Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 15

Daily Archives: June 15, 2017

BREAKING NEWS:SIMBA WATHIBITISHA KUACHANA RASMI NA AJIBU

images-10

Makamu mwenyekiti wa Klabu ya Simba Godfrey Nyange ‘Kaburu’, amethibitisha rasmi kuwa klabu hiyo, imeachana na mshambuliaji Ibrahim Ajib Migomba! ‘Kaburu’ amesema tangu kipindi kirefu Ajib amekuwa na msuguano na Simba huku akionesha kutokuwa na mapenzi na timu hiyo, hali iliyoilazimu kamati ya usajili, kutokuwa na mjpango ya kumuongezea mkataba …

Read More »

RC MAKONDA ATAJA MAMBO MAKUU MANNE KUKABILIANA NA UHALIFU JIJINI DAR ES SALAAM

pin

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda                                                                                                                 ………………………………………………………………………………………………….. Na Mathias Canal, Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda Jana June 14, 2017 wakati wa Hafla ya kukabidhiwa magari mabovu 26 ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya …

Read More »

TAARIFA KWA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI

NEM

TAARIFA KWA WAKANDARASI WANAOTEKELEZA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI Juni 16, 2017 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatambua kuwa baadhi ya wakandarasi wanaotekeleza miradi ya kusambaza umeme vijijini hawajakamilisha miradi kwa mujibu wa MIKATABA waliyosaini na Wakala (REA). Aidha, kuna baadhi ya wakandarasi wamekamilisha miradi lakini hawajakabidhi rasmi miradi hiyo …

Read More »

WANANCHI WATAKIWA KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA WAKATI – MBEYA

SIFA1

Msafiri Mmassy kutoka Ofisi ya Kamishna msaidizi nyanda za juu Kusini Magharibi akieleza umuhimu wa kulipa kodi ya pango la Ardhi kwa waandishi wa habari (hawako pichani) akiwa na Shenya Magori ………………………………………………………………………. Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Kanda ya nyanda za juu Kusini imekusanya jumla ya Tsh. 5.8 bilioni …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI WA SPORTPESA

pes1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ubashiri wa michezo ya SportPesa Bw. Pavel Slavkov (kushoto), katikati ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Bw. Abbas Tarimba.Viongozi hao wa SportPesa walimtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu jijini …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA ALHAMISI 15.06.2017

_96500513_p03ybx1b

Na Salim Kikeke Mshambuliaji Alvaro Morata, 24, huenda akakamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 65 kutoka Real Madrid kwenda Manchester United mapema wiki ijayo (Daily Mirror). Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amesema itabidi’afanye uamuzi’ kuhusu wapi aende huku Arsenal na Real Madrid wakimtaka chipukizi huyo wa miaka 18 (Daily Mail), …

Read More »

MADAKTARI WA KICHINA WAJITAMBULISHA NA KUAGA

5

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma katika Hospitali mbali mbali za Unguja na Pemba wakiongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu (wa tatu kulia) katika mazungumzo yao aliwakaribisha Madakatari …

Read More »

SAMSUNG WAJA NA PROMOSHENI YA NUNUA SAJILI NA USHINDE

unnamed

Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo Samsung (Kushoto) akiwaonyesha  waandishi wa habari stika mbili zinazolenga kutokomeza bidhaa feki nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam Jana. Katikati  ni, Meneja wa Samsung Nchini Bw Rayton Kwembe,  akifatiwa na meneja bidhaa wa Samsung Bw Elias Mushi, Meneja wa …

Read More »

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) NA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) WASAINI MKATABA WA MASHIRIKIANO(MoU)

1

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika(wa tatu kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology(DIT)Profesa Preksedia Marco Ndomba(wa pili kulia) wakisaini mkataba wa mashirikiano (MoU) kati ya taasisi hizo mbili. MoU imejikita kwenye ushirikiano wa Utafiti,  Taaluma, kubadilishana wataalamu, ziara za kitaaluma kwa wanafunzi. …

Read More »

Wataalamu Wasisitiza Mazingira Safi, Lishe Bora

IMG_1360

 Mratibu wa kampeni ya kitaifa Bw. Anyitike Mwakitalima akizungumza wakati wa mkutano kujadili uhusiano kati ya usafi wa mazingira na lishe bora kwa watoto jijini Dar es Salaam juzi.  Dkt Generose Mulokozi (kulia) kutoka shirika la IMA World Health akisema ‘Nipo Tayari’ kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya usafi wa …

Read More »

MOURINHO AANZA KUFURU YA USAJILI,ANASA BEKI KISIKI WA BENFICA YA URENO

lidelof-salehjembe

Klabu ya soka ya Manchester United imemsajili mchezaji wa sehemu ya ulinzi kutoka Sweden,Victor Lindelof kwa pauni milioni 31. Hapo jana United ilithibitisha kuwa tayari inakamilisha taratibu za kumsajili beki huyo, ambaye atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha Jose Mourinho kipindi hiki cha majira ya kiangazi. Lindelof anatokea klabu …

Read More »