x

SASA mashabiki wa Yanga wanaweza kuanza kutuliza presha, baada ya straika wao, Donald Ngoma, kudai kuwa kama mambo yakienda vizuri ataendelea kukitumikia kikosi chake hicho, kilichomuibua kutoka FC Platinum ya nchini Zimbabwe. Ngoma amemaliza mkataba wake na Yanga ambapo mpaka sasa hawajafikia makubaliano yoyote, lakini taarifa zinadai kuwa uongozi unafanya …

Read More »

AZAM FC WATHIBITISHA KUONDOKA KWA MANULA NA KAPOMBE

index

Uongozi wa timu ya Azam FC umethibitisha taarifa ya wachezaji wake Aishi Manula na Shomari Kapombe kusajiliwa na mabingwa wa michuano ya FA timu ya Simba kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Mwenyekiti wa klabu ya Azam Iddrisa Nassoro alisema kwamba kwa upande wao kama uongozi wa klabu …

Read More »

30 Kufanyiwa Upasuaji wa Mtoto wa Jicho Muhimbili

unnamed

Mkurungezi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (wa tatu kutoka kushoto) akipokea kifaa cha sterilizing kutoka kwa Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida (kulia).  Kutoka Kushosho ni Mkuu wa Idara ya Macho Muhimbili, Dk Mtemi Baruani na Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Muhimbili, Dk Julieth Magandi. Kutoka …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

downloadfile-1

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa …

Read More »

MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.

1

Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani katika ufunguzi wa mafunzo hayo aliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar. Mkurugenzi Ajira kutoka Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Ameir Ali …

Read More »

WANAHARAKATI 42 KATI YA 50 WAFIKA KILELE CHA UHURU,MLIMA KILIMANJARO KWA LENGO LA KUCHANGISHA FEDHA ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

_MG_9729

Wanaharakati walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro wakiimba na kucheza wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro. Timu ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi wakishuka kutoka katika kilele cha Uhuru. Mkuu wa Mkoa …

Read More »