Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June (page 3)

Monthly Archives: June 2017

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

KIDA

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 29.06.2017.   Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada …

Read More »

IGP SIRRO AWAFARIJI WAFIWA KIBITI

1

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MANGWI, KATA YA MCHUKWI WILAYANI KIBITI JANA ALIPOKWENDA KUWAPA POLE BAADA YA KUTOKEA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI NA AFISA MTENDAJI WA KIJIJI. MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI …

Read More »

MAJALIWA: ZUIO LA USAFIRISHAJI CHAKULA NJE LIKO PALE PALE

mail.google.com

                                                                   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema msimamo wa Serikali wa kuzuia usafirishaji wa chakula kwenda nje ya nchi uko pale pale.   Pia amesema mahindi iliyokamatwa mkoani Kilimanjaro yakisafirishwa kwenda nje ya nchi yataingizwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) na magari yatabaki polisi.   Waziri Mkuu ametoa …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU CCM ZANZIBAR, AKABIDHI KOMBE KWA MSHINDI WA MASHINDANO YA MASAUNI – JAZEERA CUP

unnamed

Mgeni Rasmi ambaye pia ni NaibuKatibu Mkuuwa CCM Zanzibar,Dkt.Abdulla JumaSaadala,akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Kundemba FC,Mohamed Haji Shaibu,baada yakuibuka mshindi katika mashindano ya Masauni – Jazeera Cup.Katikati ni Mbunge waJimbo la Kikwajuni,Mhandisi Hamad Masauni.Mchezo huo ulimalizika kwa mikwaju ya penati 8-7 iliyopelekea timu ya Kundemba FC  kuibuka bingwa dhidi …

Read More »

MAWAKILI WATAKIWA KUJIKITA VIJIJINI

3

Mgeni Rasmi Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akifuatilia jambo wakati wa sherehe za 56 za kuwakubali na kuwasajiri, Mawakili wapya 248 mapema hii leo katika viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu wa Mawakili wapya wakisubiri  zoezi la kuapishwa kwa ndugu …

Read More »

RC Mongela -Awapa “Kibano” Wanamichezo

2

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella, akiwa amenyanyua kikombecha Jumla cha UMITASHUMTA juu mara baada yakukabidhiwa.  Picha ya Pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Timu ya UMITASHUMTA ya Mkoa wa Mwanza, walioibuka washindi wa kwanza katika Mashindano hayo. Binti Chausiku Akimkabidhi Kombe la Jumla Mkuu wa …

Read More »

UWASA WAPONGEZA JITIHADA ZA JPM KATIKA SEKTA YA MISITU

pic+uwasa

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Umoja wa Wavunaji Sao Hill (UWASA) pamoja na Wadau wa mazao ya miti wamepongeza jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli za ugawaji wa malighafi za misitu  kwa wenye viwanda vya mbao. Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es salaam, Mwenyekiti …

Read More »

Atembea Zaidi ya Kilometa 500 Kumuunga Mkono Magufuli

bag14

Na Jonas Kamaleki-MAELEZO Mkazi wa Mkoa wa Iringa, Thomas Lubinza ametembea zaidi ya kilometa 502 kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa jitihada zote anazozifanya katika kulinda na kusimamia raslimali za watanzania. Akizungumza na waandishi wa habari, Lubinza amasema kuwa Rais Magufuli kwa …

Read More »

TAA Yajivunia Kujenga Shule ya Mafumbo Bukoba

unnamed

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi), Dr. Leonard Chamuriho (watatu kushoto) akiwafafanulia jambo wahandisi Diana Munubi na Mbila Mdemu (kushoto) huku Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Salim Msangi (mwenye suti nyeusi) akisikiliza mara baada ya kukagua shule …

Read More »

DKT. MABODI SHEHIA YA KWALE PEMBA.

index-27-275x165

Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka Wabunge na Wawakilishi wa Pemba kuwekeza katika sekta ya elimu ili kuwasaidia vijana wanaosoma kwenye shule na vyuo vya elimu ya juu vilivyopo katika kisiwa hicho.  Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdulla Juma Saadalla …

Read More »

Online Deal Rooms plus M&A dealing

It is not secret that the M& A operations grow in popularity in this day and age. And it is worth saying that it can come in handy to any kinds of spheres. All the corporations which take part in the M& A settlements are interested: « How to improve …

Read More »

MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE

UO1

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati …

Read More »

TIC Yawafunda Wajasiriamali

TIC3

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za uwekezaji Bw. John Mnali akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mafunzo hayo leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajasirimali wakifuatilia mafunzo hayo  yaliyoandaliwa na Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC). Mmoja wa wajasiriamali hao Bibi  Neli William akishukuru TIC kwa kuandaa mafunzo hayo. (Picha …

Read More »

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI KUBORESHA BARABARA.

bax4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akitazama taarifa ya makadirio ya gharama za ujenzi wa sehemu ya barabara ya Mboga kuelekea kiwanda cha Matunda cha Sayona, wilayani Bagamoyo, leo. Kulia ni Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Pwani Eng. Rehana Yahya. Naibu Waziri …

Read More »

MKOA WA KIGOMA KUJENGEWA MAHAKAMA KUU HIVI KARIBUNI

kigom

Jaji Kiongozi Mahakama  Kuu ya Tanzania, Mhe, Ferdinand Wambali  wa akisalimiana  na baadhi ya  watumishi  wa Mahakama ya Wilaya  ya Kasulu   mara baada ya kuwasili katika Mahakama hiyo hivi karibuni, wakati alipotembelea  Mahakama hiyo na kufanya ukaguzi  wa shughuli za utendaji kazi   na miundombinu ya Mahakama. ……………………………………………………………………………  Na Magreth Kinabo  …

Read More »

Wanafunzi Wanaopata Mimba Watafutiwe Programu Nyingine za Masomo

dent

Na: Lilian Lundo – MAELEZO Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na utafiti wa maadili ya wanafunzi  Shule za Msingi na Sekondari hapa nchini, “Maadili Centre” imeshauri Wanafunzi wanaopata mimba kutorudi shuleni badala yake watafutiwe program nyingine za masomo kama vile masomo ya ufundi katika vyuo vya VETA. Mwenyekiti wa Taasisi …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO LAFANIKIWA KUZIMA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

zim2

Watanzania wenye asili ya kihindi wakiwa kwenye kifaa kinachotumika na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, baada ya jengo lililopo Mtaa wa Indira Ghandhi,jijini Dar es Salaam, kushika moto ambao ulifanikiwa kuzimwa na askari wa jeshi hilo kabla haujaleta madhara.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji …

Read More »