Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / June / 24

Daily Archives: June 24, 2017

Zaidi ya Lita Mil.700 za Maji Kuzalishwa

mai6

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (wa pili kutoka kushoto) akikagua  mradi wa kuchimba visima virefu 20 katika eneo la Kimbiji na Mpera Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Romanus Mwangi’ngo (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na …

Read More »

MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA

3

NA MWANDISHI WA K-VIS BLOG WATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jioni hii Juni 24, 2017 na Kaimu Meneja Uhusinao wa TANESCO makao Makuu, Bi. Leila Muhaji, imesema, uharibifu …

Read More »

RBF-Kuondoka na Watendaji Wazembe

unnamed

Serikali imesema haita wavumilia watendaji watakaoshindwa kusimamia ipasavyo mradi wa  Malipo kwa Ufanisi katika kuboresha utoaji wa huduma za Afya “Results Based  Finance” (RBF) ambao hivi sasa unatekelezwa katika mikoa minane hapa nchini. Akifungua kikao kinacho wakutanisha  Makatibu Tawala wa Mikoa, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga …

Read More »

Waziri Mwakyembe Aridhishwa na Maendeleo ya Matengezo ya Pitch(Sehemu ya Kuchezea) Katika Uwanja wa Taifa.

1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(mwenye miwani) akisikiliza  maelekezo kutoka kwa  Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo  Bw. Alex Nkenyenge (wa Tatu kulia) alipotembelea uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (wa kwanza …

Read More »

WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akizungumza na wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania. …

Read More »

SHUJAAZ WAWAFUNDA WAANDAAJI WA MASHINDANO YA EAST AFRICA CUP 2017

_MG_0920.CR2

Mkuu wa utafiti wa Kampuni ya Well Told Story,Dkt Anastasia Mirzoyants akitoa maelezo kwa washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na  Mradi wa Shujaaz  iliyofanyika Hotel ya Uhuru mjini Moshi. Baadhi ya Washiriki wa Warsha iliyoandaliwa na watayarishaji wa Mradi wa Shujaaz kwa ajili ya kutoa eimu juu ya maswala mbalimbali ikiwemo Ujasiliamali pamoja …

Read More »