Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / August / 16

Daily Archives: August 16, 2017

MAKONDA:TUNAITENGENEZA DAR MPYA

KOM1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo akizungumza leo wakati alipokabidhiwa mradi wa Maboresho ya Mtaa Samora jijini Dar es salaam  na Shirika la Maendeleo la Serikali ya Japan (JICA) Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema …

Read More »

WALINZI HOSPITALI ZA SERIKALI WAPEWA MAFUNZO YA HUDUMA KWA ‘WATEJA

01

MKURUGENZI Utawala na Uendeshaji wa Hospitali ya Mnazimmoja Abubakar Khamis Hamadi akitoa maelezo ya mafunzo yakuwajengea uwezo zaidi walinzi wanaolinda Hospitali, mafunzo hayo yamefanyika Hospitali ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. NAIBU Waziri wa  Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman akifungua mafunzo ya siku moja kwa walinzi wanaolinda Hospitali za Serekali na kuwataka …

Read More »

WAZIRI MKUU AENDA NCHINI CUBA KWA ZIARA YA KIKAZI

PMO_9161

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Felex Jackson katika Uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere Dar es salaam leo August,16/2017 akiwa anaelekea Nchini Cuba Kwa ziara ya kikazi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ………………..   WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumatano, Agosti …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

AhmedMsangi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 16.08.2017 MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUMFANYIA UKATILI MTOTO WAKE WA KUMPAKA MAVI YA MBUZI KWENYE MAJERAHA ALIYOUNGUA NA MOTO WILAYANI NYAMAGANA. KWAMBA TAREHE 15.08.2017 MAJIRA YA SAA 16:30HRS JIONI KATIKA …

Read More »

Kaimu Mkurugenzi wa JNIA Akutana na Wadau

JNIA2

Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Bw. Johannes Munanka (katikati) akimsikiliza kwa makini bw. Is’haq Al.zadjali wa Shirika la ndege la Oman katika mkutano alioitisha kujadili masuala mbalimbali na wahusika wa mashirika hayo, uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa JNIA TBII leo. Wadau mbalimbali …

Read More »

KYUNGA AZIAGIZA HALMASHAURI KUTANGAZA VIVUTIO KWA WAWEKEZAJI GEITA

DSC_0029

Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akizungumza  kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe. Madiwani wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Geita wakati alipokuwa akitoa maelekezo na ushauri. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Nicas Mayala akisisitiza kufanyia kazi ushauri ambao wamepatiwa na Mkuu …

Read More »

SEMINA YA MAFUNZO KAZI KWA VIJANA YAFANYIKA ZANZIBAR.

DSC_0053

Mkurugenzi Ajira Ameir Ali Ameir akisoma ratiba ya Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Wilaya ya Magharibi B Unguja. Mkurugenzi wa ILO Mary Kawar akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Semina kuhusiana na Mafunzo kazi kwa Vijana iliofanyika katika Ukumbi …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

DSC02103

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 16.08.2017.   Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo …

Read More »

MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU APOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI

PICHA 3

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) akipoka bendera ya Taifa toka kwa Wanariadha Aphonce Simbu na wenzake baada ya kuwasili toka nchini Uingereza kwenye Mashindano ya Marathon ya 2017. Mwanariadha Alphonce Simbu akiwashukuru Viongozi …

Read More »

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI

PMO_9155

Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba wakati alipokutana naye Ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam leo Jumatano,( Agosti 16, 2017) ……………………………………………………………………………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Balozi Benedict Mashiba, …

Read More »

Madiwani kutokuwa wachezaji wakati huohuo marefarii

MAGA

Madiwani wametakiwa kutokuwa vikwazo na kusababisha ubadhirifu wa fedha za wananchi kwa kujipa zabuni ya miradi katika Halmashuri wanazoziongoza kwani mara nyingi hali hiyo imekuwa chanzo cha migogoro na mvurugano unaokwamisha maendeleo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brig. Jen. Emmanuel Maganga wakati wa Kikao cha …

Read More »

WANANCHI WILAYANI KISHAPU WATAKIWA KUJIUNGA NA (CHF)

7

Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kangese akizungumza wakati wa kampeni ya afya aliyoizindua kijiji cha Malwilo kata ya Somagedi. Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu, Dk. Josephat Shani ambaye pia mganga mkuu wa wilaya akizunguza wakati wa uzinduzi huo. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa …

Read More »

KAMATI YA BUNGE KUTOKA MALAWI WAZURU MLIMA RUNGWE

1

Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Maliasili na Mabadiliko ya tabia ya nchi kutoka nchini Malawi wakiwa wanapumzika jana  mara baada ya kupanda Mlima Rungwe  mpaka kituo cha kwanza cha mapumziko  lengo la ziara hiyo ikiwa ni  kujifunza  jinsi  Wakala wa Huduma Misitu Tanzania (TFS) wanavyofanya  suala la  uhifadhi kwa …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TEMESA

PIC 2

Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani katikati (aliyevaa suti) akimsikiliza Mkuu wa Kivuko/ Magogoni Kigamboni Mhandisi Lukombe King’ombe wakati akimpa taarifa ndani ya chumba cha kuongozea kivuko cha MV. KAZI alipotembelea kujionea utendaji kazi wake, wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na …

Read More »