Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Bw. William Erio, (kushoto), akismikiliza Mwanachama wa Mfuko huo, Bw.Clemence Munisi, aliyefika kitengo cha huduma kwa wateja ili kuhudumiwa wakati wa kilele cha wiki ya utumishi Makao Makuu ya PPF Barabara za Samora/Morogoro jijini Dar es Salaam, Ijumaa Juni 23, 2017. /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable …
Read More »Daily Archives: June 23, 2017
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO NA CHAMA CHA MAWAKALA WA FORODHA WAZINDUA RASMI KONGAMANO LA GLOBAL LOGISTICS SUMMIT –TANZANIA 2017
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiongea katika mkutano na waandishi wa habari kuelezea Tanzania itakavyokuwa wenyeji wa kuandaa Kongamano la ‘Global Logistics Summit 2017’ linalotarajia kufanyika Agost 23-26, 2017 jijini Dar es Salaam. Picha zote na Kajunason Blog/Cathbert Kajuna. Kongamano hili la kiulimwengu litakaribisha zaidi …
Read More »VIDEO;WAZIRI KAIRUKI AKIZUNGUMZA MARA BAADA YA KUFUNGA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU VITA DHIDI YA RUSHWA
Jokate Atoa Zawadi ya Eid El Fitr kwa Wajane na Yatima wa Taasisi ya Ahbaabul Khairiya ya mwanyamala B
Mwanamitindo maarufu nchini, Jokate Mwegelo akikabidhi misaada kwa Mwenyekiti wa Taasisi inayoshughulikia masuala mbalimbali ya Wajane na Watoto Yatima ijulikanayo kwa jina la Ahbaabul Khairiya, Ahmed Chebe ya Mwanayamala B jijini Dar es Salaam. Jokate ambaye pia ni Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa Umoja wa Vijana Tanzania (UVCCM) amebidhi …
Read More »SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI KUHUSU ONGEZEKO LA IDADI YA WATU
Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa pamoja na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ikiwemo kutoa elimu juu ya uzazi wa mpango, suala la udhibiti wa ongezeko la idadi ya watu nchini ni mtambuka linalohitaji usimamizi na ushirikiano wa wadau wote. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa …
Read More »BALOZI ADADI AWAFUTURISHA WAKAZI WA JIMBO LAKE
Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo mara wakati wa futari iliyoandiandaa nyumbani kwake kwa wananchi Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza wakiwa na wageni waalikwa wakipiga dua Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi …
Read More »SERIKALI YAWASHAURI WANANCHI KUTUMIA NJIA MBADALA YA KUPATA HUDUMA ZA KIBENKI
Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma Serikali imewashauri wakazi wa Wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro, kutumia njia mbadala kupata huduma za kibenki ikiwemo kupitia simu za mkononi yaani (simbanking) ya CRDB na Banking on the Wheel ya NMB iliyoko Mlimba kwa kipindi hiki ambacho mchakato wa kufungua matawi rasmi ya benki unaendelea. …
Read More »KAMBI YA VIJANA NA WATOTO ‘ARIEL CAMP 2017’ YAFUNGWA JIJINI MWANZA
Kambi ya Watoto na Vijana “Ariel Camp” iliyoandaliwa na shirika la Ariel Glaser Pediatric Aids Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi nchini Tanzania iliyoanza June 19,2017 jijini Mwanza, imefungwa leo Ijumaa June 23,2017.
Read More »VIDEO:WAZIRI MWAKYEMBE AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI NAHODHA WA SERENGETI BOYS
WAZIRI MWAKYEMBE AMKABIDHI KAMUSI KUU YA KISWAHILI WAZIRI SIMBACHAWENE LEO MJINI DODOMA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene. Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi kuu ya Kiswahili Waziri wa …
Read More »Samsung yaendesha kampeni ya ‘Nunua,Sajili na Ushinde’
Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kulia) akimkabidhi zawadi ya Friji Bw Manufred Makota mwakilishi wa Joash Ndaga wa Dodoma, mshindi wa bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’. Droo hiyo ya bahati nasibu yenye lengo la kupambana na bidhaa feki nchini ilifanyika jana makao makuu ya …
Read More »WANAWAKE WAJITOKEZA UCHAGUZI TWFA, WAPITISHWA
Wanawake wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Chama cha Mpira wa Miguu Wanawake (TWFA) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Julai 8, mwaka huu. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TWFA, Msomi Wakili George Mushumba leo Juni 23, aliongoza kikao cha Kamati ya Uchaguzi kupitia majina ya wagombea walioomba kugombea nafasi …
Read More »TAIFA STARS YAFIKA SALAMA, KUANZA NA MALAWI
Kikosi cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kimesafiri na kufika salama nchini Afrika Kusini kikitokea Dar es Salaam, Tanzania. Timu hiyo iliyoondoka jana Alhamisi Juni 22, 2017 kwenda Afrika Kusini kwa ndege ya Shirika la Ndege la Rwanda, itakuwa huko kwa ajili ya michuano ya kuwania Kombe …
Read More »MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDI AFUNGA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI
Waziri wa Kilimo,Maliasili Mifugo na Uvuvi Hamad Rashid kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk,Khalid salum Mohammed katika baraza la Wawakilishi Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salim Ali …
Read More »Jafo akitaka kikundi cha DOYODO kuongeza ubunifu
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiwataka vijana kuwa mfano wa kuigwa Dodoma na nchi nzima katika kampeni yao ya kujiajiri wenyewe. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akiwasha mtambo wa kufyatulia matofali. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani …
Read More »WAHAMIAJI HARAMU 45 WAKAMATWA WILAYANI MKINGA.
