Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 10

Daily Archives: August 10, 2017

WAFUGAJI LONGIDO WAANZA KUNUFAIKA NA UJENZI WA SOKO LA KISASA LA MIFUGO

LONG1

Katibu Tawala wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Bw. Toba Nguvila (kushoto), akimweleza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Nyamajeje Weggoro (katikati) kabla ya kutembelea Soko la Kisasa Mifugo linalojengwa katika kijiji cha Worendeke, kata ya Kimokouwa, wilayani Longido, mkoani Arusha, linalojengwa …

Read More »

WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

bil3

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akikata utepe kuashiria uzinduzi  wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya  uliofanyika jijini Dar es salaam  katikati ni  Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na kulia ni Waziri …

Read More »

WAFANYAKAZI WA TANESCO KUPITIA TUICO WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KAMPENI YA “KA…TA” KWA KUONGEZA MAKUSANYO YA BILI ZA UMEME

5R5A2571

 Mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya TUICO, Tawi la TANESCO, Bw. Hassan JM. Athumani, akizungumza wakati wa kutoa tamko la Wafanyakazi wa TANESCO kupitia chama chao cha TUICO kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kufuatia kampeni aliyoianzisha ya ukusanyaji wa madeni ya bili za …

Read More »

DC MSHAMA -WAMILIKI NA TAASISI ZISIZOENDELEZA VIWANJA BILA KUVIENDELEZA WAJISALIMISHE LASIVYO VINAFUTWA

IMG-20170810-WA0059

Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama ,akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake . Picha na Mwamvua Mwinyi ……………….. Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MKUU wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama ametoa wiki tatu kwa kwa taasisi ,makampuni mbalimbali na wananchi waliokumbatia viwanja vyenye hati zaidi ya 1,000 pasipo kuviendeleza kuhakikisha …

Read More »

WHC YAFUNGUA DIRISHA LA UUZAJI WA NYUMBA KWA WATUMISHI WA MASHIRIKA BINAFSI NA WACHANGIAJI WA HIARI, MUHIMU UWE MWANACHAMA WA MIFUKO YA JAMII

3

Mkurugenzi Mkuu wa Watumishi Housing Limited (WHC) Dk. Freddy Msemwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za shirika hilo jijini Dar es salaam wakati alipotangaza mpango mpya wa shirika hilo ambapo linaanza kuuza nyumba kwa wafanyakazi wa Mashiriki Binafsi na wachangiaji Binafsi waliojiunga katika mifuko ya jamii ambapo amesema …

Read More »

RAIS MAGUFULI AZIDI KUPONGEZWA NA WADAU WA MAENDELEO

Pix 001

Mtafiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Milemine East Refining Bw. Salvatory Rwebangila akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea jitihada za Rais John Magufuli katika kutetea rasilimali za taifa na kuokoa upotevu wa mapato, kushoto ni Afisa uhusiano wa Taasisi hiyo Bi. Oliver Rwebangila na kushoto …

Read More »

WAHALIFU 13 WAUAWA NA POLISI KIBITI

2

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji …

Read More »

Mfumo wa PlanRep Kuimarisha Usalama wa Nyaraka za Serikali.

TUKIO

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Morogoro. Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) unategemea kuimarisha usalama wa nyaraka za Serikali kwa kuzihifadhi katika mtandao. Hayo yamesemwa leo Mkoani Morogoro na Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dkt. Frank Jacob alipozungumza na mwandishi wa habari …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 10.08.2017   WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA NA MWINGINE MMOJA KUJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA GARI NA BAJAJI WILAYANI KWIMBA.   MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA NOTI BANDIA ZA ELFU KUMI …

Read More »

SERIKALI KUDHIBITI USAFIRISHAJI WA FEDHA TASLIMU MIPAKANI

IMG_4622-1

Washiriki wa warsha ya siku mbili ya maandalizi ya utekelezaji wa Kanuni za Taarifa za Usafirishaji na uingizaji wa fedha tasilimu kutoka na kwenda nje ya nchi wakifuatilia kwa makini mjadala katika warsha hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Dar es Salaam. Washiriki wa warsha ya siku …

Read More »

NEEMA KWA WENYE UHITAJI WA MIGUU BANDIA.

index

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda amefanikiwa kupata MIGUU YA BANDIA ya Kuhudumia wananchi MIA MBILI (200) itakayoweza kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye mahitaji. Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 600 hadi bilioni 1.2 ENDAPO watu wote 200 watahitaji miguu yote …

Read More »