Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 09

Daily Archives: August 9, 2017

NBS YATANGAZA HALI YA MFUMUKO WA BEI KWA TAIFA ULIVYO SASA

TAKWIMU002

Ephraim Kwesigabo Mkrugenzi wa sensa na takwimu za jamii. Mfumuko wa bei wa bei wa taifa kwa mwezi Julai,2017 umepungua  hadi kufikia asilimia 5.2 ikilinganishwa na asilimia 5.4 iliyokuwa mwezi juni mwaka huu. Hii inamaanisha kuwa, kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioulioishia mwezi julai …

Read More »

MAYAI: NATAKA SOKA KUANZIA NGAZI YA VIJANA

mayay3

Mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ali Mayay akizungumza na waandishi wa habari akinadi sera zake za kuelekea Uchaguzi  Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 12, mkoani Dodoma, Kushoto ni  mshambuliaji nyota wa zamani wa Klabu ya Simba,  Zamoyoni Mogella Na Karama Kenyunko Globu ya jamii. Mgombea urais wa Shirikisho la …

Read More »

IGP SIRRO AWASILI NCHINI AKITOKEA RWANDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewasili nchini akitokea nchi ya Rwanda, alipokwenda kwa ajili ya ziara ya kikazi ambapo akiwa nchini huko alipokelewa na mwenyeji wake IGP wa Rwanda Emmanuel Gassana. Katika ziara hiyo yenye lengo la kubadilishana uzoefu na namna ya kukabiliana na uhalifu unaovuka …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 09.08.2017   JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAENDELEA KUCHUNGUZA CHANZO CHA VURUGU ZILIZOTOKEA MTAA WA MABATINI WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 08.08.2017 MAJIRA Y A SAA 22:00 USIKU KATIKA MTAA WA MABATINI KATA YA MABATINI WILAYA …

Read More »

Washiriki wa Mafunzo ya PlanRep Wafurahisha na Ufanisi Wake

PIX1

Mwakilishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Muwezeshaji kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bw. Jeremiah Mtawa akielezea namna mfumo huo unavyotumika katika sekta ya afya leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Programu ya Uimarishaji wa …

Read More »

Mfumo wa PlanRep Kuanza Kutumika Bajeti ya 2018/2019

1

Muwezeshaji kutoka Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Archibold Kundasai (aliyesimama) akimuelekeza mmoja wa washiriki wa mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) namna ya kujiunga na mfumo huo kwenye mtandao. Mafunzo hayo ya siku 8 yaliyofadhiliwa na USAID yanaendelea mjini Morogoro. Muwezeshaji …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA ZBC,UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MICHEZO

2

Mwenyekiti wa Bodi ya  Wakurugenzi ya ZBC Bi.Nasra Mohamed (kulia)  alipokuwa akitoa taarifa ya Bodi yake  wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara ya  Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa ZBC, chini ya Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo …

Read More »

MANISPAA YA LINDI YAOMBA MAGHALA

2

Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bw. Shaibu Ndemanga (kulia) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Kilimo walipomtembelea Ofisi kwake mjini Lindi kuangalia miradi inayoendeshwa kibiashara mkoani humo. Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bw. Shaibu Ndemanga akiongea kwa hisia kuhusiana na changamoto za uhaba wa maghala ya kuhifadhia mazao. Maafisa kutoka …

Read More »

MWIGULU AFUNNGUA KIKAO CHA MAJADILIANO YA MASUALA YA WAKIMBIZI KATI YA SERIKALI NA SHIRIKA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI (UNHCR),JIJINI DAR ES SALAAM

PIX 1

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi  na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,jijini Dar …

Read More »

Katibu Mkuu Jumuiya ya Madola Kufanya Ziara Nchini

1

Na Thobias Robert- MAELEZO Katibu Mkuu Jumuiya ya Madola Mh. Patricia Scotland anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu hapa nchini. Hayo  yameelezwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Aziz Mlima wakati alipokuwa  akizungumza na waandishi wa habari …

Read More »

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA

Picha no. 1

Mratibu wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)  Jimbo la Kusini Mchungaji  Andrew King’omela akizungumza na Mwinjilisti kiongozi wa Mtaa Mwapemba Usharika wa Mtoni Nicolas Mtali wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Mtaa huo iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni …

Read More »

WAZIRI MKUU APOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA KAMPUNI YA FOTON

PMO_8835

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Funguo ya Magari matatu  yenye thamani ya Dola za kimarekani 99,700 ambayo amekabidhiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Foton International kutoka China Bwana Zhao Xiano Kwa ajili ya kusaidia shughuli zamaendeleo nchini Tanzania ,wanaoshuhudia kutoka kushoto  ni Meneja masoko wa kampuni ya …

Read More »

ZIARA YA MANAIBU WAZIRI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA

PIX 5

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni (katikati),akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, lengo ikiwa ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu,Utolewaji wa visa,udhibiti uingiaji wa dawa za …

Read More »

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAWASOGEZA HUDUMA YA MAJI KATIKA KIJIJI CHA NEWLAND WILAYANI MOSHI.

_MPP9916

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji,Prof Kitila Mkumbo akitia saini katika kitabu cha wageni alipotembelea Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa Maji katika kijiji cha Newland.  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce …

Read More »

NHIF YATISHA NANE NANE KANDA YA KATI

BEN_0154

Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa NHIF akipokea cheti cha ushindi toka kwa Mh.Jafo MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeibuka kidedea miongoni mwa mifuko ya hifadhi  ya jamii iliyoshiriki maonesho ya  kumi ya kilimo na ufugaji inayoendelea mkoani Dodoma. Katika maonesho hayo yanayoshirikisha mikoa ya kanda …

Read More »