Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June / 29

Daily Archives: June 29, 2017

MSUVA AIPELEKA ROBO FAINALI COSAFA ‘TAIFA STARS’

index

Timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imetinga hatua ya  Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) Castle baada ya sare ya 1-1 na Mauritius jioni ya leo Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.   Simon Happygod Msuva aliyetokea benchi kipindi cha pili na kwenda …

Read More »

WANANCHI WAMIMINIKA SABASABA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

unnamed

Mmoja wa Wananchi akiweka saini ya kielektroniki katika zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendela katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa – NIDA ndani ya Viwanja Maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (SABASABA) Afisa usajili Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa – NIDA Ndg. Daniel Katondo akitoa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKITEMBELEA BANDA LA TIGO DODOMA LEO

DOMA

Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akimpa maelezo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma leo.   Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akiagana na …

Read More »

USAILI WAGOMBEA TFF

index

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya usaili kwa wagombea 29 wa nafasi mbalimbali katika siku ya kwanza ya hatua hiyo muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa shirikisho. Kabla ya usaili, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Revocatus Kuuli, aliwatangazia wagombea wote kuwa amepokea mapingamzi mawili ambayo …

Read More »

MAKOCHA 19 WAHITIMU KOZI DARAJA ‘A’ YA CAF

WhatsApp-Image-20160719 (3)

Makocha 19 wa mpira wa miguu, wamehitimu kozi ya Daraja ‘A’ ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) iliyofanyika Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyoko Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam. Makocha hao walimaliza gwe ya pili ya siku 19, …

Read More »

ZANTEL YAFUTURISHA WATEJA NA WAFANYAKAZI WAKE ZANZIBAR

unnamed

Ofisa Mauzo kwa wateja wakubwa wa Zantel, Salum Ally Said (kushoto) akiwa pamoja na mteja wa Kampuni hiyo wakati wa kupata futari iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa Zantel mwishoni mwa juma mjini Unguja-Zanzibar. Wafanyakazi wa Zantel kwa upande wa Zanzibar wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Benoit …

Read More »

POLEPOLE NA VIONGOZI WA CCM TAWI LA UK LEO

POLIA

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.   …

Read More »

POLEPOLE AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM TAWI LA UINGEREZA LEO

BN643938

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.   …

Read More »

KIMENUKA; MALINZI, MWESIGWA, KABURU WAPELEKWA RUMANDE

malinzi jela

Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais kwa kuwa amepelekwa mahabusu katika Gereza la Segerea baada ya kukosa dhamana hadi Jumatatu Julai 3 kesi yake itakaposikilizwa tena. Malinzi pamoja na Katibu wake, Mwesigwa Celestine wanashitakiwa kwa makosa 28 yakiwemo ya kugushi na utakatishaji fedha. Wote wawiliw …

Read More »

WANACCM KIBITI,WAILILIA CCM TAIFA KUAHIRISHA UCHAGUZI WA NDANI

KIBI

Na Mwamvua Mwinyi ,Pwani BAADHI ya wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM)wilayani Kibiti na Rufiji,mkoani Pwani ,wameutaka uongozi wa CCM Taifa kuangalia namna ya kuahirisha uchaguzi wa chama kwenye wilaya hizo ama mkoa kijumla . Wameeleza hatua hiyo itawezesha wanachama kujipanga kwa wakati mwingine ili kupisha kadhia ya mpito ya …

Read More »

RAIS DK. SHEIN ATUNUKU NISHANI ZANZIBAR

NIS10

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Pamdu Ameir Kificho katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu …

Read More »

MAJALIWA: BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA KUWA HISTORIA

8

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeadhimia kupambana vilivyo dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya na kuhakikisha inakuwa historia nchini.   Pia ametoa wito kwa wazazi wote nchini waendelee kufuatilia nyendo za watoto ili wasijiingize kwenye mtego wa dawa za kulevya na wala wasisubiri vijana wao …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUMUOMBEA MH. RAIS MAGUFULI

5

Na Mahmoud Ahmad Arusha Watanzania wametakiwa kujenga busara na uelewa katika kuhakikisha wanakataa kushawishiwa na Shetani ili kudhoofisha juhudi za Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt John Magufuli  katika vita ya ufisadi na uhujumu wa uchumi anayoendelea nayo hivi sasa. Kauli hiyo imetolewa na kaimu mkuu wa mkoa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

KIDA

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 29.06.2017.   Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada …

Read More »

IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI

1

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI. MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI …

Read More »

MAJALIWA: ZUIO LA USAFIRISHAJI CHAKULA NJE LIKO PALE PALE

mail.google.com

                                                                   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema msimamo wa Serikali wa kuzuia usafirishaji wa chakula kwenda nje ya nchi uko pale pale.   Pia amesema mahindi iliyokamatwa mkoani Kilimanjaro yakisafirishwa kwenda nje ya nchi yataingizwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) na magari yatabaki polisi.   Waziri Mkuu ametoa …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU CCM ZANZIBAR, AKABIDHI KOMBE KWA MSHINDI WA MASHINDANO YA MASAUNI – JAZEERA CUP

unnamed

Mgeni Rasmi ambaye pia ni NaibuKatibu Mkuuwa CCM Zanzibar,Dkt.Abdulla JumaSaadala,akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Kundemba FC,Mohamed Haji Shaibu,baada yakuibuka mshindi katika mashindano ya Masauni – Jazeera Cup.Katikati ni Mbunge waJimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC  kuibuka bingwa dhidi …

Read More »

MAWAKILI WATAKIWA KUJIKITA VIJIJINI

3

Mgeni Rasmi Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akifuatilia jambo wakati wa sherehe za 56 za kuwakubali na kuwasajiri, Mawakili wapya 248 mapema hii leo katika viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu wa Mawakili wapya wakisubiri  zoezi la kuapishwa kwa ndugu …

Read More »

RC Mongela -Awapa “Kibano” Wanamichezo

2

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella, akiwa amenyanyua kikombecha Jumla cha UMITASHUMTA juu mara baada yakukabidhiwa.  Picha ya Pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Timu ya UMITASHUMTA ya Mkoa wa Mwanza, walioibuka washindi wa kwanza katika Mashindano hayo. Binti Chausiku Akimkabidhi Kombe la Jumla Mkuu wa …

Read More »

UWASA WAPONGEZA JITIHADA ZA JPM KATIKA SEKTA YA MISITU

pic+uwasa

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Umoja wa Wavunaji Sao Hill (UWASA) pamoja na Wadau wa mazao ya miti wamepongeza jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli za ugawaji wa malighafi za misitu  kwa wenye viwanda vya mbao. Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti …

Read More »

Atembea Zaidi ya Kilometa 500 Kumuunga Mkono Magufuli

bag14

Na Jonas Kamaleki-MAELEZO Mkazi wa Mkoa wa Iringa, Thomas Lubinza ametembea zaidi ya kilometa 502 kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa jitihada zote anazozifanya katika kulinda na kusimamia raslimali za watanzania. Akizungumza na waandishi wa habari, Lubinza amasema kuwa Rais Magufuli kwa …

Read More »