Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / June / 20

Daily Archives: June 20, 2017

DC MGANDILWA AFUNGA VIWANDA VYA WACHINA KIGAMBONI

MKUU1

Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe Hashim Mgandilwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ziara ya kufanya kushtukiza katika kiwanda cha plastic cha Ruider Plastic Limited kinachomilikiwa na raia mwenye asili ya China wilayani Kigamboni. Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe Hashim Mgandilwa akifanya ukaguzi mara baada ya …

Read More »

74 WACHUKUA FOMU NA KUREJESHA TFF

images

Wanafamilia 74 wa mpira wa miguu, wamechukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Hadi zoezi hilo linafungwa leo Juni 20, 2017 saa 10.00 jioni wagombea wote wamerejesha ambako kwenye nafasi ya urais, …

Read More »

Mtoto Shukuru Aruhusiwa Muhimbili , Afya yake Yaimarika

MT2

Mtoto Shukuru Kisonga (16) akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako alifikishwa Mei 16, 2017 kwa ajili ya kupatiwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa na Selimundu na upungufu wa madini chuma. Mtoto huyo sasa anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na madaktari wa hospitali hiyo. Mtoto Shukuru Kisonga …

Read More »

Wajasiliamali Wawezeshwa Kuzikabili Changamoto

1

Na. Frank Mvungi – Maelezo Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeandaa mkakati wa kuwasaidia wajasiriamali nchini kukabiriana na changamoto zinazokwamisha maendeleo yao ili waweze kuchangia juhudi za Serikali katika kujenga uchumi wa viwanda. Mkurugenzi wa TFDA, Bw. Hiiti Sillo ameeleza hivi karibuni kuwa miongoni mwa mikakati hiyo ni …

Read More »

UBA’S DEBUT $500M EUROBOND OVERSUBSCRIBED 240% BY GLOBAL INVESTORS – FURTHER VALIDATION OF UBA’S PAN-AFRICAN GROWTH STRATEGY

United-Bank-for-Africa-Tanzania

 Lagos, Nigeria – June 12, 2017 – United Bank for Africa Plc (UBA) successfully raised USD500 million, though a debut Eurobond, which was 240% over-subscribed. The significant investor demand reflects the strong global investor appetite for UBA’s credit and support for the Group’s pan-African financial services strategy. The Global Offering is a five-year senior unsecured benchmark …

Read More »

WADAIWA KODI YA MAJENGO KURURUZWA MAHAKAMANI

GAN1

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katika kikao kazi cha kuhamasisha ulipaji wa Kodi ya Majengo. Meneja wa Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Arusha Apili Mbarouk akizungumza katika kikao na wanahabari cha kuwakumbusha wananchi kuhusu ulipaji wa Kodi ya Majengo. Baadhi ya wataalam waliohudhuria katika Kikao cha Mkuu wa …

Read More »

KIGANJA NA BMT YAKE WABARIKI UCHAGUZI TFF, WATOA MAAGIZO

kganjaaaa1

Baraza la Michezo Tanzania (BMT), limebariki Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) likisema: “Tunaitakia TFF uchaguzi mwema wenye amani, upendo na utulivu.” Pamoja na baraka hizo, Baraza limeiagiza TFF kuwaelekeza wagombea wote kuzipitia sheria za Baraza la Michezo, Kanuni za Baraza na kanuni za Usajili, hususani …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMANNE JUNI 20,2017

17362664_406304773082640_315171132366752716_n

 Na Salim Kikeke Chelsea wanajiandaa kuingia katika mbio za kutaka kumsajili Alex- Oxlade Chamberlain kutoka Arsenal, huku Liverpool na Manchester City wakimnyatia kiungo huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 23 (Mirror). Nemanja Matic, 28, anataka kwenda Manchester United kuungana na meneja wake wa zamani Jose Mourinho (Sun). …

Read More »

A Guide to Roulette Online

A Guide to Roulette Online The lexical significance of the simulator is the sort of apparatus which is used to stimulate slightly. Finally, your roulette simulator should have the ability to deal with a great number of spins truly. In a nutshell, it is really a statistical tool. Finally, your …

Read More »