Thursday , January 17 2019

Home / 2017 / August / 18

Daily Archives: August 18, 2017

MGODI WA BULYANHULU WAKABIDHI JENGO LA MADARASA SHULE YA LWABAKANGA NA VITANDA VYA WAGONJWA KITUO CHA AFYA BUGARAMA KAHAMA

2

Muonekano wa jengo la madarasa mawili lililojengwa na mgodi wa Acacia Bulyanhulu katika shule ya msingi Lwabaganga katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga. Moja ya vitanda viwili vya kisasa kwa ajili ya wagonjwa kilichotolewa na mgodi wa Bulyanhulu katika kituo cha afya Bugarama halmashauri ya Msalala-Picha na …

Read More »

MWAMUZI WA MPIRA WA MIGUU APIGWA RISASI NA KUUAWA

_97434220_53f06eee-e813-4366-87a7-90714b188f2c

Mwamuzi maarufu katika mchezo wa kandanda nchini Somalia amepigwa risasi na kuuawa karibu na nyumbani kwake mjini Mogadishu. Osman Jama Dirah, ambaye alisimamia mechi za kanda na kimataifa, aliuawa akiondoka msikitini kurejea kwake nyumbani katika mtaa wa Wardhigley. Taarifa zinasema wanaume wawili waliokuwa na bastola walimfatulia risasi mara kadha. Mchezaji …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 18.08.2017 MTU MMOJA MVUVI ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI DHIDI YA MVUVI MWENZAKE YALIYOTOKANA NA KUMCHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI MAENEO YA SHINGONI WILAYANI UKEREWE.   KWAMBA TAREHE 17.08.2017 MAJIRA YA …

Read More »

UVCCM YASIFU UTEKELEZWAJI WA ILANI YA UCHAGUZI PEMBA

pemba68

Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akizungumza na kikundi cha wajasiliamali  kikundi cha ushoni Mchanga mdogo Mkoa wa Kaskazini pemba wilaya  Wete.  Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka(wa kwanza kushoto) akishiriki ujenzi wa Jengo la maskani Mtambwe Wilayani …

Read More »

HALMASHAURI ZAAGIZWA KUKAMILISHA MPANGO WA TAIFA WA VIPIMO KWENYE ZAHANATI NA VITUO VYA AFYA.

KIG

Na Prisca Libaga Maelezo -Arusha Serikali Imeziagiza halmashauri zote nchini ambazo hazijakamilisha mpango wa taifa wa kutoa huduma ya vipimo kwenye Zahanati na Vituo vya Afya kuhakikisha vinakamilisha huduma hiyo ndani ya miezi mitatu kuanzia leo. Agizo hilo limetolewa Leo na Naibu waziri wa afya, Dkt. Hamis Kigwangalla, katika ziara ya siku tano, kutembelea …

Read More »

WANAOISHI PORI TENGEFU LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOKA

image.php_

Na Mahmoud Ahmad Arusha Waziri wa maliasili na utalii Jumanne Maghembe amewataka wananchi wanaoishi pori tengefu la loliondo kuondoka katika pori hilo ili kupisha shughuli za uhifadhi.  Aliyasema hayo katika Hafla ya kuwatunuku vyeti wamiliki wa hotel zinazokidhi viwango vya ubora vya kuwalaza wageni.  Amesema kuwa, Zipo hekari elfu mbili …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN MKOA KUSINI UNGUJA

DSC_7496

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe jana kulifungua Tawi la CCM Kizimkazi Dimbani Wilaya ya Kusini Unguja wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo,(kushoto) Mwandawa Said Nassor, Baadhi ya wanachama wa Tawi la CCM Kizimkazi …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO B IBI SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.

pix 3

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akiwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufundi wakati alipotembelea Mkoani Iringa. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu …

Read More »

MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WATAKIWA KUWADHIBITI WAHALIFU URAIANI.

