Tuesday , December 11 2018

Home / MCHANGANYIKO / UJENZI WA MAEGESHO LINDI KITUNDA WAFIKIA HATUA NZURI

UJENZI WA MAEGESHO LINDI KITUNDA WAFIKIA HATUA NZURI

PIC 1

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. Mussa Mgwatu (kulia)akimuonyesha mkandarasi wa kampuni inayojenga maegesho ya Lindi Kitunda Mhandisi Evans Martin eneo la maegesho ya kivuko wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo mjini Lindi.

PIC 2

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. Mussa Mgwatu (wa pili kulia) aliyenyoosha mkono, akimuonyeshea Meneja wa TEMESA Mkoa wa Lindi Mhandisi Greyson Maleko (wa kwanza kulia)  eneo patakapojengwa chumba cha  kupumzikia abiria wakati wakisubiria kivuko upande wa Kitunda. Dk. Mgwatu alikua Mkoani humo kukagua ujenzi wa maegesho ya Lindi Kitunda.

PIC 3

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. Mussa Mgwatu (wa pili kushoto) aliyenyoosha mkono akimsisitizia jambo Mkandarasi wa kampuni inayojenga maegesho ya Lindi Kitunda Mhandisi Evans Martin (wa kwanza kushoto) wakati alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho hayo mkoani Lindi, nyuma yake ni Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA)   Mkoa wa Lindi  Mhandisi Hillary Msaki.

PIC 4

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dk. Mussa Mgwatu kushoto Akimsikiliza Mhandisi Athaniel Kishebuka wakati alipotembelea banda la wakala huo katika maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Dk. Mgwatu yupo mjini Lindi kukagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho ya Lindi Kitunda unaoendelea.

PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO (TEMESA)

About Alex

Check Also

PICHA A-min

RC MTAKA ATEKELEZA AGIZO LA RAIS, KUWAGAWIA VITAMBULISHO WAJASIRIAMALI WADOGO

  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

5 × 1 =