Friday , January 18 2019

Home / MICHEZO / MZEE KILOMONI ASIMAMISHWA UANACHAMA NA KUFUTWA KWENYE UONGOZI WA BARAZA LA WADHAMINI

MZEE KILOMONI ASIMAMISHWA UANACHAMA NA KUFUTWA KWENYE UONGOZI WA BARAZA LA WADHAMINI

 

Klabu ya Simba imetangaza kumtoa mzee Hamisi Kilomani kwenye Baraza la Wadhamini kwa kosa la kuvunja katiba ya klabu hiyo.

Pia, wanatarajia kumpekelea barua ya kumfuta uanachama na ikiwa hatafuta kesi na kushindwa kujitetea watamfukuza uanachama moja kwa moja.

Aidha, profesa Juma Kapuya ameteuliwa kuziba pengo la Ally Sykes ambaye kwa sasa ni marehemu katika baraza hilo, nafasi ya mzee Kilomoni imejazwa na Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaj Adam Mgoyi.

About Alex

Check Also

hqdefault

SIMBA SC KUONDOKA LEO BILA BOCCO KWENDA DRC KUWAFUATA AS VITA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco hatasafiri …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

13 + 16 =