Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / August / 11

Daily Archives: August 11, 2017

Kenyatta ashinda uchaguzi wa urais, Raila asusia hafla

kenya

Rais Uhuru Kenyatta akihutubia sherehe za Jamhuri Day 2016. .Kenyatta alishinda awamu ya pili ya urais kwa kupata kura milioni 8.2 Shirikisha SOURCE https://www.voaswahili.com/a/kenyatta  ……………………………………………………………………………… Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya, IEBC, Ijumaa usiku ilimtangaza rais Uhuru Kenyatta kuwa mshindi a uchaguzi wa urais uliofanyika siku ya Jumanne. Kwa …

Read More »

KILELE CHA NANE NANE BANDA LA TIGO -NGONGO LINDI

nanena

Baadhi ya wananchii wakiwa wamezunguka Banda la Tigo wakipata Huduma Mbalimbalia katika maonesho ya kilimo ya Nane nane yaliyopo Ngongo Mkoa wa Lindi.   Meneja wa kanda ya Kusini wa Kampuni ya Tigo  Uthman Madata akigawa Kofia Katika Banda la Tigo katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Ngongo Mkoani …

Read More »

The Commonwealth Secretary General Rt Hon Barones Patricia Scotland QC meets Zanzibar President, visits some of the Isles attractions

zanz

 The Commonwealth Secretary General Rt Hon Patricia Scotland QC (left) accompanied by Tanzania’s High Commissioner to the UK Dr. Asha-Rose Migiro and Ambassador Celestine Mushy, Director of  Multilateral Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs and Regional Affairs head to the plane ready to take off  for their one day trip of  Zanzibar  The Commonwealth Secretary General Rt …

Read More »

MOROCCO YAOMBA KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2026

image.php

Shirikisho la Soka la Morocco limetangaza kwamba litawasilisha ombi la kutaka kuwa mwenyekiti wa Kombe la Dunia la 2026. Siku ya mwisho kwa nchi kuwasilisha nia ya kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ni leo Ijumaa, na baadaye Fifa itathibitisha nchi ambazo zimewasilisha maombi. Marekani, Canada na Mexico zilitangaza mwezi Aprili …

Read More »

SIMBA KUCHEZA NA MTIBWA SUGAR UWANJA WA TAIFA JUMAPILI

IMG_5204

SIMBA SPORTS CLUB DAR ES SALAAM 11-08-2017               TAARIFA KWA UMMA Klabu ya Soka ya Simba Jumapili hii ya tarehe 13-8-2017,saa kumi alasiri itashuka kwenye Uwanja mkuu wa Taifa hapa jijini kucheza na Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo …

Read More »

JAFO: ZOEZI LA HOSPITALI TEMBEZI LIFANYIKE MIKOA YOTE

pich (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akizungumza katika uzinduzi wa Hospitali tembezi katika wilaya ya Kondoa na Chemba. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo akiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.James Kiologwe na viongozi wa wilaya ya Chemba na Kondoa. Mbunge wa Chemba Juma …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI KUFUFUA MAZAO MAKUU MATANO

PMO_9545

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akiongea na wananchi wa kitongoji cha Mwamnange kilichopo Wilaya ya Kaliua  leo  Agosti 11 2017 .Wananchi hao walisimamisha msafara wake ili kumuomba serekali iwasaidie kupata  Umeme. Waziri Mkuu yupo Mkoani Tabora kukagua shughuli za maendeleo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kufufua mazao matano ambayo …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA MATUKIO YA UHALIFU ULYANKULU

PMO_9448

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihotubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Veta Jimbo la  Ulyankulu wilayani Kaliua Mkoani Tabora leo August 11.2017, ambapo amewataka wananchi waliopewa uraia kuheshimu sheria za nchi vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.   Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………………………………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA

5

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Zanzibar jioni ya leo tayari kuhudhuria sherehe ya Siku  ya Kizimkazi itakayoadhimishwa kesho tarehe 12 Agosti, 2017.  Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa  Abeid Karume, Makamu wa Rais amekutana na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya …

Read More »

MAREKANI YAIMWAGIA TANZANIA BILIONI 550 KUSAIDIA MAENDELEO

1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto)akisaini mkataba wa Makubaliano (Strategic Assistance Agreement )na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas(katikati) kuhusu utoaji wa fedha hizo dola za kimarekani 224 zaidi ya Shilingi 450 tukio lililofanyika katika Ofisi za Hazina jijini …

Read More »

PlanRep Yatajwa Kuongeza Ufanisi Katika Sekta za Umma

P1b

Msahuri wa Masuala ya Fedha kutoka Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi. Hellen Nyagwa akisisitiza jambo wakati wa semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) inayoendelea Jijini Mbeya. Semina hiyo imewakutanisha Maafisa Mipango wa Wilaya, Waganga Wakuu, …

Read More »

WANANCHI WALIOPEWA URAIA MUHESHIMU SHERIA ZA NCHI -MAJALIWA

PMO_9459

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa CUF Jimbo la Kaliua ,Magdalena Sakaya .Agosti 11.2017,Waziri Mkuu yupo wilayani Kaliua kwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo katika Mkoa wa Tabora Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akiongea na wananchi wa kitongoji cha Mwamnange kilichopo Wilaya ya Kaliua  leo  Agosti …

Read More »

FAHAMU VISIMA VYA UZIMAJI MOTO (fire hydrants)

PIX 1

  Watu wengi wamekuwa wakikuta na kuvipita vifaa mithili ya mabomba ya kutoa maji pembezoni mwa barabara,maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu, viwanja vya ndege au viwanja vya michezo bila kufahamu vinafanya kazi gani. Wengine hudhani ni mapambo ya barabara au alama Fulani kwenye maeneo hayo,ambapo baadhi yao hudiriki kuyatumia …

Read More »

RPC SHANNA-TUTATAIFISHA MALI ZA WANAOFANYA BIASHARA YA KUSAFIRISHA WAHAMIAJI HARAMU

IMG_20170727_130233

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani KAMANDA wa polisi mkoani Pwani,(ACP) Jonathan Shanna ,amesema kuanzia sasa.watataifisha mali zote za watu wanaojihusisha na biashara ya usafirishaji wa wahamiaji haramu. Aidha amewatahadhalisha wale wanaotoa vyombo vyao vya majini na nchi kavu kusafirisha wahamiaji hao  kwani navyo vitataifishwa . Akizungumzia hatua walizozichukua kwa wahamiaji haramu 72 …

Read More »

PROFESA MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFANYABIAASHARA JNIA

1

Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Katikati), akizungumza na wafanyabiashara wanaotoa huduma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), wakati alipofanya kikao cha pamoja, leo Jijini Dar es Salaam. Waziri Wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Kaimu MKurugenzi …

Read More »