IDARA ya Uhamiaji Mkoani Tanga imewakamata wahamiaji haramu 45 kutoka nchini Ethiopia katika Kijiji cha Horohoro wilayani Mkinga mkoani Tanga kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria wakiwa shambani kwa wananchi wanakula mahindi kabla ya kutiwa nguvuni. Licha ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu hao lakini pia idara hiyo inamshikilia …
Read More »Spika Ndugai akabidhi vitabu vya kujifunzia katika Shule za Sekondari Wilayani Kongwa.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule Secondary Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, baada ya kuwapatia vitabu vilivyotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule Secondary Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, …
Read More »DC TEMEKE MHE FELIX LYAVIVA AWAAGIZA WAKURUGENZI JIJINI DAR ES SALAAM KUANZISHA DAFTARI LA WAKAZI KILA MTAA
MKUU wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam Mhe Felix Lyaviva akizungumza wakati wa semina ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu hali ya sekta ya mawasiliano na utangazaji nchini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Mitayakingi Kilaba akitoa maelezo kuhusu semina ya mamlaka ya Mawasiliano …
Read More »KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA KILWA YAFANYA ZIARA KATIKA KISIWA CHA SONGO SONGO
Meneja Mradi wa kuchakata na kusafirisha Gesi katika Kisiwa cha Songo Songo, Andrew Hooper (kulia) kutoka Kampuni ya Pan African Energy akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai (Wapili kushoto) walipotembelea mitambo ya Gesi Songas iliyopo katika kisiwa hicho …
Read More »Dkt. Pallangyo akutana na Watendaji kutoka Benki ya Dunia
Na Rhoda James Leo Juni 23, 2017 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo amekutana na Watendaji kutoka Benki ya Dunia (WB) waliomtembelea kwa ajili ya kupata taarifa ya maendeleo ya miradi mbalimbali ya madini inayotekelezwa na Wizara. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja …
Read More »UNDP YACHANGIA MILIONI 110 HUDUMA YA MAJI KIKWAJUNI
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,visiwani Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akizungumza na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez(kulia) na Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Salama Abood Talib, walipotembelea maeneo …
Read More »OFISI YA WAZIRI MKUU YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiongea na wafanyakazi wa ofisi hiyo (hawako pichani) wakati wa mkutano wa kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma uliofanyika leo jijini Dar es salaam tarehe 23 Juni, 2017. Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia …
Read More »TEMESA YAKUTANA NA WADAU KUADHIMISHA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NCHINI
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dk. Mussa Mgwatu (katikati) akiongea na wadau (hawapo pichani) katika kikao cha wadau hao kilichojadili namna bora ya kuboresha mahusiano kati ya TEMESA na wadau hao kilichofanyika katika ukumbi wa MT Depot jijini Dar es Salaam, Kikao hicho ni maadhimisho ya …
Read More »MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 54, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 23, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na …
Read More »RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMPONGEZA RIDHIWANI KIKWETE, AMWAMBIA MTOTO WA NYOKA NI NYOKA
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akihutubia wakati wa ziara ya Rais Dk. John Pombe Magufuli katika jimbo la Chalinze mkoani Pwani jana. Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete wakati akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu iliyomalizika …
Read More »RAIS MAGUFULI ATOA MSAADA WA VITANDA,MAGODORO NA MASHUKA KATIKA HOSPITALI YA LEVOLOSI
Mbunge wa viti maalumu ccm Mkoa wa Arusha Catherine Magige akitoa nasaha mara tu baada ya kukabidhi msaada huo wa vitanda,magodoro na mashuka yaliyotolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Picha ikionyesha wa kwanza kulia Mbunge wa viti maalum(CCM)Catherine Magige akikabidhi kwa niaba ya Rais John Magufuli msaada …
Read More »KATIBU MKUU WA CCM APIGA MARUFUKU WAGOMBEA KUUZIWA FOMU.
WIZARA YAKANUSHA TAARIFA ZA GAZETI LA HABARILEO KUHUSU TAKWIMU ZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI WILAYANI NKASI, RUKWA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la HABARILEO toleo la tarehe 19 Juni, 2017, kwamba wasichana 2,892 waliokuwa wanafunzi wa shule za msingi wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa walikatishwa masomo yao kutokana na tatizo la mimba na ndoa za utotoni kwa …
Read More »TAARIFA YA JESHI LA POLISI , TAHADAHARI KUHUSU SIKUKUU YA EID EL FITR
23/06/2017 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Eid El Fitri, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao. Kipindi kama hiki cha sikukuu baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo …
Read More »KAMATI YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI YATEMBELEA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ya Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Chomera Jeremiah (kushoto) Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wakati Kamati …
Read More »