Wednesday , January 16 2019

Home / 2017 / August / 20

Daily Archives: August 20, 2017

BI HINDU AKUBALI MABADILIKO YA MFUMO WA HISA,ATOA KAULI HII

bi hindu 34522

Chuma Suleiman maarufu kama Bi Hindu amesema hana shida na mabadiliko katika klabu ya Simba, lakini atazungumza hadi hapo atakapopata kilichotokea kwenye mkutano maalum wa wanachama wa Simba uliofanyika leo jijini Dar es Salaam na kupitisha mfumo mpya wa uendeshaji. Wanachama zaidi ya 1200 wa Simba wamekubali klabu yao kuendeshwa …

Read More »

WANASIASA ACHENI MANENO, TUUNGANE KUBORESHA ELIMU IKUNGI, DC MTATURU.

1

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akiwania mpira katika mechi ya ufunguzi wa Ligi ya elimu yenye lengo la kutunisha mfuko wa elimu wilayani humo, mechi kati ya madiwani wa Halmashauri ya Ikungi na Manispaa ya Singida ilizindua ligi hiyo na kutoka sare ya bila bila. ……………………………………………………………………. Wanasiasa …

Read More »

Ujenzi wa Tazara Flyover Wakamilika kwa Asilimia 53

PIX1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akipanda juu ya Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam wakati wa Ziara ya Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la Japan (JICA Dkt. Shinichi Kitaoka aliyewasili nchini leo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …

Read More »

MKUTANO WA 37 WA SADC WAMALIZIKA MJINI PRETORIA

_R7A4779

Makamau wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini moja ya makubaliano katika mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Kusini mwa Afrika wakati wa kuhitimishwa kwa mkutano huo mjini Pretoria. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Dkt. …

Read More »

MAKONDA ALIONGEZEA NGUVU SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC

NOA1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akikabidhi msaada wa Gari aina ya Noah, Pikipiki Tatu, Computer Tano na Camera Mbili za kisasa kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania  TBC  Bi. MARTHA SWAI . Hizi ni Pikipiki tatu zilizokabidhiwa kwa TBC ikiwa ni miongozi mwa vifaa vilivyotolewa …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A

DSC_9919

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya msingi Kihinani Jimbo la Mfenesini kuweka jiwe la msingi Jengo jipya la Skuli hiyo leo akiwa katika ziara yake katika  Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi …

Read More »

Viongozi Mkoa wa Rukwa watakiwa kusimamia fedha za manunuzi ya dawa

nes1

Waziri Ummy Mwalimu akizungumza na watumishi wa hospitali inayomilikiwa na Kanisa ya inayoitwa Dkt.Artiman iliyopo manispaa ya sumbawanga,kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt.Khalfan Haule na kuliani ni Afisa Tawala wa  Mkoa wa Rukwa Bernard Makali Msimamizi wa hospitali hiyo Sister Yasinta Rugabo akisoma taarifa ya hospitali hiyo …………………………………………………………………. …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAKAGUA MIRADI YA KILIMO KILOMBERO

IMG_1810

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo (wapili kushoto) akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi iliyokopeshwa na  Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wilayani humo. Wengine pichani ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (katikati) na viongozi waandamizi kutoka wilayani na Benki ya Kilimo. …

Read More »