Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / July

Monthly Archives: July 2017

WAZIRI DK. HARISSON MWAKYEMBE AIAGA TIMU YA TAIFA YA RAIDHA, WANARIADHA NANE WAENDA KUFUKUZA UPEPO KWENYE MBIO ZA LONDON MARATHON

2

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ,Dk Harisson Mwakyembe akizungumza wakati alipokabidhi bendera ya taifa kwa wachezaji 8 wa Riadha walioagwa leo kwenda kwenye mashindano ya riadha ya London Marahon yanayotarajiwa kufanyika mwezi wa nane nchini Uingereza, Hafla ya kuwaaga wachezaji hao imefanyika Hyatt Kilimanjaro Hotel  jijini Dar es …

Read More »

MAGARI 40 YANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI TABORA KUFUATIA MSAKO ULIOFANYWA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA (TIRA) KANDA YA KATI, WA KUBAINI VYOMBO VYA MOTO VYENYE BIMA FEKI.

tiraaaaa7

Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini  Kanda ya Kati Bi.Stella Rutaguza akizungumza na madereva pamoja na makondakta katika stendi kuu ya mabasi mkoani Tabora ,walipokwenda kugagua bima za vyombo vya moto kama ni halali ama feki.Picha na Vero Ignatus Blog    Afisa Mwandamizi wa Bima Maneno Adam kutoka …

Read More »

KIFUA KIKUU BADO NI TATIZO KUBWA KWENYE MAENEO YA MACHIMBO

DUKA

 Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti kifua kikuu na  ukoma Dr,Beatrice Mutayoba Akielezea hali ilivyo ya maambukizi ya kifua kikuu kwenye maeneo ya migodini wakati wa kikao ambacho kiliwakitanisha wadau wa sekta ya afya pamoja na wadau wa sekta ya uchimbaji madini. Wajumbe wakifuatilia hotuba ya Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti …

Read More »

LIPULI FC YANASA WACHEZAJI WAWILI TOKA YANGA

Busungu #salehjembe

Wageni wa Ligi Kuu ya Tanzania bara timu ya Lipuli FC imewasajili kwa Mkupuo wachezaji wawili ambao walishawahi kuchezea Yanga ambao ni mshambuliaji Malimi Busungu ambaye amesaini mwaka mmoja pamoja kiungo mshambuliaji Omega Seme ambaye naye mwaka mmoja. Lipuli Fc iliyochini ya kocha Selemani Matola imeanza usajili wa nguvu kwa …

Read More »

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAITAHADHARISHA CUF

111

Na Margareth Chambiri, NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekishauri Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza mgogoro unaoendelea ndani ya Chama hicho kwani unaweza kusababisha kupoteza nafasi za Udiwani katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika wakato wowote kuanzia sasa. Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Bw. …

Read More »

AISHI MANULA KUUNGANA NA SIMBA HAPO KESHO

MANULA

SIMBA SPORTS CLUB DAR ES SALAAM 31-7-2017                         TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI __________________ Golikipa wa kimataifa wa Tanzania Aishi Salum Manula kesho tarehe moja,anatarajiwa kujiunga rasimi na kambi ya klabu yetu ya Simba iliopo Eden Vale Johannesburg, nchini …

Read More »

VIJIJI VYOTE KUWA NA UMEME IFIKAPO 2021 –DKT. KALEMANI

REA

Na Tiganya Vincent-RS-Tabora Serikali imesema kuwa jumla ya vijiji 7873 na vitongoji vyake vyote  hapa nchini vitakuwa vimeshaunganisha na umeme chini ya Mradi wa Umeme Vijijini Awamu wa Tatu ifikapo mwaka 2021. Kauli hiyo imetolewa jana mjini Tabora  na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani wakati alipomtembelea …

Read More »

MATOKEO YA MWISHO USAILI TAFCA, KAMPENI ZAANZA

INDE

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA), Ramadhani Mambosasa ametangaza orodha ya majina sita ya mwisho ya wagombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Kwa mujibu Mambosasa, wagombea hao kwa sasa hawana budi kuendelea na kampeni hadi Agosti …

Read More »

YALIYOJILI KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI TFF

index

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, imekutana Jumapili Julai 30, 2017 katika Ukumbi wa Hosteli za TFF, zilizopo Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam yaliko Makao Makuu ya shirikisho. Kikao hicho, kimepitisha mambo mbalimbali ambako miongoni mwake ni mabadiliko ya Kanuni za …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA KUWAIT

PIX 4.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimkabidhi zawadi Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem (kushoto), baada ya mazungumzo na Balozi huyo alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo, jjini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho Balozi huyo aliahidi kushirikiana na Jeshi kubadilishana utaalamu katika masuala ya …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO MKAKATI WA WATER AID TANZANIA

40

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati wa Water Aid Tanzania kwa mwaka 2016-2021 wenye kauli mbiu “Kuweka Maji na Usafi wa Mazingira kuwa kitovu cha Maendeleo”iliyofanyika  …

Read More »

JAFO:ACHENI KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

jfo (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo alipotembelea eneo la mapokezi la hospitali ya Tarime na kuagiza lijengwe banda kwa ajili ya kukaa wananchi badala ya kukaa juani kama ilivyo hivi sasa. Watumishi wa Halmashauri mbili za Tarime wakiwa katika mkutano wa pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, …

Read More »

WANANCHI MONDULI KUNUFAIKA NA MAJI

IMG_20170730_113056

Mkurugenzi wa kampuni ya Smart Vision ya Korea, Seo Young Kim (kushoto) na Andrew Chung ambaye ni mbunifu wa mtambo wa kusafisha maji wakionyesha mtambo huo kwenye uzinduzi wake kwenye kitongoji cha Irmorijo Kijiji cha Emairete Wilayani Monduli Mkoani Arusha  Mkurugenzi wa kampuni ya Smart Vision ya Korea, Seo Young …

Read More »

WAZIRI AMINA AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.

DSC_1245

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandishi mara Baada ya kuzinduwa Baraza la Wazalishaji katika Hoteli ya Grand Palace malindi Mjini Unguja. Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wenye Viwanda Kilimo na Utalii(ZNCCIA)Taufiq Tourky akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Kuzinduliwa kwa Baraza …

Read More »

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA YANGA SC LIGI KUU 2017-18

lwandamina na ajibu

TAR 23/8/2017 SIMBA SC Vs YOUNG AFRICANS SC (NGAO YA HISANI) MZUNGUKO WA KWANZA *1)* TAR 27/08/2017 (SUN) – YOUNG AFRICANS SC Vs LIPULI FC (HOME) *2)* TAR 3/09/2017 (SUN) – NJOMBE MJI FC Vs YOUNG AFRICANS SC (AWAY) *3)* TAR 9/09/2017 (SUN) – MAJIMAJI FC Vs YOUNG AFRICANS ShC …

Read More »

MAJALIWA ZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA MBEYA

PMO_6985

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Umma, Viongozi wa Dini na Viongozi wa Taasisi Binafisi wa Manispaa ya Mbeya kwenye ukumbi wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya Julai 31, 2017.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Kulia ni Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Baadhi ya …

Read More »