Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June (page 30)

Monthly Archives: June 2017

Wanawake Watakiwa Kujiamini Ili Wafanikiwe Katika Uongozi

KI1

Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua Mradi wa “Wanawake Viongozi -Nguvu ya Mabadiliko”  Jijini Dar es Salaam. Mradi huo wa miaka mitatu unalengo la kuwajengea uwezo wanawake 200 katika medani za uongozi wa kisiasa ili kufikia idadi ya asilimia 40 ya wanawake katika uongozi wa Serikali …

Read More »

DC Simanjiro atatua mgogoro wa ardhi kata ya Terrat

LONG

wakazi wa Kijiji cha Terrat Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya hiyo mhandisi Zephania Chaula, aliyeutatua mgogoro wa ardhi wa wakulima na wafugaji wa eneo hilo ………………………………………………………….. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Zephania Chaula, amefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliokuwa unafukuta kwenye Kata ya Terrat, kwa …

Read More »

Wampongeza Rais Magufuli kwa Ulinzi wa Raslimali.

images

Na Jonas Kamaleki- MAELEZO Vijana Wazalendo wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua alizozichukua kuwapinga wanyonyaji wa uchumi na raslimali za nchi kupitia seta ya Nishati na Madini. Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wazalendo Tanzania, …

Read More »

KAMPUNI YA MOOVN DRIVER YAANZISHA HUDUMA YA USAFIRI JIJINI DAR ES SALAAM, NI SALAMA ZAIDI, KUWANUFAISHA MADEREVA WA BAJAJI, PIKIPIKI NA TAKSI

ndug1

Moovn Driver Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo,Godwin Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati akizungumzia kampuni yake ya Moovn Driver kuhusu huduma ya usafiri kutumia Aplikesheni waliyoibuni. Moovn Driver Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo,Godwin Ndugulile akionysha jinsi aplikesheni ya Moovn Driver  inavyofanya …

Read More »

TAIFA STARS: MWENDO WA DAKIKA 1,500 KWA SIKU 8

unnamed

Mshambuliaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbaraka Yussuf Abeid (katikati) ‘anaposepa’ na kijiji yaani kuhama au kuondoka na idadi kubwa ya watu/mabeki waliomzunguka wakiwamo Salum Mbonde, Shomari Kapombe na Kiungo Aboubakar Salum katika mazoezi ya timu yanayofanyika Uwanja wa mazoezi wa Kituo cha michezo cha …

Read More »

KAULI YA RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI KWA UMMA

malinzi1

  MAENDELEO YA TIMU ZA VIJANA. Ndugu zangu, leo nimewakaribisheni ili kwa niaba ya Shikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) niweze kutoa shukrani zetu, pongezi na pia kutoa mwelekeo wa timu zetu za vijana kuelekea Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026 (FIFA WORLD CUP 2026). SHUKRANI. Kama tunavyofahamu …

Read More »

KANDA YA ZIWA YAFANYA VIZURI UHAKIKI WA MIZANI YA PAMBA.

1

Wakulima mkoani Shinyanga wakipatiwa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Mizani kabla ya msimu kuanza. Wakulima mkoani Geita wakipatiwa Elimu  Afisa wa Vipimo Mkoani Kagera akitoa elimu na kuwaonesha wakulima mizani iliyo hakikiwa. Maafisa wa Vipimo wakitoa elimu mkoani Shinyanga. Meneja wa wakala wa Vipimo mkoani Mwanza akitoa elimu kwa Wakulima …

Read More »

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Balozi wa Morocco

unnamed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Abdelilah Benryane wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 02.06.2017 MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI NA UPORAJI  PIKIPIKI WILAYANI SENGEREMA. KWAMBA TAREHE 01.06.2017 MAJIRA YA SAA 14:30HRS KATIKA KIJIJI CHA NYANKUMBU WILAYA NA MKOA WA GEITA, ALIKAMATWA MTUHUMIWA WA …

Read More »

Kiwanja Kinauzwa – Kigamboni Kibada

3

 Muonekano wa Kiwanja. Ni Kuanzia mwanzo wa Picha mpaka mwisho wa Ukuta upande wa kushoto Mwanzo wa Picha Mpaka kwenye ukuta wa Ghorofa kule    Kiwanja Kipo KIGAMBONI KIBADA   Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba (Sqmeter) 1088   Kiwanja kina hati safi na hakina mgogoro   Bei ni Milioni 65 Maongezi kidogo …

Read More »

BRIGEDIA JENERALI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN

1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo alipofika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo …

Read More »

MRADI WA KUWEZESHA UMILIKISHAJI ARDHI MKOANI MOROGORO (LTSP)

2

  Beatrcice Gowele  msimamizi wa zoezi la upimaji ardhi akimjazia   fomu ya uhakiki  mmoja wa wanavijiji wa Kanoro (W) Kilombero mkoani Morogoro baada ya zoezi la kupimiwa shamba.    Kathmerusi Kachelewa ( wapili kutoka kushoto) mkazi wa kijiji cha Isongo wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro akiwaeleza waandishi namna alivyo  shiriki …

Read More »