Bi. Rose Mdami Mkuu wa Kitengo cha Mawasiiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA akiwahudumia wateja mbalimbali waliofika katika banda la Mamlaka hiyo ili kupata huduma ya kupatiwa vitambulisho vya taifa katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya …
Read More »Daily Archives: June 30, 2017
WATEJA WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA LAPF KATIKA MAONYESHO YA TANTRADE VIWANJA VYA SABASABA BARABARA YA KIRWA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea katika banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa …
Read More »TRA YAONGEZA MUDA WA KULIPIA KODI ZA MAJENGO MPAKA JULAI 15/2017
WATEJA WA TIGO KUFURAHIA MAWASILIANO YA BURE KWA MWAKA MZIMA
Kaimu Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga akiongea na waandishi wa habari wakati wa mwendelezo wa uzinduzi ‘Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi’ Pichani kushoto ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Bakari Majjid na kulia Mchekeshaji Lucas Mhavile JOTI. Meneja wa Mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akielezea jambo …
Read More »NORWAY YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DOLA MILIONI 10.5 KUBORESHA ELIMU
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Mhe. Borge Brende wakielezana jambo kabla ya kuzindua rasmi Mpango wa miaka mitatu wa Maboresho ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na uzinduzi wa awamu ya pili ya Program ya Maendeleo …
Read More »UWT YAPULIZA KIPYENGA CHA KUCHUKUA FOMU KUOMBA UONGOZI, YAMUUNGA MKONO JPM KUHUSU MIMBA SHULEN
NA BASHIR NKOROMO, DAR Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi leo ametangaza rami tarehe ya Wanachama wa Jumuia hiyo kuanza kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi tangu ngazi ya Kata hadi Taifa, na kusema fomu zinatolewa bure, huku akionya …
Read More »MHE KISARE MAKORI AZINDUA BARAZA LA BIASHARA WILAYA YA UBUNGO
MKUU wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam Mhe Kisare Makori akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, Leo June 30, 2017 Wadau mbalimbali wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Ubungo, wakimsikiliza MKUU wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori Leo June 30, …
Read More »Wabunge kuingia darasani Somo la Maadili
Na: Lilian Lundo – MAELEZO. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinatarajia kufundisha programu ya uongozi maadili na utawala bora kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo watasoma kwa awamu, mara baada ya kumalizika kwa Bunge la Bajeti. Hayo yamesemwa na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa …
Read More »Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ahudhuria Warsha ya GESI iliyoandaliwa na Kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam leo
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam leo. Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya …
Read More »MASAUNI ATANGAZA MAJINA YA WATUHUMIWA 16 WA MAUAJI YANAYOENDELEA KIBITI, MKURANGA NA IKWIRIRI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri,mkoani Pwani, ambapo Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto),alitangaza kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu …
Read More »Wazazi wachangamkia Toto Afya Kadi ya NHIF
Wananchi mbalimbali wakipata huduma kwenye banda la NHIF ambapo kampeni ya usajili wa Toto Afya Kadi unafanyika. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Ushauri wa Kiufundi Dr. Aifena Mramba akitoa maelezo kwa wananchi waliofika bandani hapo. Usajili wa Toto Afya Kadi ukiendelea Wananchi wakilipia gharama za usajili wa Toto …
Read More »SERIKALI YA NORWAY YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DOLA MILIONI 10.5
Benny Mwaipaja, WFM, DAR ES SALAAM SERIKALI ya Norway imeipatia Tanzania msaada wa Dola Milioni 10 za Marekani kupitia programu ya maboresho ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, inayotarajiwa kuanza Mwaka Mpya wa Fedha- Julai Mosi mwaka huu. Mpango huo pamoja na uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Program ya Maendeleo …
Read More »WAZIRI MWIJAGE AFANYA ZIARA YA KUZUNGUKIA MAABARA ZA UJENZI KATIKA MAJENGO YA SHIRIKA VIWANGO TANZANIA (TBS)
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bwana Charles Mwijage (katikati) akiwa katika ziara ya kuzungukia maabara za ujenzi katika majengo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya ithibati duniani jijini Dar es Salaam jana. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBS, Profesa …
Read More »Tanzania na Norway kushirikiana Katika Masuala ya Siasa na Diplomasia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme wa Norway, Mhe. Borge Brende wakiweka saini Mkataba wa Makubaliano kuhusu kushirikiana katika Mashauriano ya Kisiasa na Kidiplomasia kati ya Tanzania na Norway.Tukio hilo lilifanyika jijini Dar …
Read More »UVCCM WAWAWASHIA MOTO WAZEE WA CHADEMA
Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (wa katikati) akizungumza na waandishi wa Vyombo vya Habari Ofisi ya UVCCM Upanga dar es Salaam waandishi na Viongozi Mbalambali wa UVCCM Wakisikiliza TAARIFA ILIYOTOLEWA NA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI, IJUMAA30 JUNI 2017 UVCCM …
Read More »PROF. MBARAWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA 3 LA ABIRIA JNIA
Meneja ujenzi wa kampuni ya BAM International, Bw. Rey Blumrick akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wa hatua iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Jengo la 3 la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati Waziri huyo alipokagua ujenzi wa jengo hilo …
Read More »FERRE GOLA ALIVYOKONGA MASHABIKI WA MUZIKI WA DANSI SHOW YAKE YA KWANZA DAR
MWANAMUKI wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo …
Read More »Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam yapongezwa kwa kufungua kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo na Utalii
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao (mwenye mtandio) akiwa katika picha na wageni waliohudhuria hafla ya ya kufungua kituo cha Urithi wa Ubunifu Majengo kilichopo katika jengo la Old Boma na Utalii leo Jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara …
Read More »Viongozi wa Dini Wabebeshwa mzigo, Utunzaji wa Mazingira.
