Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 06

Daily Archives: August 6, 2017

AZAM FC YATUA UGANDA KWA AJILI YA KUIPASHIA VPL

271A2340

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tayari kimetua nchini Uganda kwa kambi ya siku 10 ya maandalizi ya msimu ujao utakaoanza Agosti 26 mwaka huu. Kambi hiyo ni maalumu kabisa kwa ajili ya kucheza mechi nne kali za ushindani, dhidi ya KCCA, URA, SC Villa …

Read More »

USAJILI WANACHI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAPAMBA MOTO VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

IMG_6028

Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Bw. Deodatus Alexander akimkabidhi kitambulisho chake Bw. Abrahman Mohamed Mussa, akiwa miongoni mwa wananchi waliokamilisha taratibu za Usajili na kukabidhiwa Vitambulisho vyao wakati wa maonyesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo Lindi. Baadhi ya wananchi wakikamilisha taratibu za Usajili kwa kuchukuliwa …

Read More »

MHANDISI LWENGE ATOA HEKO KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWA KUANZISHA MFUMO RAHISI KWA WANANCHI KUPATA TAARIFA ZIHUSUZO NISHATI JADIDIFU

DSC_0891

Na Mathias Canal, Lindi Wizara ya Nishati na Madini imetambua kadhia iliyokuwa inawakumba wananchi kupata taarifa sahihi na za uhakika kuhusu masuala ya nishati jadidifu hapa nchini na hatimaye kuanzisha mfumo rahisishi wa taarifa unaojulikana kama Tanzania Renewable Energy Information Management System (TREIMS). Mfumno huu utasaidia kuhakikisha kwamba taarifa sahihi …

Read More »

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFUNGUA KAMBI YA MATIBABU YA MA CHO (ZU) TUNGUU NA KUWATAKA WANANCHI KUTUMIA FURSA YA KUFANYIWA UCHUNGUZI NA KUPATIWA MATIBABU

03

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiwasili Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU) Tunguu kufungua kambi ya matibabu ya macho ya siku tano inayosimamiwa na madaktari kutoka Chuo Kikuu cha Lahore Pakistan na madaktari wazalendo, (kulia) Mkuu wa Chuo cha ZU Dkt. Mustafa Rashashi. Mratibu wa huduma za macho Zanzibar Dkt. …

Read More »

Benki Zashauriwa Kubuni Bidhaa Zitakazo Wavuta Masikini

unnamed

MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu ameyashauri mabenki ikiwemo NMB kubuni bidhaa zitakazowanufaisha Watanzania maskini ili kuondoa dhana inayowabaguzi ya kuwa “‘maskini sio rafiki wa taasisi za kifedha”. Mtaturu ametoa wito huo juzi wakati akifungua rasmi Tawi la Benki ya NMB Ikungi. Alisema kuendelea kuamini kwamba maskini sio …

Read More »

Tabora Yajiweka Tayari Fursa Bomba la Mafuta

17

Na. mwandushi Wetu-MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amesema kipaumbele cha uongozi wa mkoa wake ni kuhakikisha wanatoa elimu ya kutosha kwa vijana na wananchi wa mkoa huo kuchangamkia kila fursa zitakazotajitokeza Mkoani humo wakati wa ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda …

Read More »

WAHAMIAJI HARAMU 72 NA WAKALA WAO WAKAMATWA PWANI

IMG_20170806_102904

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la Polisi Mkoani Pwani ,linamshikilia mfanyabiashara anaedaiwa kuwasafirisha wahamiaji haramu 72 raia kutoka nchini Ethiopia,Rajabu Hitaji (30)mkazi wa Vigwaza ,Bagamoyo . Aidha jeshi hilo linawashikilia pia wahamiaji haramu hao kwa kosa la kuingia nchini bila kibali . Akitolea ufafanuzi juu ya tukio hilo ,kamanda wa Polisi …

Read More »

MASAUNI APOKEA VIFAA VYA TAMASHA LA USALAMA BARABARANI LITAKALOFAYIKA AGOSTI 12, MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA

PIX 4

Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku ya              Tamasha la Usalama Barabarani kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Mauzo wa Benki ya NMB,Omari Mtiga(kushoto), wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika …

Read More »

Makonda, Ruge na Tanzania All Stars wanogesha sherehe za uwekaji jiwe la msingi la mradi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga kijijini Chongolieni

ALL

 Wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars wakijiandaa kupanda jukwaani kutumbuiza kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga katika sherehe zilizofanyika kijiji cha Chongolieni kilicho nje kidogo mwa …

Read More »