Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 13

Daily Archives: June 13, 2017

TAASISI ZA KIBENKI ZATAKIWA KUBORESHA MIFUMO YAO YA KIUTENDAJI

IMG-20170613-WA0023

Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano (kushoto)akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Benki ya TPB,kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu TPB,Sabasaba Moshingi ,ambapo ofisi hiyo  mpya ipo katika eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya.   Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano akizindua jiwe …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA WAZAZI CCM Z’BAR,NAJMA GIGA.

GIGA01

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Zanzibar , Mustafa Rashid Kumwalu  akimkabidhi Katibu wa Wazazi Wilaya ya  Kaskazini “B” Unguja ,  Bi.  Salma Shaibu, kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Bi.Najma Giga. Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Zanzibar Nd. Mustafa Rashid Kumwala …

Read More »

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete yaendelea Kuimarika

images

Na. Georgina Misama – Maelezo Serikali imetumia kiasi cha shilingi bilioni 26 katika kujenga na kuweka miundombinu  ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Akiongea katika kipindi cha TUNATEKELEZA, Mkurugenzi Mtendaji  wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi alisema kwamba takribani bilioni 13 zimetumika katika kuweka miundombinu ikiwemo mitambo ya …

Read More »

Hatua kali Kuchukuliwa kwa Madereva Wazembe: Kamanda Muslimu

index

   Na Eliphace Marwa – Maelezo   Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu Jijini Dar es Salaam limetahadharisha, madereva kuwa makini wakati wakiendesha vyombo vya moto ili kuepuka ajali zinazosababishwa na ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani.   Hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Usalama …

Read More »

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni,2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma,Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE

unnamed

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju …

Read More »

WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI

1

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza ufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma. Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo Bi.Jane Kapongo akifafanua …

Read More »

GS WARRIORS BINGWA MPYA NBA,WAITANDIKA CLEVELAND 129-120

NBA-8

KEVIN DURANT alikuwa katika kilele cha umahiri wake kwa kuisaidia timu yake ya Golden State Warriors kutwaa ubingwa wa Ligi ya Basketball ya Marekani (NBA) dhidi ya mahasimu wao Cleveland Cavaliers katika mchezo uliomalizika alfajiri ya leo kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezaji huyo alifunga pointi 39 katika mchezo wa …

Read More »

UNICEF YASAIDIA VITANDA VYA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU ZANZIBAR

unnamed

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akipokea msaada wa vitanda vya wagonjwa wa kipindupindu kwa Afisa Mkaguzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia watoto Duniani (unicef) Bi. Francesca Morandini katika kambi ya kipindupindu Chumbuni. Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alipotembele kambi ya kipindupindu Chumbuni. Picha na Makame Mshenga.

Read More »

TAMTHILIA YA HUBA KUENDELEA KUTINGISHA JIJI

2

Msimu wa pili waanza kwa kishindo   Ile tamthilia kabambe ya Huba inayoonyeshwa kupitia DStv katika chanel ya Maisha Magic Bongo inaendelea tena baada ya kumalizika kwa msimu wa kwanza wa tamthilia hiyo mwezi Machi mwaka huu. Huu ukiwa ni msimu wa pili, tamthilia hiyo ambayo imeainishwa kama moja ya …

Read More »

WAANDISHI WAPEWA ELIMU JUU YA MATONE YA VITAMIN A

unnamed

Mkuu wa Kitengo cha Lishe kutoka Wizara ya Afya Asha Hassan akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la kuwapatia matone ya Vitamin A watoto wenye umri wa miaka miwili hadi mitano katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Malaria Mwanakwerekwe. Washiriki wa mkutano huo wakiwa katika kazi za vikundi kupanga mikakati …

Read More »

POLISI WATOA TAHADHARI MATAPELI WA AJIRA

Msemaji-wa-Jeshi-la-Polisi-Advera-John-Bulimba-akielezea-juu-ya-kukamatwa-kwa-watu-16-waliojihusisha-na-mlipuko-wa-mabomu-Arusha-na-kumwagia-Mashekh-Tindi-kali

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka  kikundi kidogo cha matapeli wanaozunguka katika maeneo mbalimbali hususani vijijini na kuwalaghai vijana kwamba wao ni watumishi ama waajiriwa wa Jeshi la Polisi na kujipatia fedha kutoka kwa wananchi/vijana hao kwa udanganyifu kwamba watawapatia ajira ndani ya Jeshi la Polisi jambo ambalo siyo la …

Read More »

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA

1

Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.   Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha  katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.   Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto)akikaribishwa na kupokelewa na msimamizi …

Read More »