Friday , March 22 2019

Home / MCHANGANYIKO / VIDEO:WADAIWA SUGU WA ANKARA ZA MAJI WAKATIWE HUDUMA.

VIDEO:WADAIWA SUGU WA ANKARA ZA MAJI WAKATIWE HUDUMA.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA DK BILINITH MAHENGE amemwagiza DK ANSEL MTALIMO kuhakikisha manipsaa ya SONGEA inakatiwa maji kutokana na deni  wanalodaiwa na mamlaka ya maji safi na taka SOWASA  kutokana na wao kuwa vinara wakutolipa akara za maji kwa muda mrefu.

About Alex

Check Also

PMO_0526

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MUHOGO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mwenyekiti wa Kampuni ya Cassava Starch Of Tanzania Corporation Limited  (CSTC), Bw. Gerald …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

11 + 14 =