Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / June / 25

Daily Archives: June 25, 2017

MCHAKATO WA UCHAGUZI LIPULI FC

LIPULI 2014-15

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana Juni 10 na 11, 2017 pamoja na mambo mengine ilijadili suala la uchaguzi wa Klabu ya Lipuli ya Iringa ambao awali ulipangwa kufanyika Mei 29, mwaka huu. Hata hivyo, mchakato wa uchaguzi ulisitishwa na Kamati ya Uchaguzi uchaguzi …

Read More »

NYAMLANI AJITOA KUWANIA URAIS TFF

index

Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani amejitoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Nyamlani aliwasilisha barua TFF leo Jumapili Juni 25, mwaka huu ikiwa ni siku moja tu tangu Kamati ya Uchaguzi ipitishe …

Read More »

DC MTATURU AWAASA WAISLAMU KUENDELEZA TABIA NJEMA

mtat4

MKUU wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida  Miraji Mtaturu amewafuturisha waislamu wa wilaya hiyo huku akiwaasa kuendeleza tabia njema kwa mujibu wa kitabu cha Mwenyezi Mungu Quran hata baada ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan kumalizika. Akizungumza na waislamu hao baada ya kupata futuru wilayani humo Mtaturu alisema katika Mwezi Mtukufu …

Read More »

Watumiaji wa Barabara Watahadharishwa Kuzingatia Sheria

muslimu

Frank Mvungi-Maelezo Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetoa tahadhari kwa watumiaji wote wa barabara nchini kuzingatia sheria ili kuepuka ajali hususani wakati wa sikukuu ya Eid el Fitri. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na  Kaimu Kamanda Kikosi cha Usalama …

Read More »

TADB: “TENDEENI HAKI MAFUNZO YA UKOPESHAJI KATIKA KILIMO”

haki5

Viongozi waandamizi kutoka TADB, Bw. Augustino Chacha (kushoto) na Bw. Albert Ngusaru (wapili kushoto) wakizungumza na Wakufunzi kutoka NABARD, Dkt. R.S. Reddy  (kulia) na Bw. M.R. Gopal (wapili kulia) wakati wa ufungaji wa mafunzo ya awamu ya pili yanayohusiana na Kanuni za Ukopeshaji katika Kilimo yaliyokuwa yanafanyika katika Hoteli ya …

Read More »

MAELEZO Yapokea Kamusi Kuu Kuenzi Kiswahili

MAEL

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Kamusi Kuu ya Kiswahili toleo la pili kwa Maafisa Habari wa Idara hiyo leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Sehemu ya Huduma za Habari na …

Read More »

MASHAURI 18 YA MADAI YA KODI YA ARDHI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.1 YAWASILISHWAKWENYE BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA WILAYA YA TANGA

TAD

Mwakilishi wa Kamishna wa Ardhi Msaidizi Kanda ya Kaskazini, Ardhi Mwandamizi Thadeus Riziki akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Baraza la Ardhi Mkoani Tanga kupokea mashauri 18 yenye thamani ya Bilon 1.1 ambayo yamefikishwa kutokana wamiliki wa nyumba ,makazi na viwanda  kushindwa kulipa kodi ya ardhi kwa wakati  Afisa Ardhi …

Read More »