Tuesday , March 26 2019

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO.MKUU WA MKOA ATOA MILIONI TATU KWA AJILI YA MRADI WA KUKU KWA WALEVU WA NGOZI

VIDEO.MKUU WA MKOA ATOA MILIONI TATU KWA AJILI YA MRADI WA KUKU KWA WALEVU WA NGOZI

Mkuu wa mkoa wa ruvuma dkt bilinith mahenge ametoa shilingi milioni tatu, ili kusaidia kikundi cha watu wenye ulemavu wa ngozi na macho albino cha wilaya ya songea, kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa nyama.

Akikabidhi kiasi hicho cha fedha mkuu wa mkoa amewaka wanakikundi hao kutimiza malengo ili waweze kuwasaidia hata watu wengine wenye matatizo mbalimbali.hbari kamili hii hapa video yake.

About Alex

Check Also

AA

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 − 1 =