Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June / 28

Daily Archives: June 28, 2017

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI KUBORESHA BARABARA.

bax4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akitazama taarifa ya makadirio ya gharama za ujenzi wa sehemu ya barabara ya Mboga kuelekea kiwanda cha Matunda cha Sayona, wilayani Bagamoyo, leo. Kulia ni Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Pwani Eng. Rehana Yahya. Naibu Waziri …

Read More »

MKOA WA KIGOMA KUJENGEWA MAHAKAMA KUU HIVI KARIBUNI

kigom

Jaji Kiongozi Mahakama  Kuu ya Tanzania, Mhe, Ferdinand Wambali  wa akisalimiana  na baadhi ya  watumishi  wa Mahakama ya Wilaya  ya Kasulu   mara baada ya kuwasili katika Mahakama hiyo hivi karibuni, wakati alipotembelea  Mahakama hiyo na kufanya ukaguzi  wa shughuli za utendaji kazi   na miundombinu ya Mahakama. ……………………………………………………………………………  Na Magreth Kinabo  …

Read More »

Wanafunzi Wanaopata Mimba Watafutiwe Programu Nyingine za Masomo

dent

Na: Lilian Lundo – MAELEZO Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na utafiti wa maadili ya wanafunzi  Shule za Msingi na Sekondari hapa nchini, “Maadili Centre” imeshauri Wanafunzi wanaopata mimba kutorudi shuleni badala yake watafutiwe program nyingine za masomo kama vile masomo ya ufundi katika vyuo vya VETA. Mwenyekiti wa Taasisi …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

zim2

Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji …

Read More »

MASALIA YA MIJUSI MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI

index

Na Octavian Kimario-WHUSM Dodoma. Wazo la kuwarudisha nchini Dinosaria halina tija kutokana na ugumu wa Kiteknolojia na gharama ikilinganishwa na faida za kuchukua hatua hiyo. Akijibu swali la Mbunge wa Mchinga Mhe. Hamidu Hassan Bobali lililo uliza,Ni nini kauli ya mwisho ya Serikali kuhusu faida ambayo wananchi wa Lindi na …

Read More »

About Sentence structure Checker

It really is equally important within real world as well as internet planet to post miscalculation no cost, with no doing all those foolish grammar errors, punctuation faults or English language syntax issues as correspondence is the best secret weapon to success.

Read More »

SERIKALI YAJIPANGA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI

KAMUSI

Na Zawadi Msalla-WHUSM Serikali imeahidi kuweka misingi madhubuti ya kukuza lugha ya Kiswahili kwa kuhakikisha lugha hiyo inatumika katika ngazi mbalimbali ikiwemo kufundishia katika taasisi za kielimu, Mahakamani na Bunge. Hayo yameelezwa na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 60 ya …

Read More »

DAWASA YAPONGEZWA KWA UTENDAJI

DW5

Meneja wa Kituo cha uzalishaji maji Ruvu Juu Bw. Emmanuel Makusa  (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) wakati wa ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na DAWASA katika Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam mapema jana. Katibu Mkuu Wizara ya …

Read More »

WAKAAZI WA KIANGA WASHINDWA KUSHEREHEKEA SIKUU KATIKA ENEO LA KIWANJA CHAO BAADA YA KUJAA MAJI MCHAFU

KIW2

Kiwanja  cha mpira cha Kianga Mento ambacho wananchi wanakitumia kwa sherehe za Iddi kikiwa kimejaa maji Machafu yanayo tiririka kutoka kwenye shimo liliopo pembezoni mwa uwanja huo  na kupelekea kushindwa kufanyika sherehe hizo mwaka huu. Shimo lililokua likichimbwa mchanga zamani likionekana kujaa  maji machafu ambayo hutiririka kwenye kiwanja cha siku …

Read More »

Lowassa aachiwa kwa dhamana

index

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa 8.15 na kuelekea nyumbani kwake. Akizungumza baada ya mahojiano hayo, Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatala amesema Lowassa amejidhamini …

Read More »

SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

koro

MKUU wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza wakati makabidhiano ya vyumba vya madarasa vitano na vyoo ishirini na nne,mradi maji na uzio wa shule ya msingi jitengeni iliyopo Mji mdogo wa Mombo uliofanywa na taasisi isiyo ya kisherikali A better World ya Canada ikishirikiana na Vuga development …

Read More »