Monday , February 18 2019

Home / 2017 / June (page 4)

Monthly Archives: June 2017

MASALIA YA MIJUSI MIKUBWA KUTORUDISHWA NCHINI

index

Na Octavian Kimario-WHUSM Dodoma. Wazo la kuwarudisha nchini Dinosaria halina tija kutokana na ugumu wa Kiteknolojia na gharama ikilinganishwa na faida za kuchukua hatua hiyo. Akijibu swali la Mbunge wa Mchinga Mhe. Hamidu Hassan Bobali lililo uliza,Ni nini kauli ya mwisho ya Serikali kuhusu faida ambayo wananchi wa Lindi na …

Read More »

About Sentence structure Checker

It really is equally important within real world as well as internet planet to post miscalculation no cost, with no doing all those foolish grammar errors, punctuation faults or English language syntax issues as correspondence is the best secret weapon to success.

Read More »

SERIKALI YAJIPANGA KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI

KAMUSI

Na Zawadi Msalla-WHUSM Serikali imeahidi kuweka misingi madhubuti ya kukuza lugha ya Kiswahili kwa kuhakikisha lugha hiyo inatumika katika ngazi mbalimbali ikiwemo kufundishia katika taasisi za kielimu, Mahakamani na Bunge. Hayo yameelezwa na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 60 ya …

Read More »

DAWASA YAPONGEZWA KWA UTENDAJI

DW5

Meneja wa Kituo cha uzalishaji maji Ruvu Juu Bw. Emmanuel Makusa  (katikati) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo (kushoto) wakati wa ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na DAWASA katika Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam mapema jana. Katibu Mkuu Wizara ya …

Read More »

WAKAAZI WA KIANGA WASHINDWA KUSHEREHEKEA SIKUU KATIKA ENEO LA KIWANJA CHAO BAADA YA KUJAA MAJI MCHAFU

KIW2

Kiwanja  cha mpira cha Kianga Mento ambacho wananchi wanakitumia kwa sherehe za Iddi kikiwa kimejaa maji Machafu yanayo tiririka kutoka kwenye shimo liliopo pembezoni mwa uwanja huo  na kupelekea kushindwa kufanyika sherehe hizo mwaka huu. Shimo lililokua likichimbwa mchanga zamani likionekana kujaa  maji machafu ambayo hutiririka kwenye kiwanja cha siku …

Read More »

Lowassa aachiwa kwa dhamana

index

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa 8.15 na kuelekea nyumbani kwake. Akizungumza baada ya mahojiano hayo, Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatala amesema Lowassa amejidhamini …

Read More »

SERIKALI WILAYANI KOROGWE YAAPA KUKOMESHA MIMBA ZA UTOTONI

koro

MKUU wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza wakati makabidhiano ya vyumba vya madarasa vitano na vyoo ishirini na nne,mradi maji na uzio wa shule ya msingi jitengeni iliyopo Mji mdogo wa Mombo uliofanywa na taasisi isiyo ya kisherikali A better World ya Canada ikishirikiana na Vuga development …

Read More »

Rais Magufuli Kufungua Maonesho ya Biashara Sabasaba

images

Na:  Mwandishi Wetu-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, anatarajiwa kufungua Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sababsaba Julai Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na Waziri wa Viwanda, Biashara na …

Read More »

MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO

VU2

Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwasikiliza wafanyabiashara ndogo ndogo(machinga) katika eneo la ‘One way’. Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyabiashara katika maduka ya simu barabara ya sita. Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa kwenye moja ya maduka ya simu eneo la …

Read More »

UMMY MWALIMU AMPONGEZA NA KUMSHUKURU RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI

IGA2

Matukio mbaljmbali zikionyesha matukio wakati wa ugawaji Viuadudu vya  kutokomeza Mbu wa Malaria Mjini kibaha.Pichani ni Waziri Ummy Mwalimu akigawa Viuadudu hivyo kwa Halmashauri kumi na moja Na. Catherine Sungura na Benson Mwaisaka,WAMJW- Kibaha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amempongeza na kumshukuru  Mhe.Dkt. John Pombe  …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii-1

TAREHE 25.06.2017 MAJIRA YA SAA 16:00HRS KATIKA MTAA WA MKUDI KATA YA NYAMANORO WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, LUSATO JAMES MIAKA 29, MKAZI WA MTAA WA MKUDI, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMBAKA MTOTO WA KAKA YAKE JINA TUNALIHIFADHI MWENYE UMRI WA MIAKA 07, …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA ILIYOKUWA BRN NA JOPO LA WATAALAMU WA NISHATI NA MIUNDOMBINU YA MABWAWA YA KUZALISHA UMEME

wami3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea  na watumishi wa iliyokuwa Presidential Delivery Bureau (PDB) waliokuwa wakisimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now – BRN  alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Read More »

‘Dunia Maridhawa’ ya TBL Group yaendelea kunyanyua wakulima wa Shayiri nchini

tiz5

Meneja wa TBL kiwanda cha Arusha,Joseph Mwaikasu akimpatia maelezo Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk Charles Tizeba utekelezaji wa kushirkiana na wakulima unavyofanyika .Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Dk Charles Tizeba(kushoto)akimsikiliza Afisa Ugani kutoka TBL Group,Joel Msechu(kulia) Wakulima wa Shahiri  kanda ya kaskazini wakijifunza mbinu za kilimo bora katika maadhimisho ya siku yao15.Waziri …

Read More »

MAVUNDE AWAHIMIZA WAISLAMU KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI.

mav1

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde akiteta jambo na Sheikh wa Mkoa huo, Mustafa Shaban Rajab katika baraza la Eid El Fitr lililofanyika Uwanja wa jamhuri mjini Dodoma. Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika Baraza la Eid kwenye uwanja wa Jamhuri mjini …

Read More »

WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO

makm1

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akizungumza wakati wa baraza la Eid lililofanyika kwenye shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto ni Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza katika baraza …

Read More »

WAISLAMU WATAKIWA KUENDELEZA UCHA MUNGU

Mecca

Na Swahilivilla Washington Waislamu wametakiwa kuendeleza Ucha Mungu na mema waliyokuwa wakiyafanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.   Sheikh Yussuf Mecca, kutoka Columbus, Ohio Wito huo ulitolewa jana na Sheikh Yussuf Mecca alipokuwa akizungumza kwenye sherehe za Iddi zilizoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu wa Tanzania wa Jiji la Washington na …

Read More »

MGAO WA VIUADUDU VYA KUTOKOMEZA MBU WA MALARIA LITA 100,000 NCHINI

images

Tarehe 22 June 2017, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilipia VIUADUDU vya kutokomeza Mbu wa Malaria lita 100,000 na kuagiza vigawanywe kwenye Halmashauri zote nchini. Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu anapenda kuwatanganzia Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuwa …

Read More »

Wizara ya Afya Yatekeleza Agizo la Rais Dk. John Pombe Magufuli

U 5

Frank Shija – MAELEZO Agizo la kuhakikisha Halmashauri zote nchini zinachukua dawa za viuadudu zinazozalishwa kwa katika kiwanda cha dawa hizo kilichopo Kibaha, Pwani imeanza kutekelezwa kwa Halmashauri 14 kutakiwa kufika katika kiwanda hicho na kuchukua dawa hizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Msemaji wa Wizara ya Afya, …

Read More »