Tuesday , January 16 2018

Home / BIASHARA / KILELE CHA NANE NANE BANDA LA TIGO -NGONGO LINDI

KILELE CHA NANE NANE BANDA LA TIGO -NGONGO LINDI

Baadhi ya wananchii wakiwa wamezunguka Banda la Tigo wakipata Huduma Mbalimbalia katika maonesho ya kilimo ya Nane nane yaliyopo Ngongo Mkoa wa Lindi.

 

Meneja wa kanda ya Kusini wa Kampuni ya Tigo  Uthman Madata akigawa Kofia Katika Banda la Tigo katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Ngongo Mkoani Lindi

 

Meneja wa kanda ya Kusini wa kampuni ya mtandao wa  Tigo Uthman Madata akimuonesha Simu ya Mkononi Aina ya Tekno S1 Mwanafunzi wa Sekondari ya Lindi Charles Shirima katika maonesho ya Kilimo ya Nanenane  yaliyofanyika Mkoani Lindi.

 

.Meneja wa kanda ya Kusini kampuni ya mtandao wa Tigo akiongea na baadhi ya wateja wa Tigo waliofika kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya kilimo ya Nanenane

 

.Meneja wa kanda ya Kusini kampuni ya mtandao wa Tigo akiongea na baadhi ya wateja wa Tigo waliofika kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya kilimo ya Nanenane

 

 

 

About bukuku

Check Also

DSC_7430

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BENKI YA TANZANIA ( BOT) ANAYEMALIZA MUDA WAKE PROFESA NDULU IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 × three =