PICHA NAMBA 1

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Kamishna Mstaafu Paul Chagonja wakati wa sherehe zilizoambatana na Gwaride maalumu la kuwaaga makamishna wastaafu watatu, gwaride lililofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Polisi Dar Es Salaam ambapo wastaafu hao walisukumwa kwenye gari maalumu na Makamishna Wasaidizi …

Read More »

KAMPUNI YA HYUNDAI E & C YAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI

Pic 1

Kamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi Benjamin Mchwampaka (mbele), Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia Maendeleo ya Nishati, James Andilile (wa kwanza kulia mstari wa mbele) ambaye ameeleza kuhusu uwekezaji katika masuala ya umeme kwa kutumia makaa ya mawe. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 18 Agosti, 2017 katika ukumbi wa Wizara ya …

Read More »

CCM Z’BAR YAIPONGEZA SMZ KWA KUONGEZA WASTAAFU PENSHENI.

waride

Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi Zanzibar kwa moyo mkunjufu kinapongeza na kuisifu kitendo kilichofanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  kwa  kuongeza pencheni kwa Wastaafu waliomaliza utumishi wao wakipokea mshahara  wa  kima cha chini serikalini. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati …

Read More »

TIB CORPORATE BANK KATIKA JUKWAA LA BIASHARA TANGA

TIB

 Mkurugenzi wa Mkuu wa TIB Corporate Bank,Frank Nyabundege akizungumza wakati wa Jukwaa la Biashara lililofanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Regal Naivera Jijini Tanga Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano ya Benki ya TIB Corporate ,Theresia Soka akizungumza wakati wa Jukwaa hilo  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Dokta Harrison Mwakyembe …

Read More »

WANAFUNZI WA LUCK VICENT WAREJEA KUTOKA NCHINI MAREKANI WALIKOKUWA WAKITIBIWA MAJERAHA YA AJALI

01A

Ndege iliyowaleta wanafunzi hao kutoka nchini Marekani mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot mkoani Kilimanjari leo.  Wanafunzi wawili miongoni mwa watatu waliorejea leo kutoka kwenye matibabu nchini Marekani Baadhi ya wanafunzi wamejitokeza kuwapokea manusura watatu wa ajali ya basi la wanafunzi wenzao wa Shule …

Read More »

DC KISHAPU MHE.TARABA AMESEMA ZOEZI LA UTAMBUZI,USAJILI NA UFUATILIAJI WA NG’OMBE KWA KUTUMIA CHAPA LITAPUNGUZA CHANGAMOTO KWA WAFUGAJI

1

Mkuu wa wilaya ya Kishapu, Mheshimiwa Nyabaganga Taraba akizungumza katika kikao cha kuhamasisha utambuzi, usajili na upigaji chapa kwa maofisa mifugo na watendaji kata na vijiji (hawapo pichani). Ofisa Mifugo anayeshughulikia afya na tiba, Farles Mwenura akionesha kifaa maalumu cha kupigia chapa ng’ombe kwa maofisa mifugo na watendaji kata na …

Read More »

MRADI WA MAFUNZO KAZI KWA VIJANA WAFUNGULIWA ZANZIBAR.

DSC_0267

Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Moudline Cyrus Castico kushoto akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wawekezaji Utalii Zanzibar Seif Masoud Miskry mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Mradi wa mafunzo kazi kwa vijana ambapo jumla ya vijana 56 wameingizwa katika mradi huo uliofanyika katika Hoteli ya Sea Clife …

Read More »

UNESCO YAKABIDHI VIFAA VYA RADIO ZA KIJAMII VYA MAMILIONI

unnamed

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekabidhi vifaa vya radio kwa radio za jamii nne vyenye thamani ya mamilioni ya shilingi. Unesco imesema kwamba utoaji wa vifaa hivyo umelenga kuongeza usikivu wa mawimbi ya radio katika maeneo ya vijijini. Shughuli ya kukabidhiana imefanyika Agosti 17 …

Read More »