Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 17

Daily Archives: August 17, 2017

MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA KUSINI UNGUJA

DSC_7660

Rais wa Zanzibar na Mwenyeiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa cha SUZA katika Mkutano wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika leo Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati,[Picha na …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 17.08.2017 MTU MMOJA AMEKUTWA AKIWA AMEUAWA NA WATU WASIOFAHAMIKA NA MWILI WAKE KUTUPWA KWENYE PAGALA WILAYANI ILEMELA.   KWAMBA TAREHE 16.08.2017 MAJIRA YA SAA 17:30HRS KATIKA MTAA WA KITANGIRI KATA YA KITANGIRI WILAYA YA ILEMELA …

Read More »

Mtoto Aliyeungua Mikono Sasa Kurejea Darasani

DSC_5128

Mtoto aliyeungua na kushindwa kuendelea na masomo mkoani Mtwara ametibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na sasa anaweza kuendelea na masomo pamoja na kufanya shughuli zake za kawaida. Mtoto huyo aliungua moto baada ya kusukumwa na mwenzake shuleni na hivyo kuungua mikono yote miwili na kusababisha vidole kujikunja na …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA KUSINI

DSC_6831

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia Tungule wakati alipotembelea Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine  wakati alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi …

Read More »

UCSAF YATAKIWA KUBORESHA MAWASILIANO VIJIJINI

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga, wakati alipotembelea Mfuko huo, jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWASILI AFRIKA NCHINI KUSINI

_R7A4122

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri wa Mawasiliano wa Afrika ya Kusini Mhe. Ayanda Dlodlo ambaye alimpokea mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pretoria.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan …

Read More »

JAFO AAGIZA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI ITISO ASAKWE

JF (1)

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Seleman Jafo akizungumza na wananchi nakutoa maelekezo watendaji wa Halmashauri ya Chamwino katika mmoja ya kituo cha kuchotea maji kwenye mradi wa maji Itiso. Mbunge wa Chilonwa Joel Mwaka akimkaribisha Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo kuzungumza na wananchi katika mradi …

Read More »

DREAMS Initiatives applauded for Curbing HIV Prevalence of Young Girls in Shinyanga.

e

Young Adolescent Girls at Upendo group in Msalala Shinyanga Region in a joyful mood after a successful  learning sessions on how to make Batik and Soap as part of the DREAMS Interventions to empower them with entrepreneurial skills which aims at raising enough money for potential capital an Initiative which has a goal to reduce new HIV infections amongst.  The …

Read More »

RAIS DKT,MAGUFULI APONGEZWA KWA UPATANISHI

mqdefault

  Na Judith Mhina – MAELEZO   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli amepongezwa na viongozi wa Dini 170 kutoka Tanzania na Kenya katika suala zima la upatanishi. Pongezi hizo zimetokana na kitendo cha Rais kuwapatanisha   Mkuu wa Mkoa Dar-es-Salaam, Mhe. Paul   Makonda …

Read More »

BENKI YA TPB, IFARAKA YATOA MSAADA WA MICHE YA KIVULI 150 YENYE THAMANI YA SH. 700,000 KATIKA SHULE ZA MSINGI 3 WILAYANI IFAKARA

3tp

Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele akikabidhi miche hiyo kwa Afisa Elimu Msingi Halmashauri Mji Ifakara Bi Mariam Nnauye. …………………………………………………………………. Shule hizo ni Mlabani, Jongo, na Kining’ina. Tukio lilifanyika Shule ya Msingi Jongo. Mgeni rasmi alikuwa mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Ifakara Bi Mariam Nnauye  ambaye …

Read More »

Msipotumia Fursa Zilizopo Tanga Wageni Watazitumia-Dkt. Mwakyembe

Waziri

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Kibiashsra lililofanyika leo Jijini Tanga. Jukwaa hilo lilijadili fursa mbalimbali za kibiashara zinazopatikana Mkoani Tanga Mhariri Mtendaji wa Tanzania Standard Newspapers Dkt. Jim Yonaz akielezea kuhusu malengo ya kongamano …

Read More »

Watumishi wa Umma Watakiwa Kubadilika

PIX 1

Mganga Mkuu wa  Mkoa wa Kigoma Dkt. Paul Chote ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga mafunzo kwa washiriki wa mafunzo ya mfumo wa kuandaa bajeti, mipango na kutoa ripoti (PlanRep iliyoboreshwa) kutoka mikoa ya Katavi,Rukwa na Kigoma akisisitiza  jambo kwa washiriki hao wakati akifunga mafunzo hayo. Muwakilishi kutoka Ofisi …

Read More »

MKEMIA MKUU WA SERIKALI AWATAKA WADAU WA KEMIKALI KUFUATA SHERIA

_DSC0543

Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, akiongea na waandishi wa habari kuhusiana  na utaratibu unaohitajika kufuatwa na wadau wa kemikali katika kuagiza kemikali kutoka Nje ya Nchi baada ya kuonekana wadau wengi kutofuata kikamilifu taratibu husika. Wengine kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali, …

Read More »

TPB YASHIRIKI KONGAMANO LA BIASHARA JIJINI TANGA”

IMG_2931

  Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Benki  Sabasaba Mashingi akizungumza katika Kongamano la Biashara la Jijini Tanga leo  Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Benki  Sabasaba Mashingi wa pili kutoka kushoto akifurahia jambo na mmoja wa washiriki wa Kongamo hilo la Biashara. AFISA Mtendaji Mkuu wa TPB Benki  Sabasaba Mashingi amewahimiza …

Read More »

WAZIRI JENISTA, NAIBU WAZIRI DKT. KALEMANI WAZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI UMEME VIJINI REA III KWA KUGAWA VIFAA VYA UMEME TAYARI (READY BOARD MKOANI RUVUMA

jeni3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe.Jenista Mhagama, akikabidhi kifaa kijulikanacho kama umeme tayari(Ready Board) kikichobuniwa na Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO),  kwa mwanakijiji wa kijiji cha Litapwasi, Peramiho, Mkoani Ruvuma wakati wa uzinduzi wa mradi wa Usambazaji umeme vijijini …

Read More »

MANISPAA YA DODOMA YATENGA ENEO MAALUM KWA AJILI YA MACHINGA

md

Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi akizugumza na wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani la kufunga mwaka wa fedha 2016/2017 uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manispaa ya Dodoma. PICHA NA RAMADHANI JUMA …………………. NA RAMADHANI JUMA OFISI YA MKURUGENZI HALMASHAURI yaManispaaya Dodomaimetengaeneo la Makole D-Center …

Read More »

SHAKA:JUKUMU LA KULETA MAENDELEO PEMBA NI LA WOTE.

pemba32

 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na viongozi wa chama mkoa wa kaskazini unguja akiwa katika ziara ya kikazi  visiwani pemba.  Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akipokelewa na viongozi ofisi za CCM wilaya ya micheweni  katika …

Read More »