Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / August / 02

Daily Archives: August 2, 2017

Tigo yatoa msaada kompyuta 47 Chuo Kikuu cha Dodoma

kom

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma,  Prof. Idris Kikula akipokea moja  kati ya komputa 47 za thamani ya shilingi milioni 71/- toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Simon Karikari.Wengine kutoka kushoto Makamu Msaidizi Mkuu wa Chuo, Utawala, Mipango na Fedha, Prof. Ahmed Amme, Makamu Mkuu Msaidizi Chuo Kikuu Udom, Prof. Peter Msofe, Meneja huduma kwa jamii Tigo, Halima Okash(mwenye kilemba) na Meneja …

Read More »

ZFA KUJADILI MFUMO MPYA WA KUPATA TIMU ZA LIGI KUU

ZFA

Na Sleiman Ussi,Zanzibar Kamati ya  utendaji ya chama cha mpira wa miguu visiwani Zanzibar (ZFA) imekutana asubuhi ya leo kujadili masuala kadhaa ikiwemo namna yakupatikana kwa mfumo utakaotumika kuendesha ligi kuu soka ya Zanzibar kwa msimu wa 2017-2018. Akizungumza na wana habari  baada yakukamilika kwa kikao hicho msemaji wa chama …

Read More »

WFP YATAMBULISHA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA NJAA NCHINI

1

 Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford akielezea kwa undani namna shirika hilo litakavyoweza kufanya kazi nchini Tanzania na kuitaja mikakati mitano waliyo iweka kwa ajili ya Shirika hilo.  Mmoja wa Blogger Bw. Bethuel Kinyori ambaye ni Mmiliki wa mtandao wa Dailypulse24.com akiuliza swali wakati wa …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA YA UKUZAJI VITEGA UCHUMI,NA UONGOZI WA MAMLAKA YA UKUZAJHI VITEGA UCHUMI

DSC_8186

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya  Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi pamoja na Uongozi wa Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi ZIPA katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu …

Read More »

MGOSI AVULIWA UMENEJA SIMBA,APEWA KAZI NYINGINE

IMG_0173

*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI* ____________________________________________ Kikao cha kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliokutana hivi karibuni,imemteua Dr Cosmas Kapinga kuwa Meneja mpya wa Timu ya Simba Dr kapinga anachukua nafasi ya Mussa Hassan Mgosi ambae amepangiwa majukumu mengine ndani ya klabu. Kapinga ataanza kazi yake mpya,mara baada ya …

Read More »

MWIGULU-USAFIRI (MAGARI,BOTI)WANAVYOKUTWA NAVYO WAHAMIAJI HARAMU VITAIFISHWE

IMG-20170802-WA0005

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi ,Mwigulu Nchemba ,amewataka askari wa uhamiaji nchini kuhakikisha wanataifisha magari na vyombo vya usafiri wanavyokutwa navyo wahamiaji haramu ,wakati wanapokamatwa. Aidha amewaagiza askari hao kuwakamata watu wanaowalipia faini wahamiaji haramu na kuwafungulia mashitaka. Mwigulu aliyasema hayo,wakati alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi …

Read More »

TANZIA PROF. JOSEPH TARMO NAGU

NAGU

Mbunge wa Hanang Bi. Mary Nagu anasikitika kutangaza kifo cha Mume wake mpendwa Profesa Joseph Tarmo Nagu kilichotokea 30/07/2017 katika Hospital ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwao Endasak, Hanang siku ya Alhamis tarehe 03/08/2017 saa tano asubuhi. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote …

Read More »

Wadau Sekta ya Mafuta na Gesi Washauriwa Kujiunga na ATOGS

Pix 01

Mkurugenzi wa mifuko ya Uwezeshaji toka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Edwin Chrissant akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) fursa zilizopo za uwekezaji kupitia mifuko ya hifadhi, katikati ni Mwanzilishi na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi watoa huduma ya mafuta na gesi nchini Abdulsamad Abdulrahim na kushoto ni Naibu …

Read More »

LESENI ZA KLABU, WACHEZAJI VIFAA VYA VODACOM

nchunga

Wakati zimebaki siku nne (4) kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili kwa msimu wa 2017/18, tunazikumbusha klabu 16 za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL); timu 24 za Ligi Daraja la Kwanza na 24 Ligi Daraja la Pili kukamilisha usajili kwa Mfumo wa Mtandao wa TMS – Transfer …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

index

MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA NOTI BANDIA WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 01.08.2017 MAJIRA YA SAA 23:00HRS KATIKA BAR IITWAYO THE DREAMS ILIYOPO MTAA WA KONA YA BWIRU KATA YA KITANGIRI WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, ASKARI WAKIWA KWENYE DORIA NA …

Read More »

WAKINAMAMA WAHIMIZWA KUENDELEA KUNYONYESHA WATOTO WAO

1

Afisa Lishe kutoka Kitengo cha Lishe Wizara ya Afya Fatma Ali Said akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya unyonyeshaji katika ukumbi wa Wizara hiyo Mnazimmoja Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhani Ali) …………………………………………………………………………. Na Ramadhani Ali-Maelezo Zanzibar Akinamama wamehimizwa kuendelea kunyonyesha watoto wao maziwa ya kifua pekee katika kipindi …

Read More »

VIONGOZI WA DINI KUWASHITAKI WASIOTEKELEZA AGIZO LA RAIS

mwamalanga

Na Judith Mhina- MAELEZO *Ni agizo la marufuku ya mwanafunzi atakayepata mimba kurudi shuleni, Kamati ya Maadili yatishia kuwashitaki viongozi wa  Wilaya na Halmashauri zote nchini, kama hawata ainisha maeneo hatarishi kwa watoto wa kike na wakiume, kutokana na agizo la marufuku ya mwanafunzi atakayepata mimba kurudi shuleni. Hayo yamesemwa …

Read More »

HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA YARUHUSU KUINGIZA NGURUWE BAADA YA KUPIGA MARUFUKU

IMG_20170727_142305-1

Ofisa habari wa halmashauri ya mji wa Kibaha,Innocent Byarugaba,akizungumzia na waandishi Wa habari ofisini kwake.(picha na Mwamvua Mwinyi ) …………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani ,imesitisha zuio la kuingiza na kufanya biashara ya nguruwe na mazao yake ,:”ambapo juni mwaka huu ilipiga marufuku biashara hiyo …

Read More »