Wednesday , January 16 2019

Home / MICHEZO / MASAUNI APOKEA VIFAA VYA TAMASHA LA USALAMA BARABARANI LITAKALOFAYIKA AGOSTI 12, MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA

MASAUNI APOKEA VIFAA VYA TAMASHA LA USALAMA BARABARANI LITAKALOFAYIKA AGOSTI 12, MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA

PIX 1

Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku ya              Tamasha la Usalama Barabarani kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Mauzo wa Benki ya NMB,Omari Mtiga(kushoto), wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,jijini Dar es Salaam.Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

PIX 2

Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani,Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku yaTamasha la Usalama Barabarani kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya Bakhresa,OmaryKuwe (kushoto) wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,jijini Dar es Salaam.Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

PIX 3

MwenyekitiwaTaifawaBaraza la UsalamaBarabarani,Naibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akipokeamojayatishetizitakazovaliwaSikuyaTamasha la UsalamaBarabaranikutokakwaMwakilishiwaKampuniya Bin Slum, wakatiwamakabidhianoyaliyofanyikakatikaUkumbiwaWizarahiyo,jijini Dar es Salaam.MgeniRasmianatarajiwakuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Dkt. John Magufuli

PIX 4

MwenyekitiwaTaifawaBaraza la UsalamaBarabarani,Naibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia), akizungumzanaVyombovyaHabaribaadayakupokeavifaakutokaKampunimbalimbalizilizojitokezakudhaminiSikuyaTamasha la UsalamaBarabaranilitakalofanyikaAgosti 12 katikaUwanjawaTaifa, ambapoMgeniRasmianatarajiwakuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowaTanzania,Dkt. John Magufuli.KulianiKamandawaKikosi cha UsalamaBarabaraninchini,FortunatusMusilimu.MakabidhianohayoyamefanyikakatikaUkumbiwaWizarahiyo,jijini Dar es Salaam.

PIX 5

MenejaMasokowaKampuniyaBakhresa, OmaryKuwe(kushoto) akizungumzanaVyombovyaHabaribaadayakukabidhivifaakwaajiliyaudhaminiwaSikuyaTamasha la UsalamaBarabaranilitakalofanyikaAgosti 12 katikaUwanjawaTaifa, ambapoMgeniRasmianatarajiwakuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania, Dkt. John Magufuli.MakabidhianohayoyamefanyikakatikaUkumbiwaWizarahiyo,jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi

 

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

About Alex

Check Also

IMG_5775

Wananchi kata ya Kala Wamlilia RC Baada ya kukosa Mawasiliano ya Simu Una Radio

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (kushoto) akiongea na wananchi wa Kijiji cha …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × two =