Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 21

Daily Archives: August 21, 2017

MAKAMU WA RAIS AREJEA DAR

_R7A5024

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amerejea leo akitokea nchini Afrika Kusini ambapo alihudhuria mkutano  wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) , Makamu wa Rais alipokelewa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa …

Read More »

WIZARA ZAUNGANA KUDHIBITI UHALIFU BARABARANI KWA NJIA YA KAMERA

PIX 3

Naibu Waziri Wizara ya Mambo yaNdani yaNchi,Mhandisi Hamad Masauni (kushoto waliokaa)na Naibu Waziri Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA),Gillard Ngewe,walipotembelea kituo cha kufuatilia mwenendo wa mabasi,kilichopo jijini Dar es Salaam, ikiwa katika Mpango wa …

Read More »

WAKULIMA SASA KUPATA MBOLEA KWA BEI NAFUU

PIX2

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Uthibiti wa Ubora wa Mbolea Tanzania (TFRA) Lazaro Kitandu akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandisi wa Habari kuhusu mfumo mpya wa uagizaji wa mbole kwa pamoja leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Kilimo, …

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA WATANZANIA KUIMARISHA UZALENDO

PMO_9463

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa .kulia akisalimiana na Eshe Hemed Rashid Mwanafunzi wa  Kitanzania anaye Soma fani ya Udaktari  Nnchini Cuba .katikakati ni Nasra Sheikhan. Waziri Mkuu alikutana na wanafunzi wa Kitanzania wanao soma Udakatari Cuba. katika Hoteli ya Nacional de Cuba .jana August 20/2017 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa . katikati …

Read More »

CHAKUA Yaja na Mikakati Mipya ya Kusaidia Abiria

PIC 1

Mratibu na Mtendaji Mkuu wa Chama cha Kutetea Abiria (CHAKUA) Bw. Monday Likwepa akielezea changamoto zinazowakabili abiria mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani), katikati ni Mwenyejkiti wa Chama hicho Bw. Hassan Mchanjama, kulia ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Katibu wa Marine Bw. Wilson Sylvester Damo. Mwenyekiti wa …

Read More »

DKT. KALEMANI AFANYA MKUTANO NA WATENDAJI WA NISHATI NA MADINI

Picha Na 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na watendaji pamoja na wafanyakazi  wa Wizara ya Nishati na Madini na  Taasisi zake (hawapo pichani) katika kikao hicho. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo na kushoto ni …

Read More »

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR Dk. SHEIN WLAYA YA MAGHARIBI “B”

DSC_0496

Baadhi ya Wananchi  wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake …

Read More »

KANISA KATOLIKI LAMALIZA KERO YA MAJI MAHABUSU YA WATOTO

Pix 02

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo (katikati) akisisitiza jambo kwa wageni waalikwa wakati akikabidhi kisima kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (Kushoto)  kwa ajili ya mahabusu ya watoto mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAWAASA WAKULIMA WA KOROSHO

IMG_1940

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (aliyesimama) akifungua Warsha ya Siku Mbili ya Wadau wa Vyama vya Ushirika inayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Benki Kuu Tawi la Mtwara, Bw. Lucas Mwimo (kushoto) na Kaimu Katibu …

Read More »

Tigo watiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF)

1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari akitia saini ya Mkataba wa Kufikisha Mawasiliano Vijijini na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga wakati wa hafla ya kusaini mkataba huo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.  Wanaoshuhudia (katikati) ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na …

Read More »

WILAYA YA KISHAPU INAVYOBORESHA SEKTA YA ELIMU

1

Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga akimkabidhi msaada wa vifaa vya maabara, stuli za kukaliwa wanafunzi wakati wa mazoezi kwa vitendo kwa aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari Kishapu ambaye sasa ni mratibu elimu kata ya Sekebugora, mwalimu Hosea Somi. Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya …

Read More »

MEYA MANISPAA YA DODOMA PROFESA DAVIS MWAMFUPE ATOA RAI KUBORESHA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI MAARUFU NANENANE

MEYA 88

Meya wa Manispaa ya Dodoma Mstahiki Profesa Davis Mwamfupe (wa kwanza kulia) akishuhudia mmoja ya banda la maonesho alipotembelea Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati katika Viwanja vya Nzuguni Manispaa ya Dodoma hivi karibuni. ………………….. NA RAMADHANI JUMA OFISI YA MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA HALMASHAURI za Manispaa na Wilaya katika …

Read More »

UVCCM MKOANI SINGIDA WAMPONGEZA DC IKUNGI

UVCCM SINGIDA

BMG Habari, Pamoja Daima! Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Singida kimempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani humo Mhe.Miraji Mtaturu kwa kuanzisha michuano ya Ikungi Elimu Cup 2017 ili kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kuchangia utatuzi wa changamoto za elimu kupitia Mfuko wa Elimu Ikungi.   Katibu wa chama hicho …

Read More »