Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / August / 01

Daily Archives: August 1, 2017

EU Injects TZS. 1.4 Billion To Counter Child Marriage and FGM

Child marriage & FGM project launched_EU

The European Union Delegation in Tanzania has funded and launched today a TZS. 1,400,000,000, equivalent to EUR 600,000, three- year project (2017 – 2020) to counter child marriage and female genital mutilation (FGM) that will be implemented by Plan International Tanzania in partnership with Children’s Dignity Forum (CDF) and New …

Read More »

MHANDISI MAKANI ASISITIZA UTALII WA MISITU YA ASILI NCHINI KAMA CHANZO MUHIMU CHA KUONGEZA PATO LA TAIFA NA JAMII KWA UJUMLA

3

  NA HAMZA TEMBA – WMU …………………………………………………………………………….. Katika kuhakikisha sekta ya utalii nchini inaendelea kukua kwa kasi, Serikali imesema itaimarisha utalii wa Misitu ya Asili nchini iweze kutoa mchango mkubwa kwenye pato la taifa tofauti na ilivyo hivi sasa ambapo hutegemea zaidi utalii wa wanyamapori. Hayo yamesemwa jana wilayani Lushoto …

Read More »

DIDA ASAINI AFRIKA KUSINI AANZA KAZI RASMI

Dida sauz #salehjembe

Kipa wa zamani wa Yanga, Deogratius Munish ‘Dida’ amesajiliwa na klabu ya Chuo Kikuu cha Pretoria. Timu hiyo maarufu kama Tuks FC inashiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini. Mara ya mwisho iliteremka daraja kutoka Ligi Kuu Afrika Kusini maarufu kama ABSA Premiership baada ya kushika nafasi ya 15 …

Read More »

HIZI NDIO SABABU ZA NEYMAR KUTAKA KUONDOKA BARCELONA

42D030D300000578-4749320-image-a-28_1501581967121

Romario alishinda 1994. Ikawa ni zamu ya Ronaldo kushinda 1996 na 1997 na tena 2002. Rivaldo alichaguliwa 1999, Ronaldinho 2004 na 2005 huku kaka akichaguliwa 2007. Katika kipindi cha miaka 13, wachezaji watano walishinda taji la mchezaji bora dunia katika miaka 8 tofauti hivyobasi kuweka mfano mwema miongoni mwa vipaji …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI SHIRIKA LA NYUMBA,UONGOZI WA WIZARA UJENZI,MAWASILIANO NA USHAFIRISHAJI

DSC_7892

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa  sambamba na ufukiaji wa Bahari ya  Eneo la pwani ya Gulioni  katika kikao cha siku moja kilichojumuisha  Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe  wa Bodi ya Wakurugenzi ya …

Read More »

MTIBWA SUGAR YAPATA MRITHI WA MBONDE,ASAINI MIAKA MIWILI

20604395_471896976523419_813966222588880114_n

Timu ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro baada ya kuondokewa na beki wao kisiki Salum Mbonde aliyejiunga na Simba hatimaye Leo wameingia Mkataba na beki wa African Lyon Hassan Suleiman Isihaka. Timu hiyo inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari bora nchini Mtibwa Sugar kilichopo Turiani, imefanikiwa kunasa saini ya beki huyo …

Read More »

MAKONDA: NIMEDHAMIRIA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU

KOM1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akizungumza na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambapo vyombo hivyo viko tayari kushiriki ujenzi wa Ofisi za walimu wakuu pamoja na vyoo katika shule za msingi na sekondari zenye mahitaji ya huduma hizo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paul Makonda …

Read More »

NIYONZIMA RASMI MALI YA SIMBA,KUTAMBULISHWA SIMBA DAY

IMG_0254

Mabingwa wa Kombe la FA Cup timu ya Simba imetangaza rasmi kuwa imeingia mkataba wa miaka miwili kiungo hodari Harun Niyonzima ambaye amemaliza mkataba wake na Mabingwa wa Vodacom Yanga. Leo au kesho, kiungo Haruna Niyonzima anaweza kuungana na wenzake Afrika Kusini Sasa una sababu ya kuwa na hofu kwa …

Read More »

JESHI LA ZIMAMOTO LAZINDUA KAMPENI YA NAMBA YA DHARURA 114 KUKABILIANA NA MAOKOZI YA MAISHA NA MALI

PIX 2

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Namba ya Dharura 114, itakayotumiwa na wananchi kutoa Taarifa za majanga ya moto,ajali,mafuriko,tetemeko la ardhi na majanga mengine.Wengine ni Katibu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojishughulisha na kuzuia Uhalifu, ajali (UAC),Elliot Andrew …

Read More »

NIDA YASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE KITAIFA MKOANI LINDI

IMG_6008

Mmoja wa wananchi wa Lindi akipata maelekezo toka kwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano NIDA, Bi. Rose Mdami. Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika viwanja ya Ngongo, karibu kabisa na Jukwaa Kuu la Maonyesho. Baadhi ya Wananchi waliotembelea Banda la NIDA wakifuatilia maelelezo ya namna ya kujisajili …

Read More »

Wateja DStv wajinyakulia zawadi kedekede!

4

Afisa muandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania Abdallah (katikati waliokaa)akifuatilia kwa karibu wakati wa droo ya kuchagua washindi wa promosheni ya Jishindie na DStv ambapo wateja takriban 100 wa DStv walijishindia zawadi mbalimbali. Kulia ni Meneja Uhifadhi wateja wa Multichoice Tanzania Hilda Nakajumo, Wengine ni maafisa wa Multichoice …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA DHAHABU CHUNYA

PMO_7547

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea na kujionea mtambo wa kisasa wa kusafisha  dhahabu kwa asilimia  99 unaomilikiwa na kampuni ya Sunshine Group uliopo katika kata ya Matundasi wilayani Chunya mkoani Mbeya. Ametembelea mtambo huo leo (Jumanne, Agosti 1, 2017) wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya na kusema …

Read More »

Dkt. Harrison Mwakyembe awaahidi BFT kuwatatulia kero ya eneo la Mafunzo.

PICHA 3

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akionyesha Jarida la Mpango Mkakati la Shirikisho la Masumbwi Tanzania (BFT) mara baada ya kufanya nao mazungumzo katika Ofisi za Wizara 01 Agosti, 2017 Jijini Dar es Salaam. (PICHA NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM) …………………………………………………………………………….. Na Benedict Liwenga-WHUSM. Waziri wa …

Read More »

Dkt. Abbasi Aelelezea Hali ya Uchumi Nchini Tanzania

PIX1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya uchumi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Sehemu ya Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus. …

Read More »