Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 07

Daily Archives: August 7, 2017

MAHAKAMA YAKABILIWA NA CHANGAMOTO YA KESI ZA MAKOSA YA KIMATAIFA

juma

Na Mahmoud Ahmad-Arusha Mahakama za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kuzikabili kesi za kimataifa ikiwemo kesi za uhalifu wa kimtandao,biashara ya binadamu kwani imeonekana zimekuwa zikiisha bila ya kuwatia hatiani wakosaji wa makosa hayo na kuangalia kama vyombo husika na mashtaka vinauwezo kiasi gani katika kuzikabili kesi hizo. Kauli …

Read More »

WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA MAONYESHO NIDA MKOANI LINDI NA KUSISITIZA KUANZA KWA MATUMIZI YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

IMG_6163

Baadhi ya wananchi wakishuhudia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Bw. Omary R. Ntungu akiweka saini kwenye Kitabu cha wageni alipofika kwenye banda la NIDA kushuhudia usajili unaoendelea kwa wananchi. Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hamad  Rashid Mohamed akiweka saini kitabu cha …

Read More »

KLABU YA SIMBA YATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) NA KUKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI MBILI KWA AJILI YA MATIBABU YA UPASUAJI WA MOYO KWA MTOTO MWAMVITA HASSAN

Simba 2

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akieleza umuhimu  wa mchezaji kupima magonjwa ya moyo ili kuepuka  kupata madhara ya ugonjwa huo wawapo uwanjani kwa baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu ya Simba waliotembelea Taasisi hiyo leo. Nahodha wa timu ya Simba Method Mwanjali …

Read More »

Mradi wa PS3 Kuimarisha Uandaaji Bajeti

MMG_8388

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Morogoro. Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari amesema kuwa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) umetegemewa kuimarisha utendaji kazi wa Halmashauri nchini kwa kuleta mageuzi makubwa katika eneo la uandaaji wa Bajeti na upangaji wa mipango ya Serikali. Tandali alisema …

Read More »

Kijiweni Production Kubadili Taswira ya Filamu Nchini.

DSC_0428

Na. Paschal Dotto-MAELEZO Kampuni ya Kijiweni Production imesema imejidhatiti kuipandisha chati tasnia ya filamu nchini kwa kuongeza ubunifu na ubora katika utengenezaji filamu hasa kuwekeza nguvu nyingi katika utayarishaji wa filamu. Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Kijiweni Production Bw. Amil Shivji amesema ili kuliweka soko la …

Read More »

MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI OMBI LA MANJI KUTAKA APEWE DHAMANA

WhatsApp Image 2017-08-04 at 16.52.06

Mahakama Kuu Tanzania, imetupilia mbali ombi la Yusuf Manji kutaka apatiwe dhamana katika kesi yake inayomkabiri ya kuhatarisha usalama wa taifa. Ombi hilo lilifunguliwa na mawakili wa Manji, lakini Mahakama Kuu imepitisha uamuzi wa kulitupitia mbali ombi na kumresha Manji katika Gererza la Keko. Mawakili wanaomtetea, waliamua kufungua ombi hilo …

Read More »

JWTZ Wapokea Vifaa Vya Michezo Kutoka NMB

unnamed

Na Mwandishi Wetu, BENKI ya NMB leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) inayotarajia kushiriki Mashindano ya Kijeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayofanyika jijini Bujumbura – Burundi. Vifaa vilivyokabidhiwa leo ni pamoja na mipira kwaajili ya timu ya mpira wa miguu, mipira ya mchezo …

Read More »

UJENZI WA MAEGESHO LINDI KITUNDA WAFIKIA HATUA NZURI

PIC 4

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. Mussa Mgwatu (kulia)akimuonyesha mkandarasi wa kampuni inayojenga maegesho ya Lindi Kitunda Mhandisi Evans Martin eneo la maegesho ya kivuko wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo mjini Lindi. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. …

Read More »

WENGER ASEMA ANATAKA KUANZA MSIMU MPYA KWA KUSHINDA

43065B1C00000578-4765954-image-m-2_1502044475577

Kocha Mkuu wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger, anasema anajiamini kutokana ushindi wa ngao ya jamii dhidi ya Chelsea, na analenga kuzuia kipindi kibaya kwenye mechi za Primia wakati watakutana na Leicester siku ya Ijumaa. Arsenal wameshindwa wakati wa siku ya kwanza kwenye mechi tatu katika misimu minne iliyopita. Watakutana …

Read More »

AVEVA NA KABURU WARUDISHWA RUMANDE HADI AGOSTI 16

AVEVA-NA-KABURU-640x320

Kesi inayowakabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Godfrey Nyange Kaburu imesogezwa mbele hadi Agosti 16, mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika. Aveva na Kaburu, wamerudishwa tena rumande katika gereza la Keko jijini Dar es Salaam. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesi hiyo ilitajwa kwa …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA BARAZA LA KISWAHILI,UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MICHEZO

1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  mara alipokuwa  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo  katika kikao cha siku moja cha  Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Kiswahili na Uongozi wa Baraza la Kiswahili,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji Baadhi …

Read More »

MHE HAMAD ASIFU TEKNOLOJIA YA SERIKALI MTANDAO KATIKA KILIMO

11

  Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Serikali ya Mtandao wakati alipotembelea Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.   Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad …

Read More »

“NITAIMARISHA SOKA LA VIJANA NCHINI” MULAMU

mulamu!

Na Thobias Robert-Maelezo Kampeni za  uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimefunguliwa rasmi na Kamati ya Uchaguzi inayoongozwa na mwenyekiti wake Revocatus Kuuli huku wagombea wake wakianza kumwaga sera zao kwa wajumbe ambao  ndiyo wapiga kura wao. Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho  hilo, …

Read More »

Makamu wa Rais Awasili Mkoani Lindi

7

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya mkoa wa Lindi inayosomwa naMkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili mkoani Lindi tayari kwa kuhudhuria kilele cha sherehe za wakulima (Nane Nane). (Picha na Ofisi ya Makamu wa …

Read More »

Kongamano la Wakunga Lafana Muhimbili

001

Mshindi wa Tuzo ya International Confederation of Midwives (ICM), Loveluck Mwasha akiwasilisha mada kwenye kongamano la kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani lililofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Maadhimisho hayo yalianza wiki iliyopita kwa kupima afya watu mbalimbali waliojitokeza katika hospitali hiyo. Siku ya Wakunga Duniani huadhimishwa Mei 5, kila mwaka, …

Read More »

TADB AYATOA ‘SAPOTI’ NANE NANE KITAIFA

IMG_0758

Meneja wa Mikopo wa TADB, Samuel Mshote (kulia) akiwaonesha wanahabari ujumbe wa Maadhimisho ya Nane Nane kwa mwaka 2017 kabla ya makabidhiano rasmi ya fulana na kofia kwa Kamati ya Maandalizi ya Nane Nane kitaifa mjini Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (wapili kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi …

Read More »