Thursday , February 21 2019

Home / 2017 / August / 22

Daily Archives: August 22, 2017

KODI YA PANGO LA ARDHI KIDIGITALI

1 - Copy

Mtaalamu wa mfumo wa GePG (Government electronic Payment Gateway) kutoka Wizara ya fedha akielezea faida za mfumo kwa watumiaji pamoja na jinsi ya kuutumia katika kutoa huduma bora. Mafunzo juu ya matumizi ya mfumo wa GePG ya kitolewa kwa maofisa wa ofisi za Ardhi Nyanda za Juu Kusini Wataalamu kutoka …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA MICHEWENI KASKAZINI PEMBA

DSC_2762

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Soko la samaki na mboga mboga la Konde Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara zake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,[Picha na …

Read More »

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MICHEWENI PEMBA

DSC_3138

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ZSTC Dkt.Said Seif Mzee mara alipowasili katika  Shamba la Mikarafuu la Kifundi  kwa ajili ya kulikagua shamba hilo na  Mikarafuu katika Wilaya Micheweni akiwa katika mwendelezo wa ziara zake katika …

Read More »

UK Government Pledges More Support to Tanzania

PIX1

Tanzania’s Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr. Augustine Mahiga (right) addressing the members of the press about the visit of UK’s Foreign Minister responsible for Commonwealth Office and UK Department of International Development Mr. Rory Stewart. …………………………………………………………………………………… By Staff Writer Government of the United Kingdom has expressed …

Read More »

ATCL KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA NDEGE ZANZIBAR

1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, akiongea na Baraza la Wawakilishi la Kamati ya Ardhi na Mawasiliano kutoka Zanzibar na uongozi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), (hawapo pichani), wakati wa ziara ya kikazi ya Kamati hiyo, jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi …

Read More »

Elimu Bure ya JPM Yaikuna Uingereza

PIX2

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Waandishi wa Habari alipokuwa akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika na Idara ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa, Rory Stewart (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. …

Read More »

WATHAMINI WASIO WAADILIFU KUKIONA

mtha

Serikali yakemea vitendo viovu vinavyofanywa na wathamini kuhusu uthamini wa fidia na kuahidi kuwachukulia hatua kali za kisheria watumishi wasio waaminifu ikiwemo kuwanyang’anya leseni zao. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mthamini Mkuu wa Serikali, Evelyne Mugasha katika kikao kazi cha wathamini wa manispaa zote za Dar …

Read More »

“Nimefunga mjadala wa Rambirambi” RC Gambo

gambo

RC Gambo akiwakabidhi wazazi wa Doreen Mshana jumla ya Shilingi Milioni 7.75 ikiwa ni bakaa ya michango ya rambirambi. RC Gambo akiwakabidhi wazazi wa Wilson Tarimo jumla ya Shilingi Milioni 7.75 ikiwa ni bakaa ya michango ya rambirambi. RC Gambo akimkabidhi mzazi wa Shadhia jumla ya Shilingi Milioni 7.75 ikiwa …

Read More »

Waliopewa Maeneo Kulima Miwa Watakiwa Kuanza Kuyalima

Pix 01

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewataka wawekezaji waliopewa ardhi kwa ajili ya kilimo cha miwa waanze mara moja kulima zao hilo ili kupata malighafi kwa ajili ya uzalishaji wa sukari. Waziri Mwijage ametoa wito huo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza …

Read More »

RAZA AMWAGA ZAWADI MICHEZO YA MASKULI MIKOA

02

Mkurugenzi Idara ya Michezo na Utamaduni katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Hassan Khairalla Tawakal, akimtambulisha Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi wa wizara hiyo Omar Ali Bhai kwa Mwenyekiti wa kampuni ya ZAT Mhe. Mohammedraza Hassanali. Mwenyekiti wa ZAT ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammedraza …

Read More »

Tigo, Clouds Wazindua Msimu wa ‘Tigo Fiesta 2017 – Tumekusoma’

tic

 Kaimu Meneja wa Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa msimu mpya wa Tigo Fiesta 2017 ‘Tumekusomaa’ leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na mwakilishi toka Basata, Mrisho Mrisho.      Kaimu Meneja …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

  TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO TAREHE 22.08.2017 MTU MMOJA AMEUAWA NA KUNDI LA WATU WALIOJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWA KOSA LA WIZI WA KUKU WILAYANI KWIMBA. KWAMBA TAREHE 21/08/2017 MAJIRA YA 08:45HRS ASUBUHI KATIKA KITONGOJI CHA BUSULWA KATA YA NGULLA WILAYA YA …

Read More »

Viwanda 42 Zaidi Kuunganishwa Mfumo wa Gesi

5R5A3474

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Charles Mwijage (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea jambo kuhusu mikakati wa Serikali ya Tanzania ya viwanda na mpango kazi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika-SADC mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kaimu Mkurugenzi …

Read More »

ZAMBI APIGIA DEBE UWEZESHAJI WA KILIMO CHA UFUTA NA MIHOGO

IMG_2032

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga (kulia) akitambulisha msafara wake kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi (hayupo pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake mjini Lindi. Kushoto ni Meneja Mikopo, Bw. Samuel Mshote na  Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Augustino Matutu Chacha (katikati). Kaimu …

Read More »

IGP SIRRO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MUFTI WA TANZANIA

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia) akizungumza na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubeir (kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam jana. IGP Sirro, alisema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na viongozi wa kidini katika kuimarisha amani nchini. Mkuu wa …

Read More »