Monday , February 18 2019

Home / BIASHARA / Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ahudhuria Warsha ya GESI iliyoandaliwa na Kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam leo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway ahudhuria Warsha ya GESI iliyoandaliwa na Kampuni ya Statoil jijini Dar Es Salaam leo

JAGE1

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil  kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam leo.

JAGE2

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil  jijini Dar Es Salaam leo.

JAGE3

Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania AS, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa GESI kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil  jijini Dar Es Salaam leo.

JAGE4

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania , Genevieve Kasanga akiongoza warsha   ya GESI

JAGE5

Wadau mbalimbali waliohudhuria  kwenye warsha

JAGE6 JAGE7

Wadau mbalimbali waliohudhuria  kwenye warsha

JAGE8 JAGE9 JAGE10

Picha ya pamoja mara baada ya warsha.

JAGE11

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akizungumza na wanahabari.

JAGE12

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akibadilishana mawazo na wadau.

JAGE13

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza na wanahabari.

About bukuku

Check Also

1

Mfumo wa Malipo ya Papo kwa Papo Tanzania Instant Payment System (TIPS) kurahisisha utumaji wa fedha

Naibu Gavana wa BoT Dk.Benard Kibese akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa  Malipo ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

one × 3 =