Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 18

Daily Archives: June 18, 2017

UKWELI WA USAJILI WA NIYONZIMA KUSAINI SIMBA MIAKA MIWILI UPO HAPA

Niyonzima

Baada ya Yanga kumsajisili Ibrahim Ajibu kwa dau nono la shilingi milioni 50 pamoja na kumpa usajifiri wa gari, sasa Simba nao wamejibu mapigo. Taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa mazungumzo baina ya kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima na Simba yamefikia pazuri. Niyonzima ambaye amemaliza mkataba wa kuitumikia Yanga hivi …

Read More »

MIGUU YA AJIBU INAVYOIKOSA AKILI YA NIYONZIMA

19366607_1874851449506273_2101855680784521917_n

ABDUL DUNIA Titi la Mama ni tamu. Hata likiwa la mbwa. Kiswahili naazimu. Sifayo inayofumbwa. Niimbe ilivyo kubwa. Toka kama chemuchemu.Titi la Mama litamu jingine haliishi hamu. Aliwahi kuandika hayati Shaban Robert katika moja ya vitabu vyake. Nimemaliza kufuturu hapa kwa mama Dunia. Futari yake imenikumbusha mbali sana. Tangu mwezi …

Read More »

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA JENGO LA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA TUKIO LILILOFANYIKA LEO MJINI DODOMA.

NDU1

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma, Spika Ndugai pia ni Mgeni rasmi na aliongoza Wabunge katika …

Read More »

Mkurugenzi wa Hamidu City Park, Kigamboni Bw.Hamidu Mvungi awaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki

HAM1

Bw. Hamidu H. Mvungi miliki wa kijiji cha Hamidu City Park,  Mikwambe Kibada  Kigamboni chenye nyumba 1500 akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika futari aliyowaandalia wageni wake wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh .Hashim Mgandilwa ambapo aliwashukuru wageni waalikwa hao kwa kujumuika naye katika futari hiyo katika …

Read More »

TAIFA LA WATU WAADILIFU HUANZIA KWENYE FAMILIA – WAZIRI MKUU

pind1

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Kushoto)  akiwa ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu  Mizengo  Pinda na  Mkewe  Tunu  Pinda  walipo mpokea  katika makazi yao yaliyopo Zuzu Nnje Kidogo ya  Mjini Dodoma   June 17, 2017   kuhudhuria Misa ya kumbukumbu ya Marehemu  Mzee Exavery  Pinda  Baba Mzazi wa  Mizengo  Pinda, Pamoja  nakuongoza  Uchangiaji  wa …

Read More »

TIGO YAFUTURISISHA WATOTO YATIMA MIKOA YA MWANZA NA MBEYA

tg

Mwanafunzi wa darasa la nne wa  Islamic Yatima Foundation Fadhira  Hamidu, akipokea msaada wa chakula kwa niaba ya wengine,  kutoka kwa Meneja Mauzo Mkoa wa Mwanza  wa Kampuni ya Tigo Kassim Aziz Kassim, wakati wa hafla ya makabidhiano eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.Msaada wa Sh 3.5 Milion ulipokelewa  Mwanafunzi …

Read More »

VIDEO – “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA

MAGU 4

Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika. Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la …

Read More »

WAKAZI WA JIMBO LA MJI WA KIBAHA WAMPA SALUTE KOKA

KOKA2

Picha mbalimbali zikionyesha vifaa tiba mbalimbali vilivyogharimu mil.400 ,vilivyotolewa msaada na mbunge wa jimbo la Mji wa Kibaha ,Silvestry Koka ,ambapo vitagawiwa katika zahanati na vituo vya afya 11 vilivyopo mjini hapo ikiwemo Kituo cha afya Mkoani .(picha na Mwamvua Mwinyi) Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha WAKAZI wa jimbo la Kibaha,mkoani …

Read More »

MARUFUKU KUINGIZA ,KUCHINJA NGURUWE MJI WA KIBAHA

NGURU

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha ,mkoani Pwani imepiga marufuku uingiaji na uchinjaji wa nguruwe ili kukabiliana na ugonjwa wa homa ya nguruwe African Swine Fever,ambao  unadaiwa kuingia . Tangu ugonjwa huu uingie jumla ya nguruwe 71 wameshakufa na baada ya kufanyiwa uchunguzi wa awali kupitia dalili …

Read More »