Wednesday , April 24 2019

Home / MCHANGANYIKO / KOKA -ACHANGIA MIL.3 UJENZI WA MRADI WA WANAWAKE KKKT TUMBI

KOKA -ACHANGIA MIL.3 UJENZI WA MRADI WA WANAWAKE KKKT TUMBI

IMG-20170813-WA0062

Mbunge wa jimbo la Kibaha Mjini ,Silvestry Koka ,mwenye suti nyeusi akiwa katika picha ya pamoja baada ya misa kwenye kanisa la KKKT Tumbi Kibaha.

Picha na Mwamvua Mwinyi

………………………

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha
Mbunge wa jimbo la Kibaha Mjini ,Silvestry Koka  amesali kanisa la KKKT Tumbi ambapo pamoja na mambo mengine amechangia 3,000,000/- kwenye ujenzi wa  mradi wa wanawake wa KKKT kanisani hapo.
Aliwataka wanawake ,vijana kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili kujikwamua kiuchumi .
Mapema akitoa salamu za waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ambaye alitakiwa awe Mgeni Rasmi katika siku hii lakini hakufika kwa sababu ya majukumu mengine, Mbunge Koka aliwasilisha 6,000,000/- mchango wa mhe  waziri  kwenye miradi hiyo ya akinamama wa KKKT .

 

About Alex

Check Also

4-4

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

15 − 12 =