Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / August / 05

Daily Archives: August 5, 2017

Benki ya NMB yachangia Milioni 10 Tamasha la Usalama Barabarani

HAZ

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, BENKI ya NMB leo imekabidhi mchango wa jezi za mpira wa miguu seti 10 pamoja na fulana 500 zikiwa na jumbe mbalimbali kuhamasisha uzingatiaji sheria na kanuni za usalama barabarani ikiwa ni kuchangia kufanikisha Tamasha kubwa la Usalama barabarani linalotarajia kufanyika uwanja wa Taifa hapo baadaye. Msaada huo umekabidhiwa …

Read More »

MATUKIO ZAIDI KATIKA PICHA RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA UGANDA MPAKA BANDARI YA TANGA

8

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. …

Read More »

NEEMA SEKTA YA AFYA MKOA WA DAR ES SALAAM.

KIT1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amepokea Vitanda 150 na Magodoro 150 vyenye tamani ya zaidi ya shilingi Million 300 kutoka kampuni ya mafuta ya Camel Oil iliyoamua kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa katika kuboresha sekta ya Afya. Akizungumza baada ya kupokea Vitanda …

Read More »

KRC GENK YADUNGULIWA UGENINI,SAMATTA ALIMWA KADI

mbwana-samatta-genk-09032017_1n1p5hhg5j2g21j4dy8b8nlpzy

Mshambuliaji  wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘Champion Boy’ usiku wa Ijumaa  timu yake ya KRC Genk ikiambulia kichapo cha magoli 2-1 dhidi ya wenyeji Standard Liege anayecheza mchezaji toka Uganda Frank Miya mchezo wa ligi kuu ya Ubelgiji uliopigwa kwenye uwanja wa Maurice Dufrasne Mjini Liege. Samatta jana …

Read More »

WAKUU WA SHULE WATAKIWA KUWA WABUNIFU KUONGEZA UFAULU

PICHA A

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Shule (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo yao ya siku mbili yaliyofanyika Mjini Bariadi, (kulia) Afisa Elimu Mkoa, Mwl.Julius Nestory. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na Wakuu wa Shule (hawapo pichani) wakati wakufunga mafunzo yao ya siku mbili …

Read More »

Tipps zur Entscheidung über einen Ghostwriter für Search Engine Optimization Ghostwriter Verwendet

Tipps zur Entscheidung über einen Ghostwriter für Search Engine Optimization Ghostwriter Verwendet Tipps zur Entscheidung über einen Ghostwriter für Search Engine Optimization Ghostwriter Verwendet Zunächst Inhalte werden Informationen über Ihre Nische zu Ihren Kunden und potentiellen Kunden herzustellen. Artikel Artikel zu Ihrer Internet-Seite regelmäßig auf Ihre Daten zu aktualisieren. Darüber …

Read More »