Mkuu wa mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa, akifungua kikao hicho, pembeni kulia ni Mratibu wa LVEMP Bw. Omari Myanza. Baadhi ya Viongozi wa dini kutoka mkoa wa kagera wakiwa katika Warsha hiyo. Baba Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo katoliki Musoma Mkoani Mara akiongea na Waandishi wa habari nje ya Mkutano …
Read More »WAHALIFU WANNE WAUWAWA KATIKA MAPAMBANO NA POLISI KIBITI
MKUU WA OPERESHENI ZA POLISI, NAIBU KAMISHNA DCP LIBERATUS SABAS, AKIONYESHA BUNDUKI AINA YA SMG ZILIZOPATIKANA JUZI USIKU WAKATI WA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI BAINA YA WAHALIFU NA POLISI KATIKA KIJIJI CHA PAGAE WILAYANI KIBITI MKOANI PWANI. BUNDUKI 2 AINA YA SMG ZILIPATIKANA PAMOJA NA MAGAZINI 2 NA RISASI 17. …
Read More »JNIA TBIII Kuanza Kutumika Dec 2018-Mhe. Mbarawa
Prof. Ninatubu Lema, Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (aliyenyoosha mikono) akimweleza jambo Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kutoka kulia), leo wakati akianza ziara ya kutembelea jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha …
Read More »JUMUIYA YA WAZAZI Z’BAR YASISITIZA UADILIFU KWA WATENDAJI WAKE.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Zanzibar, Nagma Giga akizungumza na Watendaji na viongozi wa jumuiya hiyo wa ngazi za Mikoa na Wilaya mara baada ya kuwakabidhi komputa. Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Zanzibar, Nagma Giga akimkabidhi komputa Katibu wa Wazazi Mkoa wa Kaskazini Bi.Zaituni …
Read More »SPIKA WA BUNGE NDUGAI AKIFATILIA KWA UMAKINI MISWADA YA MALIASILI
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi wa maliasili za Nchi.kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma jana Katika Ukumbi wa Msekwa. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati …
Read More »MAEGESHO YA KIVUKO LINDI KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA MWAKA HUU
Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS). Mkoa wa Lindi,Eng. Issack Mwanawima (mwenye koti la draft), akimweleza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa maegesho hayo, Mkoani humo, wakati Waziri huyo alipotembelea mradi huo hivi karibuni. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, …
Read More »SERA YA MAENDELEO YA MICHEZO YA MWAKA 1995 YAFANYIWA MAREKEBISHO KUENDANA NA MAHITAJI YA SASA.
Na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imesema kuwa inakamilisha mapitio ya Sera ya Maendeleo ya Michezo ya mwaka 1995 ili kuhakikisha inaendana na mahitaji ya sasa katika maendeleo ya michezo nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakati akijibu swali la …
Read More »WAZIRI UMMY APOKEA TAARIFA YA WATOTO MAPACHA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu wakijadili kwa umakini na katibu mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wakiongea na waandishi wa habari(Hawapo kwenye picha) juu ya taarifa ya kuibiwa kwa mtoto mmoja wa Bi. Hasma Juma katika hospitali ya Temeke jijini …
Read More »Balozi wa Ujerumani Avutiwa na Mazingira ya Biashara Nchini
Balozi mdogo wa Ujerumani nchini Balozi John Reyes (wa kwanza kulia) akiwa na sehemu ya wageni waalikwa katika hafla ya kupongeza kampuni za Kijerumani zinazoshiriki maonesho ya biashara ya kimataifa Sabasaba mwaka huu. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana jioni. Balozi mdogo wa Ujerumani nchini …
Read More »MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 57 MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 30, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe,Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na …
Read More »RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORWAY BORGE BRENDE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Mambo ya …
Read More »SPIKA NDUGAI AKUTANA NA UMOJA WA WANAMICHEZO WA MPIRA WA MIGUU KUTOKA FC GRACE UNITED STATES LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akizungumza pale ugeni kutoka Umoja wa Wanamichezo wa Mpira wa Miguu kutoka FC GRACE UNITED STATES ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. wa pili kulia ni Mwenyeji na kiongozi wa Msafara Bishop Oscar John. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mheshimiwa William …
Read More »