Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 13

Daily Archives: August 13, 2017

AZAM FC YAENDELEZA UBABE NCHINI UGANDA YAITANDIKA 3-0 ONDUPARAKA

271A0215

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jioni hii imeendeleza kutoa dozi kwenye kambi yake nchini Uganda baada kuichapa Onduparaka mabao 3-0.                        Huo ulikuwa ni mchezo wa nne wa kirafiki wa Azam FC nchini humo, baada ya awali kutoka sare mbili, na Ijumaa iliyopita kuifunga URA mabao …

Read More »

MAN UNITED YAANZA VEMA EPL YAIDUNGUA WEST HAM 4-0,LUKAKU YEYE NA NYAVU TU

1502638711506_lc_galleryImage_Manchester_United_s_Belgi

Man Utd: De Gea, Valencia, Jones, Bailly, Blind, Matic, Pogba, Mata, Mkhitaryan, Rashford, Lukaku. Subs: Martial, Smalling, Lingard, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Darmian. West Ham: Hart, Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku, Noble, Obiang, Fernandes, Ayew, Arnautovic, Hernandez. Subs: Cresswell, Fonte, Adrian, Sakho, Collins, Byram, Rice. Referee: Martin Atkinson (W Yorkshire)

Read More »

KOKA -ACHANGIA MIL.3 UJENZI WA MRADI WA WANAWAKE KKKT TUMBI

IMG-20170813-WA0060

Mbunge wa jimbo la Kibaha Mjini ,Silvestry Koka ,mwenye suti nyeusi akiwa katika picha ya pamoja baada ya misa kwenye kanisa la KKKT Tumbi Kibaha. Picha na Mwamvua Mwinyi ……………………… Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Mbunge wa jimbo la Kibaha Mjini ,Silvestry Koka  amesali kanisa la KKKT Tumbi ambapo pamoja na mambo …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN KASKAZINI UNGUJA

DSC_5715

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kushoto) mara alipowasili katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya …

Read More »

TBL Group yang’ara tamasha la Usalama barabarani Dar

TBL 4

Rais msaafu wa awamu ya pili,Mh. Ali Hassani Mwinyi,akipata maelezo ya jitihada za kampuni ya TBL Group kupambana na ajali za barabarani kutoka kwa Afisa Mawasiliano wa kampuni hiyo  Amanda Walter kwenye tamasha la usalama  barabarani lililofanyika  jijini Dar e salaam mwishoni mwa wiki (kulia mwenye kofia ni Naibu Waziri …

Read More »

IGP SIRRO AWAAGA ASKARI NA MAOFISA WANAOKWENDA SUDANI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwakabidhi bendera ya taifa askari kumi (10) waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria …

Read More »

SERIKALI ITALIPA MADENI YOTE YA WATUMISHI – WAZIRI MKUU

PMO_9356

*Asisitiza uadilifu, uwajibikaji na uaminifu  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali italipa madeni yote ya watumishi ambayo yamehakikiwa na kukutwa kuwa ni halali.  “Mheshimiwa Rais, Dk. John Pombe Magufuli alisitisha malipo sababu ya zoezi la kubaini watumishi hewa, sasa kazi hiyo imeshakamilika, yale yaliyobainika kuwa ni halali yatalipwa. Tunataka watumishi …

Read More »