Wednesday , April 24 2019

Home / 2017 / August / 14

Daily Archives: August 14, 2017

MAZUNGUMZO YA PAMOJA SERIKALI YA MUUNGANO NA MISRI

DSC_9964

Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi katikati na Ujumbe aliofuatana nao wakiwa katika mazungumzo na Viongozi was Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiongozwa na Rais Dkt.John Pombe magufuli leo alipokuwa katika ziara ya siku mbili mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu ya Jijini Dar …

Read More »

WAZIRI MKUU ATAKA BODI IJAYO YA TUMBAKU IJIPANGE

PM

*Aitaka isimamie zao hilo na kutafuta masoko, iache kutoa vibali vya ununuzi   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema tumbaku ni siasa na tumbaku ni uchumi na ameitaka Bodi ya Tumbaku itakayoundwa ijipange kumlinda mkulima. Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumapili, Agosti 13, 2017) wakati akizungumza na watumishi wa idara …

Read More »

WAZIRI MKUU AWABANA MAAFISA USHIRIKA, KILIMO

PMO_8135

*Ataka wasimamie zao la tumbaku kwa umakini ili kumkoboa mkulima *Ataka wajipange kutumia vyombo vya habari kuelimisha wakulima   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maafisa kilimo na maafisa ushirika wa mkoa wa Tabora wasimamie kwa umakini ukuzaji wa zao la tumbaku kuanzia msimu ujao.  “Mkakati wetu wa kuinua zao hili …

Read More »

TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA DYAMWALE

Pix 6

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa kilichokuwa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT), Chabanga Hassan Dyamwale (76). Mbali wa wadhifa huo katika eneo la mpira wa miguu,  pia Dyamwale atakumbukwa zaidi akiwa …

Read More »

YANGA MWENDO MDUNDO MSIMU WA 2017-18

DSC_6876-640x426

Samuel Samuel Mabingwa wa soka Tanzania bara leo wanaingia kambini rasmi kisiwani Pemba kwa ajili ya maandalizi ya fainali ya kombe la Ngao ya jamii na mwanzo wa ligi kuu Tanzania bara inayoanza mwishoni mwa mwezi huu wa nane tarehe 27. Tarehe 23 August 2017, Yanga watakuwa uwanja wa taifa …

Read More »

RPC SHANNA-AKEMEA MADEREVA WANAOENDESHA MAGARI YAO YAKIWA MABOVU

IMG_20170724_131141

  Kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP)Jonathan Shanna akizungumza wakati akitoa taarifa mbalimbali ya matukio yaliyotokea mkoani hapo . Mwamvua Mwinyi ……………………… Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linatoa rai kwa wamiliki wa magari ya abiria na binafsi  kufanya matengenezo ya magari yao pindi yanapokuwa na hitilafu …

Read More »

Yaliyojiri usiku wa maadhimisho ya miaka 40 ya safari Lager

safari 3

Meneja wa bia ya Safari,Edith Bebwa (kulia) akimkabidhi tiketi ya ushindi, Zuwena Omar, katika usiku huo kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam Mwanamuziki ,Ray C katika pozi na Meneja wa Bia ya Safari Mwanamuziki Ray akibadilishana mawazo na Maofisa Waandamizi wa  TBL Group Mwanamuziki ,Juma Nature akiwasha …

Read More »

TANGAZO KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

MPI

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA NAIBU KAMISHNA WA POLISI MOHAMMED R. MPINGA KUPITIA OFISI YA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA MBEYA ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WAKAZI WA MKOA WA MBEYA KUWA AMEANDAA BONANZA LA SIKU TANO [05] KUANZIA TAREHE 20/08/2017 HADI 25/08/2017 LITAKALOHUSISHA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA ENEO CHANGAMANI LA MICHEZO MKOANI DODOMA

IMG_2511

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na  Michezo  Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe  akizungumza  na  ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika  Mkoani  Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi  wa  eneo  changamani  la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa …

Read More »

POLISI YATOA SOMO KWA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

1

Na Mahmoud Ahmad Arusha   Viongozi wa kata na mitaa wametakiwa kutoumiza vichwa vyao na kuvutana mashati na wananchi watakaokaidi kutoa michango katika masuala ya ulinzi na badala yake wanatakiwa wawabane kwa kutumia sheria.   Akizungumza jana katika mkutano uliofanyika mtaa wa Moshono Kaskazini kata ya Moivaro tarafa ya Suye …

Read More »

Ndambile aanza mikakati ya kuleta Mayweather Tanzania

2

Promota wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief Ndambile” akiwa katika picha ya pamoja na bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Duniani, Floyd Mayweather Jr mara baada ya kukutana kwenye mkutano wa WBC nchini Marekani. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akiangalia  ripoti ya promota wa …

Read More »

SERIKALI YAWEKEZA ZAIDI YA EURO 37.5 KIA

muru

Na Mahmoud Ahmad Arusha Serikali imewekeza zaidi ya euro milioni 37,500,000 kwa ajili ya kukarabati miundo mbinu ya uwanja wa ndege  wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ikiwa ni hatua  ya kuongeza  uwezo wa maegesho ya ndege kubwa takribani 29, kupanua  njia ya kurukia ndege na kuongeza urefu wa uwanja. Kaimu …

Read More »

WAKULIMA NA WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTOA SAMPULI ZA VYAKULA

1

Na Mahhmoud Ahmad Arusha Wito umetolewa kwa  kwa waanyabiashara ,Wakulima na wafugaji waendelee kutoa  ushirikiano wa kuhakikisha kwamba wanatoa sampuli zao za vyakula /bidhaa kwenye Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania kwaaajili ya uhakiki wa viasilia vya mionzi  ili kuweza kuwalinda watanzania na madhara yatokanayo na mionzi Hayo yamesemwa na …

Read More »