Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 12

Daily Archives: August 12, 2017

PlanRep Kuwaleta Pamoja Wananchi na Watoa huduma

3C

Mmoja wa Wawezeshaji wa Mafunzo ya Mfumo wa kielektroni ulioboreshwa ambao ni wa Kitaifa utakaosaidia kupanga bajeti, mipango na kutoa ripoti (PlanRep) yanayoendelea mjini Kigoma Bw.  Jocktan Bikombo akiwasilisha mada wakati wa mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo kutoka Mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa wakifuatilia mafunzo hayo ya siku …

Read More »

TAARIFA MBALIMBALI KUTOKA ZIARA YA WAZIRI DOKTA MPANGO MKOANI MBEYA

index

DOKTA MPANGO AWASIMAMISHAKAZI WATUMISHI 4 WA TRA MPAKANI TUNDUMA Na Benny Mwaipaja, Songwe/Mbeya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amewasimamisha kazi watumishi wanne wa Idara ya Forodha, katika Mpaka wa Tanzania na Zambia, Mjini Tunduma, ili kupisha uchunguzi wa kudaiwa kuhusika na upotevu wa lakiri 10 zinazotumika kufunga …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA MAAFISA MISITU

PMO_9965

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Nsololo jimbo la Igalula Wilaya ya Uyui  mara baada yakuwasili leo August 12.2017 na kufanya mkutano wa hadhara katika Wilaya ya Uyui Mkoa wa Tabora Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa na Mkuu wa …

Read More »

MPINA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA , WAZUNGUMZIA MASUALA YA HIFADHI YA MAZINGIRA NA SULALA LA MABADILIKO YA TABIANCHI YAPEWA KIPAUMBELE

DSC_0043

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland akiongea jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, baada ya mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaan Leo. Mhe. Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza AshaRose …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN KASKAZINI B UNGUJA

DSC_4525

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Khamis mara alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo,[Picha na Ikulu.] 12 /08/2017. Rais …

Read More »

WILAYA YA NEWALA INAHITAJI TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KILIMO

new

 Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani kutoka  Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambayo yameandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia …

Read More »

SERIKALI YASITISHA UTOAJI WA MAENEO MAPYA YA UTAWALA

PMO_9459

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha zoezi la kutoa maeneo mapya ya utawala hadi itakapotangazwa vinginevyo.  “Kwa sasa tumesitisha kutoa maeneo mapya ya utawala ili tuimarishe kwanza yale ya awali. Tunaimarisha kwanza miundombinu ya majengo ya ofisi,  nyumba za watumishi kwenye wilaya na Halmashauri mpya, zikitengamaa tutafanya maamuzi mapya, …

Read More »

Tigo yatoa smartphone 120 katika kampeni ya kusisimua

go

Ofisa Mzinduzi wa Bidhaa za Tigo, Jacqueline Nnunduma, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.    Ofisa Mzinduzi wa Bidhaa za Tigo, Jacqueline Nnunduma (kushoto), akimkabidhi simu aina ya S1 mmoja kati …

Read More »

WANANCHI KATA YA MABILIONI WILAYANI SAME WATUMIA MAJI YENYE CHEMBECHEMBE ZA KINYESI CHA BINADAMU

WIL

Mkuu wa wilaya ya Same,Rosemarry Sitaki akizungumza katika mkutano na wananchi katika kata ya Mabilioni wilayani Same. Baadhi ya wananchi katika kata ya Mabilioni wilayani Same wakimsikiliza mkuu wa wilaya alipozunumza nao katika mkutano uliofanyika katika ofisi ya kata. Afisa Elimu wa Kata ya Mabilioni wilayani Same,Richard Sekibojo akimkabidhi taarifa …

Read More »

WAKATI UMEFIKA WANAWAKE KUAJIRI NA KUFUKUZA-MONGELA

MEN

Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela amesema wakati umefika kwa wanawake kuajiri na kufukuza. Alitoa kauli hiyo katika sherehe za Uzinduzi wa Jukwaa la Kuwaendeleza Wanawake Afrika (WAA) iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo linasimamiwa na Taasisi ya Graca Machel. Mama …

Read More »