Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 03

Daily Archives: August 3, 2017

Mwakyembe Ataka Kuanzishwa kwa Mfuko wa Wasanii

PIX0

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Bw. Onesmo Kayanda akizungumza wakati wa mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) na wadau wa sanaa ya muziki kupitia Chama cha Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) leo Jijini Dar es …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA UNAIDS NCHINI TANZANIA

DSC_8405

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Mkurugenzi na Mwakilishi …

Read More »

Rais Magufuli Afuta Umiliki wa Mashamba Mkoani Tanga

10

Na: Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefuta umiliki wa mashamba matano yenye jumla ya hekari 14,000 yaliyoshindwa kuendelezwa na wamiliki wake katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga. Hatua hiyo imechukuliwa leo na Rais Magufuli wakati akiwahutubia wananchi wa Wilaya hiyo …

Read More »

Mkuu wa Wilaya Mkalama, Awataka Bodaboda kuchangamkia Fursa NMB

unnamed

MKUU wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Eng. Jackson Jonasi Masaka, amewaagiza madereva wa boda boda kuanzisha na kusajili vikundi vya ujasiriamali, ili kujijengea mazingira mazuri kupata mikopo toka tawi la NMB benki, lililozinduliwa wilayani humo. Eng. Masaka ametoa agizo hilo juzi wakati akizungumza kwenye uzinduzi rasmi wa tawi la NMB …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI YA MFUKO WA BARABARA,UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIAPANGO NA UONGOZI WA MFUKO WA BARABARA

DSC_8244000

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo,wakati wa kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Barabara na Uongozi wa Mfuko wa Barabara,kilichozungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji, Katibu NMkuu …

Read More »

JAFO: HILI NI DAMPO LA MFANO

dampo 4

Kazi ya utupaji taka na ushindiliaji taka ikifanyika ndani ya Dampo la kisasa la Chidaye. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akikagua eneo la Dampo la Chidaye Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza mara baada ya kukagua Dampo la Chidaye. ……………………. Naibu Waziri, Ofisi ya …

Read More »

Waziri Jenista Akutana na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF

DSC_0054

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira  na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi UNICEF Tanzania Ms. Maniza Zaman kuzungumzia uboreshaji wa huduma za Hifadhi ya Jamii na Masuala ya Watu Wenye Ulemavu ofisini kwake, Jijini Dar es …

Read More »

HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI

DSC_5095

Msemaji wa Simba, Haji Manara ameamua kufanya “uchale” baada ya kuiwakilisha Yanga wakati wa hafla fupi ya ukabizishwaji vifaa iliyofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, Vodacom. Manara alikwenda moja kwa moja jukwaani wakati vijana waliokuwa wakiiwakilisha Yanga kupanda jukwaani kutambulisha jezi hizo. Kwa kuwa hakukuwa na mwakilishi wa Yanga, …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 03.08.2017   MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUTENGENEZA POMBE ZA (VIROBA) KIENYEJI NA KUZIHIFADHI KWENYE VIFUNGASHIO VYA CHUPA ZA PLASTIKI  KIASI CHA BOKSI 33, WILAYANI NYAMAGANA.   MAJAMBAZI WATATU WANASHIKILIWA …

Read More »

KOKA -ABEMBELEZA AJIRA KWA WAKAZI WA MJINI KIBAHA

SAM_4940

WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi,Mwigulu Nchemba,akipata maelezo wakati alipotembelea NIDA ambayo ofisi zake mpya zinajengwa mjini Kibaha,kulia ni kaimu mkurugenzi uzalishaji wa vitambulisho NIDA ,Alfonce Malibiche.(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MBUNGE wa jimbo la Kibaha Mjini ,Silvestry Koka ,ameitaka idara husika ya ajira kuzingatia kutoa ajira …

Read More »

Pembejeo si Tatizo tena: Bodi ya Korosho Tanzania

Pix 02

Katibu na Mwanasheria toka Bodi ya Korosho Bi. Ugumba Kilasa (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea upatikanaji wa mbolea ya Salfa kwa wakulima wa korosho mapema hii leo jijini Dar es Salaam,kulia ni Mkaguzi wa ndani wa bodi hiyo Bw. Christopher Mwaya. Katibu na Mwanasheria …

Read More »

UHAMIAJI WAMALIZA UTATA WA URAIA WA KARIA

Michuzi Karia

Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Mrakibu wa Uhamiaji Ally Mtanda akiongea na Vyombo vya Habari kuhusu matokeo ya uchunguzi wa suala la utata wa uraia wa Ndugu Wallace John Karia, ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF. Kutokana na pingamizi lililowekwa …

Read More »

Mradi Bomba la Mafuta kupaisha Bandari ya Tanga

Picha Na 3

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akielezea Mradi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi katika Bandari ya Tanga nchini Tanzania unaotarajiwa kuzinduliwa Agosti 05, 2017 huko Chongoleani mkoani Tanga katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa …

Read More »

MHE. NDUGAI AHUDHURIA HAFLA YA KUAPISHWA RAIS WA IRAN

SPIKA PICHA 2

Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza  na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii katika Bunge la Iran, Mhe Dkt, Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 …

Read More »