Wednesday , January 17 2018

Home / SIASA / KINANA AENDESHA SEMINA YA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA BARA NA VISIWANI

KINANA AENDESHA SEMINA YA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA BARA NA VISIWANI

 Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza
kabla ya ufunguzi wa  semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa
na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi
wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

 Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

 muwasilishaji mada akiendelea

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa semina ya  mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

Hamasa ikiendelea

Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu  Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na  Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini semina ya Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha semina ya  Mafunzo
elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

 washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani
iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.

  washiriki wakiuliza maswali katika Semina Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao
makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

About bukuku

Check Also

Nape

NAPE AFUNGUKA AKIMNADI DK. NDUMBARO ADAI KAMWE HATA IHAMA CCM

Nape akibadilishana mawazo na Dk. Ndumbaro Na Gideon Mwakanosya-Songea MBUNGE wa jimbo la Mtama mkoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 + seventeen =