Tuesday , March 26 2019

Home / 2017 / June / 26

Daily Archives: June 26, 2017

MAVUNDE AWAHIMIZA WAISLAMU KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI.

mav1

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde akiteta jambo na Sheikh wa Mkoa huo, Mustafa Shaban Rajab katika baraza la Eid El Fitr lililofanyika Uwanja wa jamhuri mjini Dodoma. Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika Baraza la Eid kwenye uwanja wa Jamhuri mjini …

Read More »

WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO

makm1

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akizungumza wakati wa baraza la Eid lililofanyika kwenye shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto ni Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza katika baraza …

Read More »

WAISLAMU WATAKIWA KUENDELEZA UCHA MUNGU

Mecca

Na Swahilivilla Washington Waislamu wametakiwa kuendeleza Ucha Mungu na mema waliyokuwa wakiyafanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.   Sheikh Yussuf Mecca, kutoka Columbus, Ohio Wito huo ulitolewa jana na Sheikh Yussuf Mecca alipokuwa akizungumza kwenye sherehe za Iddi zilizoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu wa Tanzania wa Jiji la Washington na …

Read More »

MGAO WA VIUADUDU VYA KUTOKOMEZA MBU WA MALARIA LITA 100,000 NCHINI

images

Tarehe 22 June 2017, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilipia VIUADUDU vya kutokomeza Mbu wa Malaria lita 100,000 na kuagiza vigawanywe kwenye Halmashauri zote nchini. Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu anapenda kuwatanganzia Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuwa …

Read More »

Wizara ya Afya Yatekeleza Agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli

U 5

Frank Shija – MAELEZO Agizo la kuhakikisha Halmashauri zote nchini zinachukua dawa za viuadudu zinazozalishwa kwa katika kiwanda cha dawa hizo kilichopo Kibaha, Pwani imeanza kutekelezwa kwa Halmashauri 14 kutakiwa kufika katika kiwanda hicho na kuchukua dawa hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Msemaji wa Wizara ya Afya, …

Read More »

DK SHEIN ATOA MKONO WA EID EL FITRI IKULU

baw2

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika  Ikulu Mjini Unguja   leo kumtakia  Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa  Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017. Rais wa …

Read More »

MAANDAMANO YA KUMPONGEZA RAIS MAGUFULI YAZUILIWA BULYAHULU

msuku

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuacha tabia ya kuwazuia wananchi wanaounga mkono juhudi za Rais John Pombe Magufuli za kupambana na wezi wa raslimali za taifa ikiwemo madini. Msukuma aliyasema hayo baada ya polisi katika wilaya ya kipolisi Msalala, kuzuia maandamano ya amani …

Read More »

Global TV Online Yatoa Msaada Kwa Watoto Yatima Magomeni

url

Global Tv Online inayomilikiwa na Kampuni ya Global Publishers, leo imetoa msaada wa vitu mbalimbali kikiwemo chakula, vinywaji na sababu kwa watoto yatima wa Kituo cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alikabidhi mchele, unga na sukari pamoja na vinywaji mbalimbali pia sabuni …

Read More »