Saturday , November 17 2018

Home / 2017 / August / 15

Daily Archives: August 15, 2017

Waziri Mwakyembe:NIC Rudisheni Pesa za Nyumba Mlizowauzia BAKITA.

PIX 1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Mchezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe (kushoto) akitoa maagizo kwa Katibu Mtendaji  Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)  Dkt. Seleman Sewangi  (kulia)  kulitaka Shirika la Bima La Taifa (NIC) kurejesha fedha za nyumba walizowauzia kwa matumizi ya ofisi kutokana na Shirika hilo kushindwa kuwatoa wapangaji wake …

Read More »

SKAUTI WAPATAO 200 KUTOKA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA.

MHESHIMIWA JAKAYA AKIWA NA SKAUTI KTK MKUTANO MKUU WA DUNIA 2017-4

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:                   15/08/2017 Jumla ya skauti wapatao 200 kutoka jimbo la Hamshire Uingereza wapo nchini Tanzania kwa ziara ya kazi za jamii pamoja na skauti wenzao wa Tanzania. Skauti hao wamekuja nchini kwa ajili ya kufanya kazi za jamii ambapo wamejitolea kukarabati Kambi kuu ya Mafunzo ya …

Read More »

TRA YAKABIDHI UENYEKITI WA EARATC KWA OBR-BURUNDI

3

Mwenyekiti aliyemaliza muda wake EARATC Bw. Michael Muhoja kutoka TRA akikabidhi ngao na nyundo kama ishara ya kumkabidhi vitendea kazi mwenyekiti mpya Bi. Martine Nibesumba kutoka OBR Burundi. Mwenyekiti mpya Bi. Martine akifungua kikao kazi cha EARATC mara baada ya kukabidhiwa rasmi uenyekiti. Mwenyekiti mpya wa EARATC Bi. Martine Nibesumba …

Read More »

NAIBU WAZIRI MHANDISI NGONYANI ATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, AZUNGUMZA NA UONGOZI, WAFANYAKAZI WA SHIRIKA

IMG_3283

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (katikati), akipatiwa maelezo na Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Macrice Mbodo, wakati alipotembelea vitengo mbalimbali vya shirika hilo, kuongoea na Uongozi pamoja na wafanyakazi, Dar es Salaam leo. Wa tatu ni Kaimu Katibu wa Shirika, Zuhura …

Read More »

Wafanyakazi 250 wa Halmashauri Wapatiwa Mafunzo ya PlanRep Morogoro.

2tamisemi

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Morogoro. Jumla ya wafanyakazi 252 wa Halmashauri mbalimbali kutoka Mikoa ya Pwani, Morogoro, Kilimanjaro na Arusha wamepata mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ujulikanao kama PlanRep yanaoendelea mkoani Morogoro. Takwimu hizo zimetolewa hivi karibuni na Mkurugenzi …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kuaga rasmi kwani muda wake wa kutumikia hapa nchini umemalizika Makamu wa Rais wa Jamhuri ya …

Read More »

TPA WAPEWA MIEZI MITATU UJENZI FLOWMETER

JPEG.1

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, alipofanya ziara ya kikazi bandarini hapo, jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (kushoto), akitoa maelekezo kwa Mkururgenzi Mkuu …

Read More »

MPIRA WETU NA THAMANI YA USAJILI WA SIMBA SC

3

Na.Samuel Samuel Dirisha la usajili kwa vilabu vya ligi kuu, ligi daraja la kwanza na la pili umefungwa rasmi tarehe 6 August 2017 kwa wachezaji wa ndani na kwa wachezaji wa nje dirisha linafungwa kesho tarehe 15 August 2017 saa sita kamili usiku. Vilabu 62 kati ya 64 vimekamilisha usajili …

Read More »

CHOUGHULE: NITACHAPA KAZI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA JPM

zawadi

Sharik Choughule NA MWANDISHI WETU MWENYEKITI Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kivukoni, Dar ers Salaam, Sharik Choughule ameahidi kufanya kazi kwa uadilifu na umahiri mkubwa kuenzi juhudi za Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli katika ujenzi wa CCM Mpya, Tanzania Mpya. Amesema, anaamini juhudi zilizoanza kufanywa …

Read More »

TBL Yazindua Programu Ya Voyager Plant Optimization (VPO)

VPO TBL 2

Mkurugenzi wa shughuli za uzalishaji wa viwanda vya TBL Group, John Gouws,akiwapiga darasa wafanyakazi kuhusiana program hii mpya ambayo ikitumika ipasavyo itawezesha kupatikana matokeo makubwa. Meneja wa kiwanda cha  Tanzania Breweries Limited (TBL),cha Ilala jijini Dar es Salaam,Calvin Martin,akiongea na wafanyakazi wakati wa uzinduzi huo. Meneja wa Afya na Usalama …

Read More »