Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August

Monthly Archives: August 2017

POLEPOLE: TUPO TAYARI KWA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA LONGIDO

2

Katibu Wa Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Wa Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi …

Read More »

KIJANA ANAYEDAIWA KUUAWA MGODINI AZIKWA NA SERIKALI GEITA

madu

Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wakiangalia maeneo ambayo yanasadikika kuwa Marehemu Shinje Charles alipoanguka na kupoteza uhai kwenye mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM).   Mkuu wa Mkoa wa Geita akioneshwa damu ambazo zilivuja baada ya marehemu kuwa ameanguka.   …

Read More »

MAAFISA WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA MAENDELEO YA UJERUMANI WATEMBELEA MAHAKAMA YA AFRIKA

1

Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chatbar(kulia)akiwaongoza wageni kutoka Wizara ya ushirikiano wa  maendeleo ya Ujerumani kupitia taasisi zake GIZ na AGA waliotembelea mahakama hiyo wamekua ni wadau wakubwa katika kusaidia miradi mbalimbali ya mahakama hiyo.   Mkutubi wa Maktaba ya mahakama  hiyo,Revina Moshi akizungumza …

Read More »

CAF YAPIGA STOP KOZI ZOTE ZA SOKA

Salum-Madadi

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limesitisha kozi zote zinazosimamiwa na shirikisho hilo ambazo zilikuwa zinaendelea ili kufanya mapitio kwa kozi zote zilizopita. Mkurugenzi wa ufundi wa TFF,Salum Madad alisema kwamba kutokana na agizo hilo kutoka CAF,nalo shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini TFF limeamua kusimamisha kozi …

Read More »

KUZIONA TANZANIA VS BOTSWANA BUKU TANO TU, MSUVA ATUA STARS

LUCAS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza viingilio vya mchezo kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Botswana utakaofanyika Jumamosi Septemba 2, mwaka huu. Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam chini ya utaratibu wa kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira …

Read More »

BANDARI KAVU YA KWALA –VIGWAZA KUANZA KUTUMIKA JANUARI MWAKANI

1

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasilino, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kushoto), akifafanua jambo wakati akikagua mchoro wa Bandari kavu ya Kwala –Vigwaza Mkoani Pwani. Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasilino, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kulia), akitoa maelekezo kwa Eng. Charles Salu Ogare anayesimamia ujenzi wa bandari kavu ya Kwala-Vigwaza  Mkoani …

Read More »

TAARIFA KUTOKA BENKI KUU YA TANZANIA KUHUSU KUBADILISHA FEDHA

bot

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kupuuza taarifa zinazozunguka katika mitandao ya kijamii kwamba kutakuwa na ‘mabadilisho ya fedha zote za zamani kuanzia tarehe 04/09/2017 hadi tarehe 01/12/2017’. Taarifa hizo ni za uongo na hazijatolewa na Benki Kuu ya Tanzania. Wananchi mnaombwa kuendelea na taratibu zenu za kawaida za …

Read More »

Muhimbili Yazindua Mfumo wa Kulipia Huduma za Afya kwa Kadi Maalumu

0001

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maxcom Africa,Jameson Kasati akimkabidhi KADI ya MALIPO Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru. Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha na Mipango, Gerald Jeremiah wa hospitali hiyo. Kadi hiyo itatumika kulipia huduma za afya katika hospitali hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya …

Read More »

MAMIA WAMIMINIKA KUJISAJILI KATIKA MFUKO WA FIDIA (WCF) IKIWA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI JENISTA MHAGAMA

5R5A4980

Meneja Matekelezo  Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Bw.Victor Luvena, (kulia), akiwahudumia waajiri waliofika kujisajili na kulipa michango leo Agosti 31, 2017.   NA K-VIS BLOG/Khalfan Said MUITIKIO wa waajiri kujisajili na kulipa michango katika Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi (WCF) umekuwa wa kuridhisha hususani Mwezi Agosti, Meneja Matekelezo Bw. …

Read More »

RC NDIKILO-WAWEKEZAJI NENDENI MKAWEKEZE KIBITI/RUFIJI HALI SASA SHWARI

IMG_20170831_140211_124

Mkuu wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo , akizungumza na wawekezaji na viongozi mbalimbali wa serikali na wawakilishi kutoka taasisi zinazoshughulikia masuala ya uwekezaji na ujenzi wa viwanda,katika mkutano aliofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa hu. Picha na Mwamvua Mwinyi ……………………… Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MWENYEKITI wa ulinzi na usalama …

Read More »