Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 04

Daily Archives: August 4, 2017

WANANCHI WA ULANGA WAISHUKURU SERIKALI

daraja jafo (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akiwa katika daraja la Kilombero ambalo ni mkombozi kwa wananchi wa wilaya ya Ulanga na Malinyi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akiwajulia hali wagonjwa alipotembelea kuangalia utoaji huduma katika Kituo cha Afya Lupilo wilayani Ulanga mkoani Morogoro. Wafanyakazi wa …

Read More »

ZOLA WATUA KWA KISHINDO DAR WAZINDUA DUKA JIPYA MWENGE

DSC_0017

DUKA jipya linalouza vifaa na kutoa huduma za umeme wa ZOLA lazinduliwa Mwenge jijini Dar es Salaam leo.  Akizungumza wakati uzinduzi wa Duka hilo Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa ZOLA, Steve Kimea ametoa wito kwa Taasisi za Serikali ambazo hazina huduma za umeme hasa vijijini kushirikiana nao ili kuwafikia …

Read More »

KASI YA MIRADI YA MAENDELEO YAZIDI KUSUKUMWA ZAIDI ARUMERU

unnamed

Miradi mbalimbali iliyokua imekwama kwa halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru imeendelea kupata chagizo la kuamka kwa kasi mpya baada ya mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo alipokabidhi mabati 450 kwa halmashauri hiyo. “Huu ni utekelezaji wa ahadi zangu nilizotoa katika ziara yangu katika halmashauri ya Meru, kwani …

Read More »

NEYMAR RASMI NI MALI YA PSG APEWA JEZI NAMBA 10

neymar PSG #salehjembe

Neymar sasa rasmi ni mchezaji wa Paris Saint-Germain kwa uhamisho wake wa pauni million 198 ambayo ni rekodi mpya ya usajili duniani. Thamani ya Neymar wakati akitokea Santos kwenda Barcelona, sasa imepanda kwa pauni million 100. Atakuwa akilamba mshahara wa pauni 500,000 katika mkataba wake huo wa miaka mitano na …

Read More »

TAARIFA KUHUSU KUZINDULIWA KWA HUDUMA YA FOMU YA MAOMBI YA PASIPOTI MTANDAONI (ONLINE PASSPORT APPLICATION FORM)

kulima

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI                                            IDARA YA UHAMIAJI       TAARIFA KWA UMMA KUZINDULIWA KWA HUDUMA YA FOMU YA MAOMBI YA PASIPOTI MTANDAONI (ONLINE PASSPORT APPLICATION FORM)   Idara ya Uhamiaji inapenda kuutangazia umma kuwa imezindua rasmi huduma ya fomu ya maombi ya pasipoti …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA BI. SIHABA NKINGA AKUTANA NA MKURUGENZI MKAZI WA SHIRIKA LA ‘WORLD EDUCATION INITIATIVE’ OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Pix 1

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la ‘World Education Initiative’ Bi Lilian Badi (hayupo pichani) walipofika kutambulisha programu ya ‘Waache Wasome’ katika Ofisi ya Wizara iliyoko UDOM …

Read More »

Rais Museveni Atua Dar Tayari Kwenda Tanga

IMG-20170804-WA0143

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Dar es Salaam tayari kuelekea jijini Tanga kwa Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi …

Read More »

Waziri Mwakyembe Akutana Na Wasanii wa Filamu Nchini.

Pix 01

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akieleza mikakati ya Serikali katika kutatua changamoto za wasanii wa filamu nchini wakati alipokutana nao mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipokutana nao …

Read More »

TANGA: HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA

1 (1)

Na Agness Moshi- MAELEZO, Agosti 4, 2017 Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu taarifa za kujengwa kwa Mradi wa  Bomba la Mafuta   litakaloanzia Hoima Nchini  Uganda mpaka Tanzania kwenye bandari ya Tanga kuenea kwenye vyombo vya habari ,mitandao ya kijamii na kwa wakazi wa Mkoa wa Tanga ambao ndio wahusika …

Read More »

WAKULIMA WAASWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WAFANYABIASHARA

DSC_0631

Na Mathias Canal, Lindi   Baada ya kuimarisha umoja na ushirikiano wa wakulima wenyewe ni vema wakulima wakajenga mahusiano mazuri na wafanyabiashara ili kutokutoa mianya kwa madalali ambao mara nyingi wamekuwa wakilalamikiwa kuwa wananunua mazao ya wakulima kwa bei ya chini huku wao wakiyauza kwa bei ya juu.   Hayo …

Read More »

ULAJI NYAMA ISIYO NA KIWANGO NI CHANZO CHA MAGONJWA.

raw-beef

Na: Agness Moshi – MAELEZO. Ulaji wa nyama una faida lukuki kwa afya ya binadamu ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa virutubisho vya aina ya protini ambayo ni rahisi kutumika mwilini, madini mbalimbali (Calcium, Magnesium, Phosphorus, Zinc na Chuma); vitamini aina ya folic asidi,  E, B  na B12 ambayo inapatikana …

Read More »

MAHAKAMA YAIMARISHA HAKI ZA WATOTO KWA VITENDO

DSC07113[1]

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akikata utepe kuzindua Mahakama ya Watoto (Juvenile Court) leo jijini Mbeya. Hii ni Mahakama ya Pili ya Watoto nchini Tanzania baada ya ile iliyoko Kisutu Jijini Dar es salaam. Mahakama hii imejengwa kwa ushirikiano kati ya Mahakama ya Tanzania na Shirika la …

Read More »

MHANDISI MAKANI ASISITIZA UHIFADHI SHIRIKISHI WA MALIASILI ZA TAIFA

_86A1386

Niabu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza na wananchi katika kijiji cha Mshiri wilayani Moshi ,alipotembelea kijiji hicho kusikiliza Changamoto zinazo wakabili hususani katika eneo la Nusu Maili lililopo chini ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro. NA HAMZA TEMBA -WMU …………………………………………………………………….   Naibu Waziri wa Maliasili na …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA KAMISHENI YA ARDHI IKULU.

DSC_8703

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira,Bodi ya Kamisheni ya Ardhi na Uongozi wa Kamisheni ya Ardhi katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji, Rais …

Read More »

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

kulima

                                                                                               TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Zimekuwepo taarifa za kuingia nchini kwa wahamiaji haramu kupitia mpaka wetu na Nchi ya Kenya. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  kupitia Idara yake ya Uhamiaji inawahakikishia Watanzania kwamba  hatua  kali za kisheria  zinachukuliwa  dhidi  ya raia wote wa kigeni  wanaoingia  nchini kinyume …

Read More »