Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 19

Daily Archives: June 19, 2017

KAMPUNI YA TIGO YAFUTURISHA WATOTO YATIMA KIGOMA

TIO

Meneja wa tigo mkoa Tabora Brighton akitoa neno la kuwakaribisha wageni kwa niaba ya Meneja wa tigo mkoa Kigoma wakati wa hafla ya futari ya pamoja baina ya watoto wanaoishi kwenye kituo hicho na uongozi wa tigo ambayo ilienda sambamba na kukabidhi misaada ya vyakula mbalimbali vyenye thamani ya shilingi …

Read More »

KESHO NI MWISHO WA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU ZA KUWANIA NAFASI ZA TFF

jamal

Wakati kesho Jumanne Juni 20, 2017 itakuwa mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wagombea 62 tayari wamejitokeza. Wanafamilia hao ni wale waliojitokeza kuanzia Ijumaa iliyopita Juni 16, mwaka huu wakiongozwa na Jamal Malinzi aliyekuwa wa kwanza kuchukua …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI INATAMBUA UMUHIMU WA KISWAHILI

kamu2

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua umuhimu wa lugha ya Kiswahili kwa ustawi wa Taifa na katika kulinda umoja wa Kitaifa. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Juni 19, 2017) wakati akizungumza na wabunge, viongozi wa Serikali na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kamusi Kuu ya Kiswahili uliofanyika kwenye ukumbi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

rpc-msangi

MTOTO MMOJA MDOGO AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MOTO WILAYANI MISUNGWI   WATU WA NNE RAIA WA BURUNDI WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUISHI NCHINI BILA KIBALI WILAYANI SENGEREMA. KWAMBA TAREHE 18.06.2017 MAJIRA YA SAA 19:00HRS KATIKA KIJIJI CHA MBELA KATA NA WILAYA YA MISUNGWI MKOA WA …

Read More »

Muhimbili Yamtia Mbaroni Daktari Feki Leo

DK FEKI

Kulia ni daktari feki ambaye amekuwa akijitambulisha kwamba ni Dk Abdallah Juma ambaye amekuwa akifanya kazi katika Maabara Kuu, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kulia ni mmoja wa askari wa Muhimbili aliyemkamata daktari huyo. ………………………………………………………………………  Hospitali  ya Taifa Muhimbili (MNH) imemtia mbaroni kijana mmoja aliyekuwa akijifanya daktari na alikuwa …

Read More »

POLEPOLE AKUTANA NA UJUMBEA WA NIMD YA UHOLANZI, LEO

POLI

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akimsalimia Meneja Mradi wa kushawishi Siasa Shirikishi katika kuimarisha vyama vya Siasa hapa nchini, hasa katika ushiriki wa Wanawake na Vijana katika masuala ya Siasa, unaoendeshwa na Kituo cha Demokrasia ya Vyama Vingi cha Uholanzi (NIMD) kwa kushirikiana na Kituo cha Demokrasia …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

kamu1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Kamumusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala,  Mussa Azan Zungu. Kushoto ni Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete. Wapili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa …

Read More »

TFDA YAZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA

tfd3

Kaimu Mkurugenzi wa Tiba toka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Dkt. Doroth Gwajima akisisitiza umuhimu wa Mamlaka ya Chakula na dawa (TFDA) kuendelea kusimamia utoaji wa huduma zake katika viwango vya Kimataifa wakati akizindua mkataba wa huduma kwa wateja wa Mamlaka hiyo leo Jijini  Dar …

Read More »

KIGOGO TRA AJITOSA URAIS TFF

unnamed

Ofisa wa juu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shija Richard akitoka ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuchukua fomu kuwania urais wa shirikisho hilo. (Na Mpigapicha Maalum).  Na Mwandishi Wetu MBIO za kuwania uongozi wa Shirikisho la Soka …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMATATU JUNI 19,2017

17362664_406304773082640_315171132366752716_n

Na Salim Kikeke Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendes kufanikisha uhamisho wake kurejea Manchester United (Sun). Manchester United watawapa Real Madrid David de Gea, 26, pamoja na pauni milioni 183, ili kumsajili Cristiano Ronaldo, 32 pamoja na Alvaro Morata, 24 (Tuttosport). Manchester United itawapa Real …

Read More »

MABENKI YAASWA KUKOPESHA SEKTA YA KILIMO

3

Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Augustino Chacha akizungumza wakati akifungua mafunzo ya awamu ya pili yanayohusiana na Kanuni za Ukopeshaji katika Kilimo. Mafunzo hayo ya awamu ya pili yatafanyika kwa siku sita yanaendeshwa kwa pamoja kati ya TADB, NABAD na MIVARF. …

Read More »