Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June / 22

Daily Archives: June 22, 2017

MSIWATOZE KODI YA MAJENGO WAZEE WA MIAKA 60-MAJALIWA

MAJALIWA TRA CHATO CUE IN

*Ataka TRA wafanye sensa ya majengo kwenye miji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maafisa wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) wakusanye kodi za majengo kwa kuzingatia sheria na wasitoze kodi ya majengo wazee wenye umri zaidi ya miaka 60. “TRA ijipange kukusanya kodi za majengo kuanzia Julai Mosi …

Read More »

FANYA YAFUATAYO KUNOGESHA SIKUKUU YA EID-AL-FITR

muslims-celebrate-eid-ul-fitr_2f5d50bc85058ce7

Na Jumia Travel Tanzania Ni siku chache zimebakia kabla ya waumini wa dini ya kiislamu nchini na duniani kote kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Zipo namna tofauti za kusherehekea sikukuu hii kulingana na sehemu watu walipo. Jumia Travel ingependa kukushirikisha mambo yafuatayo …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA BAGAMOYO– MSATA KM 64 PIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA MATUNDA CHA SAYONA CHALINZE MKOANI PWANI

bag5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa …

Read More »

MASAUNI ASHIRIKISHA WADAU WA MAENDELEO KUENEZA HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI

kikw1

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni(watatu kushoto), akizungumza na Mratibu wa Umoja wa Mataifa(UN)nchini,  Alvaro Rodriges (kushoto), alipotembelea Mradi wa Maji  Kikwajuni uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar,Dk. Ali Mohamed Shein miaka miwili iliyopita ikiwa ni juhudi za  Mbunge huyo kushirikisha wadau  katika kuhudumia na kutatua kero  mbalimbali za wananchi …

Read More »

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

tar1

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akifafanua jambo kwa watumishi wa ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma: Vijana washirikishwe kuleta Mabadiliko Barani Afrika” Waliyoadhimishi Dodoma Juni 22, …

Read More »

WAZIRI WA MALIASILI, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMUAGA NA KUMSHUKURU BALOZI WA UJERUMANI NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE, EGON KONCHANKE

1

 Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akikabidhi zawadi ya picha na vinyago vya wanyamapori kwa Balozi wa Ujerumani nchini aliyemaliza muda wake, Egon Konchanke katika hafla ya kumuaga na kumshukuru iliyofanyika hivi karibuni katika Pori la Akiba la Selous, mkoani Morogoro. Balozi huyo ataondoka nchini kesho Ijumaa, tarehe 23 Julai, 2017 …

Read More »

KOZI YA WAAMUZI YASOGEZWA MBELE

unnamed

Kozi ya waamuzi wa mpira wa miguu, iliyolenga kuwainua  madaraja kutoka madaraja waliyonayo sasa hadi ngazi moja juu, imesogezwa mbele kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya TFF, Saloum Chama. Chama amesema kwamba kozi hiyo iliyopangwa kufanyika kuanzia Juni 29, mwaka huu itafanyika hapo baadaye katika tarehe itakayopangwa, …

Read More »

UCHAGUZI RUREFA KUFANYIKA JULAI 5, 2017

malinzi1

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), utafanyika Agosti 05, mwaka huu mjini Sumbawanga. “Napenda kuwatangazia wadau wote wa RUREFA kuwa mchakato wa uchaguzi utaendelea kuanzia pale ulipokomea,” alisema Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi …

Read More »

SPIKA NDUGAI APOKEA VITABU KUTOKA KWA MTANDAO WA KUONDOA UMASKINI KWA AJILI YA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

4

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea vitabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa kuondoa umasikini, Ndg. Mungwe Athman (katikati) kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa na Wageni wengine …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

WATOTO WAWILI WAMEFARIKI DUNIA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA AJALI YA MOTO ULIOUNGUZA NYUMBA WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 21.06.2017 MAJIRA YA SAA 22:30HRS KATIKA MTAA WA KIGOTO KATA YA KIRUMBA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATOTO WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1.DAUD SAID MIAKA 07, MWANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA ALHAMISI JUNI 22,2017

_93630299_rexfeaturesd

 Na Salim Kikeke Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa, 28, atakaidi hatua ya Antonio Conte na kukataa kuondoka Stamford Bridge, hadi akubaliwe kurudi Atletico Madrid (Daily Star). Diego Costa amewaambia Atletico Madrid kuwa anataka kurejea Spain. Kutokana na Atletico kufungiwa kusajili, hata akisajiliwa sasa hatoweza kucheza hadi Januari (Sky Sports). Thibault …

Read More »

PEMBA:SERIKALI WILAYA YA WETE KUCHUKUA HATUA KALI DHIDI YA WANANCHI WALIOJENGA NYUMBA KWENYE MASHAMBA YA SERIKALI BILA KUFUATA UTARATIBU

PB 2

Na Masanja Mabula -Pemba .   SERIKALI Wilaya ya Wete imesema itachukua hatua kali dhidi ya wananchi waliojenga nyumba kwenye mashamba ya serikali  bila ya kufuata utaratibu ikiwa ni pamoja na kuvunjiwa nyumba zao .   Shehia ambazo zimetajwa kukithiri vitendo hivyo ni pamoja na Finya, Kinyasini pamoja na Ukunjwi. …

Read More »

Multichoice Tanzania Yasaidia Watoto Yatima

2

Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania Baraka Shelukindo akikabidhi mashuka kwa Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Madinnah kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam Kuruthum Juma (wa pili kulia). Wa pili Kushoto ni Malkia wa Taarabu Hadija Kopa na kulia ni  Muigizaji maarufu wa tamthilia ya Huba Riyama Ali …

Read More »

ZIARA YA MTAALAMU WA UWANJA KUTOKA TIMU YA EVERTON,ATUA NCHINI

unnamed

Mtaalamu  kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kushoto) akitoa maelekezo ya matumizi ya  mashine ya kushindilia na kutoa uchafu kwa ajili ya kusafishia uwanja  kwa uongozi na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Mtaalamu  kutoka Timu ya Everton Bw. Shane …

Read More »