Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 08

Daily Archives: August 8, 2017

MOURINHO:NITAMSAJILI BALE AKIUZWA

430EA64700000578-4770662-image-a-1_1502181316322

Kocha Mkuu wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atakabiliana na makocha wengine kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale iwapo Real Madrid wanataka kumuuza. Bale mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na mabingwa hao wa Uhispania kwa fedha za uhamisho zilizovunja rekodi ya £85m kutoka Tottenham. Mabingwa wa ligi …

Read More »

KAMPENI ZA UCHAGUZI TFF ZAENDELEA,WALIOKATWA WAREJESHWA

pic+tff

Kampeni za wagombea mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika shirikisho, zinaendelea. Kwa mujibu wa kanuni 11.10 ya uchagizi wa TFF, kampeni hizo za wiki moja hadi Ijumaa wiki hii ambako Uchaguzi Mkuu utafanyika Agosti 12, mwaka huu kwenye …

Read More »

Dk. Mpango Atembelea Banda la Benki Ya Kilimo

IMG_1230

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (aliyevaa fulana ya kijani) akiwasili kwenye Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) lililopo kwenye Viwanja vya Ngongo, mjini Lindi. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) akikaribishwa kwenye Banda la TADB na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki …

Read More »

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe. Said na Wananchi Waupongeza Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar Kwa Kufanikisha Usambazaji wa Umeme Kijijini Kwao.

DSC_0471

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akitowa shukrani zake kwa Uongozi wa Shirika la Umeme Zanzibar kwa ushirikiano wao kuwezesha kupa umeme kwa wakati na katika kijiji cha Tunguu Uwandani Wilaya ya Kati Unguja, wakiwa katika sehemu iliowekwa Transfoma kwa ajili ya kupokea umeme katika kijiji …

Read More »

Mradi wa PS3 Kuwezesha Halmashauri 93 Kufungiwa Intaneti

3

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari alipokuwa akifungua mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ujulikanao kama ‘planRep’. Mafunzo hayo yamefunguliwa jana Mkoani Morogoro. Meneja Mifumo ya TEHAMA kutoka kwenye Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma, Revocatus …

Read More »

MWENYEKITI WA BODI YA NHIF MHE. MAKINDA ATEMBELEA BANDA LA NHIF KATIKA MAONESHO YA NANENANE DODOMA NA KUSISITIZA UMUHIMU WA KILA MWANANCHI KUWA NA BIMA YA AFYA.

3

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF Mhe. Anne Makinda akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la NHIF jijini Dodoma alipotembelea maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni jijini humo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na viongozi wengine wa NHIF wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi …

Read More »

Waziri Hamad Rashid Aiasa Benki ya Kilimo

IMG_0864

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (wapili kulia) akiukaribisha ugeni wa Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed (kushoto) ulipotembelea Banda la TADB katika Viwanja vya Ngongo mjini Lindi wakati wa Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea mjini …

Read More »

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA COSTECH MAONYESHO YA NANENANE KITAIFA NGONGO MKOANI LINDI

1

 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, HusseinMansour (hayupo pichani), alipotembelea banda la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), kwenye Maonyesho ya Nanenane viwanja vya Ngongo mkoani Lindi leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima …

Read More »

RC GAMBO AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI

unnamed

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani Bi. Inmi Patterson ofisini kwake Jijini Arusha. Katika mazungumzo yao Bi Inmi Patterson amempongeza Mkuu huyo wa mkoa kwa kufanikiwa kuirudisha Arusha katika hali ya amani na utulivu. “Kwa kweli sisi kama wamarekai tunafurahi sana kuiona …

Read More »

WATANZANIA WAJITOKEZA KUMSAIDIA JINI KABULA

jini-kabula-1

MUDA mfupi baada channel ya mtandaoni ya Global TV Online kuendesha kampeni maalum yakumchangia fedha za kusaidia matibabu na huduma kwa msanii wa filamu nchini, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’,wadau mbalimbali wameonekana kuiunga mkono kampeni hiyo. Kampeni hiyo iliyopewa jina la Support Treatment For Jini Kabula, imeonekana kuwagusa watu mbalimbali hivyo …

Read More »

MABORESHO YA MIFUMO SERIKALINI KUONGEZA UWAJIBIKAJI

4

Muwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Sekta ya Mipango na Uratibu Bw.Samweli Tenga akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa watumiaji wa Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mipango na bajeti za Serikali za Mitaa uitwao PlanRep yanayofanyika Mjini Kigoma kwa siku 8 kuanzia leo. Mkurugenzi …

Read More »

Halmashauri Zatakiwa Kutumia Mfumo wa PlanRep

PS1B

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa  kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa …

Read More »

WANANCHI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAONESHO YA NANENANE LINDI

DSC_0961_New1

Na Mathias Canal, Lindi     Maonyesho ya Nanenane Kanda ya Kusini ambayo yalianza tokea tarehe 1/8/2017 katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi yanaendela kushika kasi huku kivutio kikubwa ikiwa ni baaada ya bidhaa mbalimbali zinazoonyeshwa kwenye mabanda na Halmashauri mbalimbali kutoka mikoa yote miwili inayounda kanda ya kusini ambayo …

Read More »